Pages

24 September 2012

ISOM (International School Of Ministry) - DAR ES SALAAM



TANGAZO
Muhula mpya wa masomo katika chuo cha kimataifa ISOM (International School Of Ministry) kuanza mwezi wa kumi. Hivyo wanafunzi wanaomba kuanza kuchukua fomu, Pia wale amabao wamechukua fomu tayari, wanaombwa kuonana na msimamizi wa chuo tawi la Dar es salaam wiki hii ili kuweka utaratibu mzuri.
ISOM ni Chuo cha kimataifa chenye waalimu wa kimataifa kama:
Joyce Meyer, Reinhard Bonnke, Dr. Amstutz, Dr. Gill, Dr Boschman, Rev. Houston, Dr. Dick Eastman, Dr. Lamar Boschman, Dr. A. L. Gill, Dr. Marilyn Hickey, Rev. Bevere, Dean Sherman, Dr. Amstutz, Rv. Conley, Dr. Stan  Dekoven, Dk. Shibley, Dk. Feeney, Mch. Conley, Rv. Comfort na wengine wengi.  sasa kimeanzishwa Tanzania. 
 John Shababani and other students attending isom class in Dar es salaam Tanzania
(John Shabani na wanafunzi wenzake wa isom wakihudhuria masomo jijini Dar es salaam)
 Group discussion with teacher Alex From Nairobi 
It was a time of glorious and transformation for all students who attended the session, praise God!

Chuo hiki cha kikristo chenye Makao makuu  California Marekani na kilichoenea katika nchi mbalimbali duniani zikiwemo nchi kadhaa za afrika kama Nigeria, Afrika ya kusini, Uganda, Kongo, Kenya, Malawi, Tanzania n.k, kinatoa vyeti kama: Certificate of Biblical studies, Ministerial Diploma, Bachelor of Arts in Biblical Studies n.k. Vyeti vinavyotolewa na Chuo hiki vinatambulika duniani kote. Ewe Mtumishi wa Mungu, Mwinjilist, Mwimbaji, mwombaji na kila mwenye huduma, nakusii changamkia fursa hii kwani ada zao ni nafuu kuliko maelezo.
Kwa mawasiliano:

 
The graduands celebrating the end of a successful 2012 Autumn Session of the International School of Ministry in Nigeria


 For more infomation about isom Tanzania
Mob: 0754 818 767 au 0716560094
E-mail: touchingvoice@yahoo.com
Au tembelea www.isom.org 
                       www.johnshabani.blogspot.com

No comments:

Post a Comment