Pages

28 October 2013

MTANDAO WA WANA MUZIKI TANZANIA WAFANYA WARSHA YA SIKU MOJA JIJINI DAR ES SALAAM


 Mwalimu john shabani ndani ya warsha hiyo






Picha ya pamoja na naibu katibu mkuu, wizara ya habari, utamaduni na michezo

Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, akifafanua jambo mbele ya wana muziki kutoka makundi  mbalimbali ya muziki na wadau wa muziki, katika kujadili mambo mbalimbali likiwemo mustakabali mzima wa mwenendo wa muziki na wana muziki wa Tanzania. Mengi yamejadiliwa na mwisho, aliyekuwa Mgeni rasmi katika Warsha hiyo Naibu katibu mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, ametoa pongezi za dhati kwa wote waliofanikisha Warsha hiyo; akianzia na uongozi wa Mtandao wa wana muziki tanzania (Tanzania Musicians Network), BEST – AC (The Business Environment Strengthening in Tanzania) ambao ndio waliodhamini warsha pamoja na mshikamano walioonyesha wasanii kutoka makundi mbalimbali.


Pia Kiongozi huyo wa serikali Mheshimiwa Sihaba Nkinga, amewashauri wasanii kuamka na kwenda na wakati, Kufanya kazi kibiashara, kufikiria kibishara na kupata taaluma ya biashara.

Amezizungumzia fursa mbalimbali zilizopo kwa sasa na mikakati inayopangwa ili kuwasaidia wasanii wa kitanzania.

Warsha hiyo iliofanyika katika mgahawa wa kisasa wa Nyumbani, imehudhuriwa na wasanii kutoka makundi mbalimba huku upande wa Injili ukiwa umewakilishwa na mwalimu John Shabani na Sifa John. Vyombo mbalimbali vya habari vimehusika kuchukuwa habari.
Kwa pamoja tutafika

27 October 2013

CITY HARVEST INTERNATIONAL CHURCH: 3 BIG EVENTS IN ONE SUNDAY SERVICE:




                      Dr. Livingston, App. Simon (Nabii kijana) and John Shabani

                                                    John Shabani in the House


                                   Gospel Singers: Emanuel Mpesa and Chesko


                                             Rachael Mmasy leading praise and worship

                                  Catherine Kyambiki in the House

                                           App. Godfrey Waswa in the House




                                                With my Sister Janet Mrema

 Dr. Kisui and App. Ntepa

 It has never happen, was a wonderful Sunday services:
1.       Church Sevices: one 2 one morning service, english service and kiswahili service
2.       Marriage service
3.       Marriage collection conference
Kila kitu kilifanyika kwa ubora ndani ya ya kanisa la City Harvesty linaloongozwa na Rafiki yangu Dr. Livingston. Kwa habari zaidi tembelea: www.johnshabani.blogspot.com
a.       Ibada bora ya kingereza na kiswahili, Muhubiri Godfrey Waswa, sifa bora ikiongozwa na mwanadada Rachel Mmasy na Stella Swai wa Daniel, Uimbaji bora kutoka Ema mpesa na Chesko, Daniel wa ibada njema, mwalimu John Shabani, Catherine Kyambiki, Janet Mrema na wengine kibao
b.      Ibada ya ndoa ikifungishwa na Nabii kijana
c.       Kongamano la wanandoa, wanenaji wakiwa ni Mtume Ntepa, Steven Kisui na Mama Kisui, Dr. Livingston likiambata na uimbaji kutoka kwa Flora Mbasha, Victor Aron, Samson kabata, Jojo mfalme wa kanzu na wengine kibao

24 October 2013

JANGALASON AENDELEA KUWASHA MOTO WA INJILI NDANI NA NJE YA TANZANIA









                                     Moja ya watu ambao wamekuwa wakijibidisha katika kueneza Injili ya Bwana Yesu, ni rafiki yangu na rafiki wa wengi, Askofu Charles Jangalason. 

                                  Kila kukicha maelfu ya watu wamekuwa wakimpokea Bwana yesu kupitia mikutano inayohubiriwa na Jangalason. Tutaendelea kukuletea ziara mbalimbali mtumishi huyo, akiwa ndani na nnje ya nchi. Endelea kutembelea 

Unapopiga magoti, mkumbuke pia Askofu Charles Jangalason

20 October 2013

MAMIA WAHUDHURIA IBADA YA HARUSI YA MTOTO WA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE









Ilikuwa ni sherehe ya kipekee ndani ya kanisa la Mlima wa Moto ambapo kijana Tibe Rwakatare na Bi Helen Benedict, ambapo watu mbalimbali wakiwemo maaskofu, wachungaji, wageni mbalimbali kutoka ndani na nnje ya nchi wamehudhuria ibada hiyo. Chini ni picha mbalimbali za matukio ya ibada ya nndoa hiyo na baadaye tutaendelea kukuwekea picha za sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Mlimani City.