Ni siku chache zimepita tangu bwana Rulea alipompoteza mama yake mzazi, na sasa amefiwa tena na binamu yangu huko Mbeya.
Tunaamini Mungu ni mwaminifu katika kila jambo.
Wito wangu kwa kila mwenye mapenzi mema na anayoguswa na
shughuli mbalimbali anazozifanya bwana rulea hasa kwa kupitia blogu yake www.rumaafrica.blogspot.com kwamba
tusichoke katika kutenda mema, nikimaanisha, tumtie moyo mwenzetu ili
kufanikisha masula ya msiba huo. Itakumbukwa kuwa Rulea ni mmoja wa ma-blogger
waliopata kibali ndani na nnje ya nchi. Tukumbuke jinsi alivyogusa mioyo ya
watu mbalimbali akiwemo Mtumishi mkuu wa Mungu TB JOSHUA, hivyo kupelekea
kualikwa huko Nigeria katika huduma ya
SCOAN.
Uongozi wa Blogu hii tuko nyuma yako ndugu yetu na rafiki
yetu Rulea Sanga.
No comments:
Post a Comment