Pages

30 April 2014

J VOCAL TRAINING - DARASA PEKEE LA SAUTI NA UIMBAJI

Mwalimu wa sauti John Shabani kikazi zaidi, ni katika kuhakikisha watu wanfanyika kuwa waimbaji bora na si bora kuimba

 Baada ya mafunzo darasani, wanafunzi hupelekwa studio ili kujipima nguvu

Mwalimu John akisimamia mazoezi ya pumzi



Haya ni masomo machache sana niliyoyachagua kati ya mengi ili kukupa hamasa kujiunga na darasa la uimbaji linaloendelea jirani na Landa mark Hotel Ubungo chini ya mwalimu John Shabani na timu yake

Karibu ujifunze

Mambo ya msingi yanayofunzishwa katika program hii:
·        Tofauti ya mwimbaji na mwanamuziki
·        Vyakula na vinywaji vinavyofaa na visivyofaa kwa mwimbaji
·        Sifa na mbinu za kuwa mwimbaji bora
·        Jinsi ya kuitunza na kuiponya sauti yako
·        Amri 10 za sauti/uimbaji
·        Matumizi ya kipaza sauti (Microphone technique)
·        Utunzi wa nyimbo
·        Sifa 4 za kuwa na Album bora
·        Nguzo 4 za muziki
·        Key 7 za muziki
·        Mazoezi ya viungo yanayofaa kwa mwimbaji na faida zake
·        Ushauri kwa wanaotaka kurekodi nyimbo


Kuimba ni kutamka maneno katika hali ya ki-muziki au pia twaweza kusema ni kutamka maneno moja baada ya jingine kwa sauti yenye lahani (sauti ya ala ya muziki, tuni) au ghani (Singing is the act of producing musical sounds with the voice)

Mwimbaji ni mtu yeyote mwenye uwezo wa kuimba au bila vyombo vya muziki (be sung a cappella) au kwa kutumia vyombo. Mwimbaji huyo kwa lugha ya ki-muziki anaitwa vocalist. Ikumbukwe kuwa pia katika vikundi vya uimbaji wapo wale wanaoongoza wengine katika uimbaji (A lead singer) na wengine kazi yao ni kuitikia (backing singers)
N.B
Mwanadamu yeyote mwenye uwezo wa kuongea, anauwezo wa kuimba pia.

Kama vile tulivyo na ala za aina mbalimbali, mwimbaji naye pia anazo ala mbili muhimu:
         Mdomo wenye uwezo wa kutoa sauti ya uimbaji
         Mwili
Kumbuka moja ya vitu vya msingi katika uimbaji ni nguvu (energy)
Mckinney alisema: “As you sing higher, you must need more energy, as you sing lower, you must useless; as  you sing higher, you must use more space; asa you sing lower, youmust need use less””. Zipo nguvu za kiroho na za kimwili. Ili kuwa na nguvu za kimwili unahitaji maji ya kutosha, chakula kizuri, hewa pamoja na  mazoezi ya viungo au ya pumzi.Mwimbaji pia anahitaji Pumzi ya kutosha (Breathing support), chakula kizuri na maji ya kutosha 


Funguo (Keys) 7 za muziki
C-do, D-re, E-mi, F-fa, G-sol, A-la, B-si
Tunaipata key kwa njia mbili: wewe mwenyewe kujitafutia au kusaidiwa na chombo cha muziki. Wewe mwenyewe ukijipa key, waweza kubadili, lakini ukipewa key na chombo huwezi kwenda kinyume.
Hakuna wimbo unaweza kuimbwa katika key zote saba, bali key moja ye mabadiliko ya key kadhaa. Ninaposhuka key ninaita hiyo ni flat na nikipanda chumba hiyo ni sharp, lakini key E na B hazina sharp. Tofauti ya key moja kwenda key nyingine ni vyumba viwili unapokuwa unatumia vyomvo vya muziki.
Kuimba kwenye tempo ni kuimba kwa kufuata mapigo ya drum au aina yoyote ya ngoma au mshindo
 Ikiwa mwimbaji hajajua kuimbia kwenye funguo (key) na  mapigo au mdundo (beat) bado huyo anatatizo kubwa. Hakuna muziki wa zamani na wa sasa, isipokuwa nyimbo ndio zinaweza kuwa za zamani.
MAADHI YA MUZIKI DUNIANI

