Pages

27 April 2010

JOHN PHOTO ALBUM


























MSIJISUMBUE KWA NENO LOLOTE BALI KATIKA KILA NENO KWA KUSALI NA KUOMBA PAMOJA NA KUSHUKURU, HAJA ZENU NA ZIJULIKANE NA MUNG.....

John Shabani akimkabidhi tuzo Spika wa Bunge

Mwalimu wa muziki wa injili Afrika Mashariki bwana John Stephen Shabani,hivi karibuni alimkabidhi tuzo ya heshima Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samweli Sitta; Kwa kutambua mchango wake katika jamii ya Watanzania.

24 April 2010

Dunia na mambo yake

Tusifananishwe na namna ya dunia hii, maana dunia inapita pamoja na mambo yake. Ubarikiwe.

23 April 2010

certificate of appreciation

John receiving certificate of appreciation include award. This where given to him by Christian promoters company ltd, for his contribution in supporting Gospel music in East Africa.
Jiandae kujipatia kitabu kinachoitwa MARUFUKU KUKATA TAMAA “Never ever give up”. kilichoandikwa na Mwalimu wa Muziki wa Injili Afrika mashariki, bwana John Shabani. Hiki ndicho kitabu pekee ulichokua unakiitaji, ndicho kitakachobadili hali mazingira na mtazamo wa maisha yako, Kitakuondoa kwenye umaskini, ufukara, kuchekwa na kuwa mtu mwingine kabisa. Kitakutoa kwenye ugonjwa na kuwa mzima. Ni kitabu kilichojaa mifano na hadithi za kusisimua, zinazogusa moyo. Ni hadithi za kweli tena zitakazoinua imani yako. Ukidiriki kuanza kukisoma kitabu hiki, kitakubadilisha. Hakika kitabu hiki kitakubadilisha kwa kiasi kikubwa ki-mawazo na kimatendo. Yaliomo katika kitabu hicho: Kukata tamaa, Dalili za mtu aliyekata tamaa, Athari za kukata tamaa, Mambo yanayokatisha tamaa, Baadhi ya magonjwa yanayotokana na kukata tamaa, Mtu akikata tamaa huamua chochote maali popote na kwa wakati wowote, Faida za kutokata tamaa, Mifano ya watu waliofanikiwa Kwa kutokata tama, Njia za kumsaidia aliyekata tamaa, Siri za kufanikiwa (Jinsi ya kushinda kukata tamaa), Baadhi ya jumbe kutoka Kwa watu na watumishi mbalimbali.

The best of John Shabani

ZILE CD ULIZOKUWA UNAZIULIZIA KWA MUDA MREFU, CD ZENYE JUMBE ZINAZOGUSA MIOYO YA WENGI SASA ZINAPATIKANA. NI ILE INAYOITWA “MARUFUKU KUKATA TAMAA NA WAKATI WANGU” ZOTE ZA JOHN SHABANI PAMOJA NA “AMESIKIA KILIO CHAKO” YA DEBORA SHABANI. JIPATIE NAKALA YA