Pages

27 November 2013

TANGAZO KUTOKA "CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY"


Nawakumbusha wanafunzi wenzangu tunaochukua Shahada (Degree) ya Christian Leadership University, kwamba darasa linaendelea na pia huu ndio mwezi wa mwisho wa kulipia dola 100 kwa ajili ya credit transfer. Mungu akubariki sana!Wako katika utumishi; John Shabani

17 November 2013

JOHN SHABANI ATOA SADAKA YA SHUKRANI KANISA LA DORCAS – KUNDUCHI

 
Ni kwa kutambua mchango wa viongozi wa kanisa hilo; Askofu Jane Muhegi na Mzee Boniface Muhegi, wa kuwalea watoto wa wawili wa John. Watoto hao ni wale walioachwa na marehemu Debora shabani.
 
Ni Takriban miaka sita sasa, baada ya kifo cha Debora, wazee hao pamoja na kanisa nzima la Dorcas Christian Ministry, kwa kuonyesha upendo wao kwa Mch. John shabani, waliamua kuwachukua watoto hao na kuishi nao. Ni upendo wa ajabu sana! 

Mungu awabariki sana Bishop Jane na mzee Muhegi,
Mungu alibariki kanisa la Dorcas!


3 November 2013

NCHI YA AHADI: KITUO CHA KIROHO KINACHOONGOZWA NA MCH. HARRIS KAPIGA

BAADA YA MWALIKO WA KUHUDHURIA IBADA KATIKA KANISA LA NCHI YA AHADI LINALOONGOZWA NA MCH. HARRIS KAPIGA, HIVI NDIVYO MWL. JOHN SHABANI ALIVYOAMBUKIZA UPAKO WA SIFA!



John Shabani na Neema Gaspa wakiongoza sifa


 Mchungaji Harris akimtukuza Bwana


 Maombezi kwa wanafunzi wanatarajia kufanya mitiani ya form IV


2 November 2013

READY THIS MESSAGE FROM PROPHET T.B JOSHUA




ATTENTION:
This is an official message from Prophet T.B. Joshua and The SCOAN. There are distorted rumors spreading on the internet concerning T.B. Joshua’s prophecy this past Sunday
Rumors are saying that the man of God said that an East African country will soon be kidnapped by terrorists and that a night club would be blown up. Do not listen to the father of lies. These are not the words used by the prophet. Prophet T.B. Joshua specifically asked journalists not to misquote his prophecy.

He said that he saw a leader being captured. The prophet instructed the people of God to fast and pray on Wednesday and Thursday. He said Wednesday and Thursday had nothing to do with what was going to happen, but the people of God should fast and pray on those days. He also told the congregation that he will stay in an attitude of prayer for the country concerned, so that God might subdue this coming evil to a mere sign.

He said that the country concerned is not Kenya, but a country close to it. He mentioned that it is the same country in which a similar event took place while they were drinking and dancing. He will continue to pray for them, but he will not mention their names unless God instructs him to do so. This is because many would begin to spread rumors and false allegations against himself, the leader, and the country rather than pray for them. He said if prayer and security are not in place, the blood of thousands will be wasted. Let us all stay in an attitude of faith and prayer, in Jesus’ name.