Tunaposema maadhi tuna maanisha mtindo f        ulani wa muziki au uimbaji.
Kuna maadhi ya aina nyingi duniani, yapo maadhi ya nchi, maadhi ya kabila maadhi ya dini, maadhi ya koo n.k

Chini ni maadhi kadhaa:
Rumba, Reggae, chakacha, kwela, kwaito, Sukous, sebene, rock, kuna pop n.k

Sauti ni mlio wa chochote kinachoweza kusikika

SIFA ZAKUWA MWIMBAJI BORA

Sauti, kwenda na mapigo na kusimama kwenye ufunguo (Key), mwonekano,  (appearance), Uwezo wa kuitumia sauti na kuitawala (Manage your vocal), Stage presence (Muonekano jukwaani), kujiamini, kujitambua, kujithamini Self Cofidance) n.k.

HATUA 4 ZA KUREKODI AU KUWA NA ALBAM BORA
1.   Mwimbaji kuwa bora
2.   Tungo au ujumbe bora
3.   Muziki bora
4.   Studio bora
NGUZO 4 ZA MUZIKI
1.   Kusikiliza muziki/uimbaji
2.   Kuhifadhi muziki/uimbaji
3.   Kufanyia kazi muziki/uimbaji
4.   Kuzalisha muziki/uimbaji


Mazoezi kwa mwimbaji
Pamoja na faida nyingi za mazoezi lakini pia mazoezi huchangamsha mwili, hulainisha koo, husaidia kuwa na pumzi ya kutosha, hukuhepusha au kupunguza baadhi ya magonjwa kama kisukari, presha n.k, hung’arisha ngozi, na kusaidia mfumo wa mzunguko wa damu, MAZOEZI HUSAIDIA KATIKA MFUMO WA USAGAJI CHAKULA KUWA MZURI , KUKUPA NGUVU NA KUWEZA KUFANYA KAZI KWA NGUVU ZAKO BILA KUJISKIA UMECHOKA NA MWISHO WA SIKU HUPUNGUZA MAFUTA MWILINI,  HUPUNGUZA UZITO, KUNYOOSHA NA KUIMARISHA MISULI YA MWILI, HUSAIDIA MAPIGO MAZURI YA MOYO KWA KUONGEZA KASI YA MAPIGO YAKE WAKATI WA MAZOEZI, UNGUZA MRUNDIKO WA DAMU KWENYE MISHIPA, HII NI MUHIMU KWA SABABU MGANDO WA DAMU HUSABABISHA MAGONJWA YA MOYO PAMOJA NA KUPOTEZA FAHAMU, MAZOEZI HUIMARISHA MIFUPA YA MWILI, HUBORESHA USINGIZI.

Ni vidokezo tu, karibu darasani utajifunza mengi!
0713 778 778

27 April 2014

HATIMAYE JOHN SHABANI AHITIMU MASOMO YAKE KWA NGAZI YA DEGREE

John akiwa na uso wa furaha baada ya kumaliza masomo yake kwangazi ya degree (Bachelor of arts in Biblical Studies)



 Mmoja wa wakurugenzi wa chuo hicho, Dr. Lee, akiwapiga wanafunzi msasa wiki moja kabla ya mahafali



