THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

22 March 2015

HATIMAYE MWIMBAJI WA INILI TANZANIA ANGELA BERNARD AVISHWA PETE YA UCHUMBA




 Angel akiwa amepiga goti la heshima, huku akiwa ameaa furaha, huku mchumba wake akimvisha pete taratiiiiiiiiibu!



Star wa Gospel Tanzania Angel Benard avishwa pete ya uchumba na Muimbaji wa Gospel na Manager wa Doxa Music Management Sakafu Godsave kijana kutoka Arusha.
Tukio hili la uvalishwaji wa pete limefanyika nyumbani kwa Mama mzazi wa Angel Benard…..Mbezi Tangi Bovu. Shughuli hii ilianza majira ya saa kumi jioni na kumalizika saa moja kamili usiku.
Watu mbalimbali pamoja na baadhi ya waimbaji wa muziki wa Gospel walikuwepo kumsindikiza Angel Benard katika tukio hili.
Chanzo: unlejimmytemu.com

20 March 2015

SIKU 3 ZA SEMINA YA KUVUNJA MADHABAU INAYOKUNYWA DAMU YA WAKONGOMANI

 Mtume saimon sambamba na wanajeshi wa kongo, wakimlimlia Mungu

Ni siku tatu za semina ya kuvunja madhabau inayokunywa damu ya wakongomani. Mnenaji mkuu katika semina hiyo ni Mtume Simon (Nabii kijana) ktoka Tanzania. Semina hiyo imefanyika huko Goma - DRC Kongo, ambapo pamoa na mambo mengine, yamefanyika maombi maalum ya kuombea nchi ili Mungu ainusuru na umwagaji wa damu isiyokuwa na hatia.
 Upande wa serikali, uliwakilishwa na wanajeshi kadhaa wa jeshi la kongo (FADRC).



 Maombi maalum kwa ajili ya nchi ya kongo

Mwenyei wa semina
Overseer  Tridon

15 March 2015

NAIROBI PROPHETIC WORSHIP NIGHT

PROPHET MONICAH INVITE YOU TO A PROPHETIC WORSHIP NIGHT AT EMBASSY CINEMA

Host: Prophet Monicah
Guest speaker: Dr. Lucy Natasha

Don't plan to miss this...

2 March 2015

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH LAZARO NAYANDU AWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA ALBAM MPYA YA CHRISTINA SHUSHO-DAR ES SALAAM




              Waziri na Nyarandu sambamba na Christina Shusho, wakimtukuza Mungu

Kazi ya Bwana ilifanyika katika viwanja vya kanisa la Pentekoste Tabata Kisiwa jijini Dar es Salaam Tanzania na kuhudhuriwa na watu wengi sana. Tamasha la uzinduzi wa albamu ya mtumishi wa Mungu Christina Shusho lilianza saa nane mchana siku ya Jumapili 02/03/2015. Watu walikaa pamoja wakifurahia uwepo wa Mungu uliotanda eneo hilo. Mungu alionekana akiwa mlinzi kwa wana wa Mungu waliofika siku hiyo. 

Mgeni Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lozaro Nyarandu aliweza kuserebuka na kuacha watu wakiwa wameachama mdomo wazi wakishangaa kuona hata viongozi wa serikali wanaweza kuserebuka na kumtukuza Mungu. Hii inatokana na vile nyimbo za mwadada huyu kuwa na kibali kwa kila mtu na upako alionao. 

Mh. Nyarandu ni waziri ambaye amekuwa mstari wa mbele sana katika kuhakikisha kazi ya Mungu inasonga mbele, amekuwa mwepesi pale anapoombwa kushiriki katika sherehe na matamasha mbalimbali ya dini. Uwepo wa Mh. Nyarandu uliwafanya watu kubarikiwa sana kutokana na unyenyekevu wake na upole mbele za watu. 

Mh. Nyarandu hakijizuia na aliweza kutoa dola zake mfukoni na kumponeza Christina Shusho wakati akiimba, hii inatokana na kuguswa na uimbaji wake.




 Huu ndio umati wa watu waliojitokeza katika tamasha la shusho

Christina Shusho ni mwimbaji anayefanya kazi kwa bidii kuhakikisha kazi ya Mungu inakwenda mbele ikiwa katika viwango vya kimataifa machoni pa watu na mbele za Mungu.

John Shabani na team nzima ya blogu hii tunasema
" Mungu azidi kukuinua na kukubariki, ili uwe baraka kwa wengi".
 

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP