Pages

29 December 2013

SEMINA KUBWA NA MKESHA WA NGUVU ATN

Uongozi wa ATN wanakuletea Semina kubwa ya Neno la Mungu itakayoanza January 1 - 4 kila siku jioni ikiambatana na mkesha mkubwa utakaofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 3 kuanzia saa 3 usiku. Waimbaji mbalimbali watasifu, watumishi mbalimbali watahubiri na kufanya maombi maalum kwa kila mtu. Hakuna kiingilio na watu wote mnakaribishwa.

25 December 2013

Bony Mwaitege, Bahati Bukuku, Upendo Nkone wawasha moto wa Injili ndani ya Usatawi wa Jamii










Imekuwa ni jumatano ya pekee ambapo watu waliohudhuria ibada zinazoendelea ndani ya ukumbi wa chuo cha Ustawi wa jamii, wamebarikiwa sana na huduma za watumishi hao wa Mungu

Pamoja na uimbaji pia Neno la Mungu lililohubiriwa na mwana mama Bahati Bukuku limewafungua watu mbalimbali ambapo baadaye watumishi hao wa Mungu wakishirikiana na Mch. John Shabani, wamewaangoza watu katika maombi ya toba na kuwafungua watu katika vifungo mbalimbali vya ibilisi. Pia waimbaji wengine wengi wamehudumu.
Mchungaji Benjamin Bukuku ambaye ndiye mbeba maono wa huduma hiyo, anakualika jumapili hii na jumatano katika ibada ya mwaka mpya. Waimbaji mbalimbali watahudumu kwa uimbaji.

24 December 2013

UJUMBE WA KUMALIZA MWAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIJANA

Tunapomwaliza mwaka, ni mengi tumekutana nayo, mengine ni changamoto tu za kutuhimarisha, mengine ni mahudhi, mengine ni makwazo na majaribu, mengine tumeyasababisha wenyewe, mengine kutoka kwa ibilisi mengine ni mkono wa Mungu mwenyewe.

(Romes 8:28 We know that all things work together for good for those who love God, who are called according to his purpose.
Haata pale ambapo unaona mambo yamekuwa magumu na huwezi kuendelea, usimpe ibilisi nafasi ya kukutoa kwenye mpango wa Mungu, bali wewe mshukuru Mungu na endelea kuamini mpango wake katika maisha yako kuwa ni kamili na atautimiliza. Katika mambo yote mshukuru Mungu maana ni mapenzi yake katika Kristo Yesu.
Heri ya mwaka mpya!

17 December 2013

JIPATIE DVD YAKO YA SHILO SASA

Ile DVD ya Kongamano la Shilo Tanzania 2013 sasa inapatikana kanisani Mikocheni B' Assemblies of God. Barikiwa na mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa Askofu Maboya, Askofu Mrisa, Dk. Getrude Rwakatare na Mch. Noah Lukumay. Pi utabarikiwa na wimbo maalum wa shilo Tanzania ukiongozwa na John Shabani akishirikiana na Shilo mass choir, maombi kwa ajili ya taifa na tukio la uzinduzi wa shilo.

WAIMBAJI MBALIMBALI WANYIMBO ZA INJILI TANZANIA (TANZANIA GOSPEL ALL STARS) KUREKODI NYIMBO ZA HARAKATI

Waimbaji mbalimbali wa Injili chini ya usimamizi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, kwa pamoja wameanza kurekodi nyimbo mbalimbali za harakati









Nyimbo hizo ni kama: Wimbo wa Haki za binadamu, Madhara ya rushwa, Umoja n.k. Nyimbo hizo zinazosimamiwa na Mlezi wa chama Mheshimiwa Martha Mlata, mwalimu John Shabani na uongozi wa chama zinarekodiwa katika studio ya TWINS RECORD iliyopo Ubungo Rever Side.
Tayari waimbaji mbalimbali wameingiza sauti zao.

