Pages

12 September 2013

NI WAKATI WA KUMWOMBEA NA KUMFARIJI SARAH SHILLA KWA KUFIWA NA MAMA MZAZI



Praying for you Sarah Shilla, may Mama Rest in Peace.

It's never easy to loose those we love and holds closer to heart. It's may be somehow easy for someone who is not as connected as you are; but if direct, it's always hard. So I just pray that the Lord will grant you His everlasting peace as you go thought this hard time. May the Holly Spirit give you comfort and strength you need to curry on.

Mama huyo wa muimbaji nyota wa Injili nchini, Sarah Shilla amefariki dunia alfajiri ya leo jijini Dar es Salaam.
Mama Shilla, ambaye amekuwa aliwahi kukatwa mguu hivi karibuni katika kunusuru maisha yake kutokana na ugonjwa wa kisukari, kwenye hospitali ya Muhimbili.

No comments:

Post a Comment