Pages

22 February 2013

TANGAZO KUTOKA CHUO CHA ISOM (INTERNATIONAL SCHOOL OF MINISTRY) – DAR ES SALAAM


 
Muhula mpya wa masomo katika chuo cha ISOM umeanza, njoo ujifunze.
Kwa wenzangu namimi  tulioanza ngazi ya degree masomo yanayofundishwa muhula huu wa kwanza ni:
1.     Uponyaji wa  kiungu (Divine healing)
2.     Thamani ya mwanamke (Value of a women)
3.     Maana halisi ya mama (Becoming a mother/mentor)
4.     Kushinda makwazo (Overcoming  disappointment)
5.     Elimu juu ya ukimwi (Aids education)
6.     Siri ya silaha za kiungu (God’s secret weapon)
Bado hujachelewa, jiunge na chuo hiki chenye mtaala wa kimataifa chenye waalimu waliobobea katika mambo ya kiroho na kijamii.

MASOMO MENGINE KWA WALE WANAO ANZA KABISA

20 February 2013

AJM PRODUCTION - THE BEST VIDEO SHOOTING COMPANY IN THE CITY (WAANDAJI BORA VIDEO ZA NYIMBO ZA INJILI)




Joyce Precious Mlabwa - AJM (Managing Director)


Jina la  AJM PRODUCTION si ngeni masikioni mwa watanzania hata katika nchi kadhaa duniani, hasa wale wapenzi wa nyimbo za Injili. Kazi zao zimekuwa za ubara na pia gharama zao ni nafuu ukizingatia camera za gharama na za kisasa wanazotumia. 

Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu AJM

Baadhi ya kamera za kisasa


 

 AJM Group, kikazi zaidi

Baadhi ya kwaya


 Kwaya ya vijana Presbeterian msasani

 AICT nyarugusu (Negro choir)

 Grory Choir - Calvary Assemblies of God Maswa Shinyanga

 Heavenly Singers - Eagt Banana Ukonga DSM


 Sarah Makoye





 Happy Shemawele
 The Joy Bringers







Mambo ya singida


MWIMBAJI DAVID ROBERT: AWAKUTANISHA BAADHI YA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI KUTENGENEZA WIMBO MAALUM WA KULIOMBEA TAIFA.





Kushoto ni Upendo Nkone,Upendo Kilahilo,Bahati Bukuku,Rose Muhando,Christina Shusho.




 David Robert akihojiwa na Samweli Sasali.



Ni kawaida kusikia Kanisa flani lina fanya maombi kwajili ya Taifa au Mkutano fulani ulioandaliwa kwa sababu ya kuombea nchi. Hivi ndivyo imetokea kwa baadhi ya waimbaji wa muziki wa injili kukutana na kutengeneza wimbo mmoja wenye lengo la kuiombea amani Taifa la Tanzania, hii ni kwa mujibu wa David Robert ambaye ndiye msimamizi wa shughuli nzima ya uandaaji wa wimbo huo.

WAZO LA KUWAKUTANISHA WAIMBAJI
"Siku Moja nikiwa na Bahati Bukuku Likatujia Wazo Kwanini Tusifanye Wimbo Wa Kuombea Amani Tanzania, It was very strong in our hearts, then tukaanza utaratibu wa Kuwatafuta Wanamuziki na Kuwasiliana nao walipo, Ilipata Muitikio Mkubwa sana, Rose Muhando, Bahati Bukuku, Florah Mbasha na wengine wengi unaowajua tukakaa pamoja tuka record, na Jana ndio tumemaliza shooting ya wimbo Huo, kwa sasa tunasubiri tu Kukamilika Kisha tutauweka Wakfu wimbo huo"..Haya yalikuwa ni baadhi ya Maneno Ya David Robert akihojiwa na Samweli Sasali.