 John Shabani na mwandishi wa habari, George Kabula



 Elimu haina umri, huyu hapa ni bibi wa miaka 80 akifurahia kumaliza masomo yake

Mary B. Nyerere

Baadhi ya wanafunzi waliohitimu masomo yao kwa ngazi ya diploma


Imekuwa siku ya furaha na shangwe kwa wanafunzi, ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria katika mahafali ya pili ya chuo cha kimataifa cha Biblia (International School of ministry – ISOM), tawi la Tanzania. Kwa mara ya pili sasa, lakini pia ni mara ya kwanza kwa ngazi ya degree au BA (Bachelor of arts in Bible knowledge)

Chuo cha ISOM kikishirikiana na chuo kikuu cha uongozi (Christian Leadership University) vyenye makao makuu huko Marekani, kwa mara ya kwanza Tanzania, wametoa vyeti kwa ngazi ya shahada na stashahada (Diploma and BA).

John Shabani ni kati ya wanafunzi waliotunukiwa cheti kwa ngazi ya degree. Kabla ya kuhitimu, chuo kilipata bahati ya kutembelewa na mmoja wa viongozi wa ISOM kutoka Marekani, Dr. Lee. Kiongozi huyo aliwapiga msasa wanafunzi kwa muda wa siku tatu.


Usajili wa wanafunzi wapya unaendelea.

24 April 2014

CATHERINE KYAMBIKI KUMTANGAZA YESU KWA MATAIFA MBALIMBALI

 Yanapotajwa majina ya waasisi wa njimbo za injili Afrika mashariki, basi jina la dada Catherine Kyambiki lazima liwemo. Ni mwimbaji wa nyimbo za injili aliyemtumikia Mungu kwa miaka mingi. Zaidi ya kuimba pia catherine ni muhubiri wa kimataifa, amekuwa akizunguka katika mataifa mbalimbali, akimuhubiri Yesu, kuombea wagonjwa na kuwafungua waliosetwa na ibilisi
 


Kumbuka, watumishi wenye huduma kubwa, wenye mzigo mkubwa wa kzi ya Bwana, ndio pia wenye majaribu makubwa; hivyo unapoombea watumishi mbalimbali, usisahau kulitaja jina la Catherine Kyambiki.

21 April 2014

FROM KAMPALA: PRESIDANT YOWERI KAGUTA MUSEVENI AND THE FIRST LADY JOINED OTHER CHRISTIANS FOR EASTER PREYERS

Museveni’s status:
Mama Janet and I joined other Christians for Easter prayers at St. Mathew Cathedral Kyamate in Ntungamo district. We prayed for our country's blessings, unity and prosperity for all Ugandan families.



The preaching of the Diocese is in line with the National Resistance Movement ideals that are against any form of sectarianism including religious sectarianism. We focus on uniting all Ugandans to work for national development. I was, therefore, very pleased to meet Muslim Sheikhs attending Easter prayers at the cathedral.
During Amin's time, there were Chaplains and Sheikhs embedded in the Army who were teaching disunity. When I took charge of Uganda, I was forced to send away religious leaders from all military barracks because their messages to the army were largely divisive and could not be tolerated. I am very happy that the messages from the church today emphasize unity.
South Ankole Diocese undertakes development projects to generate income and I salute them for enhancing God's work. I pledge Government support in those endeavors.
This day, our Lord Jesus Christ resurrected to eternity. While we build our relationship with God to join him in the hereafter, every Ugandan must work and increase our household incomes and eradicate poverty. Every household should become a commercial unit.
I appeal to you all to heed Government's guidance and engage in commercial activities such as growing fruits, coffee, bananas, rearing of diary cows, and mushrooms and poultry for those who own small land pieces. Government continues to provide seedlings inspite of the challenges we've had with NAADS that we are restructuring. Our soldiers have done very well distributing seedlings and breeding materials with a fraction of the money we spend on NAADS every financial year.
I caution you against land fragmentation. Distribution of land bequeathed to siblings into small pieces affects land productivity. We must change our mindset on inheritance and cultivate collectively, and share proceeds of your crops following percentages of shares as bequeathed by parents.
Maama Janet and I wish you and family, blessed Easter holidays. Please don't indulge in what is not worthy before God.