10 December 2013

WELCOME TO MOUNTAIN OF FIRE ASSEMBLIES OF GOD! WELCOME TO SHILOH TANZANIA 8-15/2013




 Dr. Getrude Rwakatare, Bishop Danstan Maboya, Pastor Noah Lukumay, Pastor Sebastian Kimario and Young Pastor John shabani at the first day of the lunching of Shilo Tanzania




 Bishop Eugene Mrisa and Bishop Danstan Maboya cutting


 John Shabani together with shiloh mass choir singing a shiloh song

We are so glad to invite you to be a part of Shiloh Tanzania 2013. This is the first time for this big Christian Event to be happening in Tanzania.

 Shiloh Tanzania; Come and experience the mighty and awesome move of God. Come experience the best of Praise & Worship, The On-Time Word and Revelation of God from Bishops, Pastors, Apostles and Prophets. The Mighty move of the Hand of God will change your life forever. We look forward to seeing you there!!! For more information  Call: +25571656009 
E-mail: touchingvoice@yahoo.com 

Shiloh is a place where the chosen nation of Israel in those days gathered annually with their gratitude, as well as laid their pain and concerns at God’s feet requesting for Salvation and deliverance from Him. It is the place where long standing afflictions, plagues are brought to an end, and the people’s needs are met, as was the case of Hannah. It is the place where each family’s inheritance is allotted to them; the place where the word meant for everyone is given. Shiloh is actually the revelation name of our Lord Jesus Christ, our peace who appears as we wait on Him with praises at Shiloh. 

He is The Shiloh we are meeting this year. Shiloh is a covenant pact between God and Man: we come prepared to worship with the fruit of our land and He meets us with all blessings according to our faith and expectations. So this year, come not with empty hands. Bring your family, your friends, and be ready to dance, celebrate, and expect that you’ll never go back the same. 
Be expectant and be prepared for it. 
No matter what situation you are passing through, by the grace of God of Shiloh, Everything will be alright. During the special anointing service at the grand finale, we shall lift up the prayer requests and the expectations of the saints before the Lord and I will like that yours be among them. Note: Even if you are far from Dar es salaam or Tanznia, don’t worry; Just write your prayer and request and send them to our e-mail: touchingvoice@yahoo.com
At Shiloh, everything will be alright! Welcome!

2 December 2013

NI MLIPUKO WA INJILI NDANI YA EMAUS PRAYER CENTER NA JOHN SHABANI



Imekuwa ni jumapili ya kipekee ndani ya Emaus Prayer Center Dar es salaam, ambapo watumishi mbalimbali wamewasha moto wa injili. Ilikuwa ni sifa, kuabudu, Neno na maombezi kwa watu wenye shida mbalimbali.

27 November 2013

TANGAZO KUTOKA "CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY"


Nawakumbusha wanafunzi wenzangu tunaochukua Shahada (Degree) ya Christian Leadership University, kwamba darasa linaendelea na pia huu ndio mwezi wa mwisho wa kulipia dola 100 kwa ajili ya credit transfer. Mungu akubariki sana!Wako katika utumishi; John Shabani

17 November 2013

JOHN SHABANI ATOA SADAKA YA SHUKRANI KANISA LA DORCAS – KUNDUCHI

 
Ni kwa kutambua mchango wa viongozi wa kanisa hilo; Askofu Jane Muhegi na Mzee Boniface Muhegi, wa kuwalea watoto wa wawili wa John. Watoto hao ni wale walioachwa na marehemu Debora shabani.
 
Ni Takriban miaka sita sasa, baada ya kifo cha Debora, wazee hao pamoja na kanisa nzima la Dorcas Christian Ministry, kwa kuonyesha upendo wao kwa Mch. John shabani, waliamua kuwachukua watoto hao na kuishi nao. Ni upendo wa ajabu sana! 

Mungu awabariki sana Bishop Jane na mzee Muhegi,
Mungu alibariki kanisa la Dorcas!