Producer Enock Nyongoto
Mjerumani akifanya mambo yake ndani ya Eck Production
Peace Mulu na Bahati Bukuku nani ya Eck Production
Rose Muhanda
John shabani na Cosmas Chidumule
Bony Mwaitege na Jenifer Mgendi
Benjamin na Faraja Ntaboba
Dogo BS
Producer Eck na Producer Kameta
Tedy Paul na Edson Mwasabwite
Nikiwa mwalimu wa nyimbo za injili Tanzania pamoja na blogu (www.johnshabani.blogspot.com), naipongeza sana studio ya Eck production pamoja na mmiliki wa studio, Mr. Enock Nyongoto, kwa kufanya vizuri sana mwa 2013.
wapo waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili, wakiwemo wale wenye majina
na ambao sasa wameanza kujulikana kwasababu ya kazi nzuri ya Eck production.
Waimbaji kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Edson Mwasabwite, John Shabani,
Faraja Ntaboba, Bony mwaitege, Peace Mulu, Neema Mwaipopo, dogo Dani wa ibada
njema, Manesa sanga na wimbo wake “Huyo
ni chaguo lako” Tedy Paul, Jenifer Mgendi, Isys Msangi wa shetani imekula
kwako, Furaha Isaya pamoja na kwaya na waimbaji mbalimbali kutoka ndani nan je ya
nchi.
Najua studio zipo nyingi, ikiwa unaifahamu studio
iliofanya vizuri pia katika nyimbo za injili, nitumie jina na orodha ya
waimbaji. Lengo ni kuwapongeza wote wanaofanya vizuri katika kuieneza injili ya
Bwana Yesu kwa njia yoyote ile.
No comments:
Post a Comment