Waumini kadhaa wa kanisa katoliki nchjini ufilipino wametundikwa msalabani baada ya kupigwa misumari ikiwa sehemu ya siku ya Ijumaa kuu ambapo yesu kristu alisulubiwa msalabani Igizo hilo la ukweli la kutundikwa msalabani hufanyika kila mwaka nchini Ufilipino wakati wa Ijumaa kuu na huvutia mamia ya watalii Muumini ...mmja Arturo bating mwenye umri wa miaka 44 ametundikwa msalabani kwa kupigwa misumari yenye urefu wa sentimia 10 kwenye viganja na miguu yake huku akionekana mtulivu wakati tukio hilo Baadaye majirani zake walinyanyua msalaba alipotundikwa na kuiweka kwneye eneo la mchanga kabla ya kumtoa baada ya muda mchache
No comments:
Post a Comment