Pages

17 February 2015

TAWIA SHOWING LOVE TO THE WIDOWS AND THEIR CHILDREN ON VALENTINE DAY




Tawia members on Valentine event

Tawia members together with their children


For the first time in Tanzania, through TAWIA, widows gathering /enjoying together with their children on valentine  day .

TANZANIA WIDOWS ASSOCIATION - TAWIA
is an non – Governmental and non- profit making organization, registered under the laws of Tanzania, with the registration number 19708, under the societies act (Cap. 337 R.E. 2002)

Tawia dedicated to the Men and Women who have lost a spouse or significant other, and children who have lost a parent.

Our Motto: Bringing hope to the widows & their children
Our goal is to assist Men, Women, and children who are walking the unwelcome path of a devastating loss of a spouse, significant other or parent by providing educational, emotional, spiritual, physical and financial resources needed to move forward.


OUR STRATEGIC PLANNING
  • To provide educational support programmes for children of widows.
  • To provide counseling and support centers.
  • To sources for funds and mobilize resources for the organization.
  • To lend support to and cooperate with local, national and international organization with similar purpose

DONATIONS
Giving That Gives Back
TAWIA works hard to serve our very special community. Being there for widows is especially important since many social service agencies, hospitals and hospice groups that might offer support are experiencing budget cutbacks. TAWIA helps women rebuild their lives for as long as they need us. For those reasons, we’re working harder than ever to raise the funding to back our programs and services, pursuing public and private grants and charitable foundation support. In addition, in the same way that the TAWIA looks to its own for emotional support, we also look to those among us who can help us financially so we can continue to fulfil our mission. For example, we actively seek corporate sponsorship and the generosity of individuals.
When a woman becomes a widow in Africa there is usually no money for living purposes let alone educating their children. As a result children are quite often forced to work either in the streets or in factories. Sending a child to school is a cost a widow can’t afford as they need a uniform, exercise books, etc.
Therefore, we have helped finding support to educate children and here is an update on the numbers.
Before I provide any figures I just want to advise that when our supporters help us to send a child to school we make a 5 year commitment. This means there is a guarantee in place that the education they receive is long lasting rather than stopping and starting which isn’t particularly helpful.


If you want to get involved in helping to educate a child please, contact with us

HOW TO CONTACT US
Do you have any questions, comments, or enquiries? Direct general questions,
comments or to contribute?

P.O.BOX 33476
DAR ES SALAAM
E-mail: widowstz@gmail.com

MOB:
+255716214680 – Chairperson
+255754818767 – General Secretary

Bank Account:
CRDB BANK
Kijitonyama Branch
Ac no. 0150259153300

9 February 2015

HARUSI TATU KATIKA SIKU MOJA NDANI YA CITY HARVEST INTERNATIONAL - DAR ES SLAAM



                                           Mtume Livingstone akiwafunda wanandoa
                                                          kupitia Neno la Mungu

                                                 Mabwana harusi wa siku hiyo

                                       Maharusi wakiweka shihi zao kwenye vyeti vya ndoa





                                             Maombi ya nguvu kwa wanandoa

Mtume Livingstone Banjagala wa huduma  ya  City Harvest International Church- Dar es Salaam. Amefungisha ndoa tatu. Imekuwa ni wiki ya pekee kwa huduma hiyo, kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza kufungisha ndoa tatu kwa mpigo. Pia Mtume Banjagala ametabiri mavuriko ya harusi kwa vijana wa kike na wa kiume

Baadhi ya maneno ya mtume Livingsone:
Wow wedding sunday was concostic. Three weddings took place. I prophesy da anointing of wedding to u in Jesus name name if ur not married n u believe shout I recieive..

6 February 2015

HABARI NJEMA KUTOKA KWA RULEA SANGA

kama ilivyo kawaida yake, kijana Rulea sanga, safari hii anakuletea viatu vya aina mbalimbali kwa wanaume na wanawake bila kusahau mikoba ya kisasa ya kinadada,

Acha kuangaika kununua bidhaa zisizo dumu, tembelea ofisi za RumaAfrica zilizopo maeneo ya Sinza Afrikasana, hakika uatafurahia bidhaa hizo zinazovutia tena ni imara sana.
Waweza pia kupiga simu
0715 851 523 au tembelea
www.rumaafrica.blogspot.com

3 February 2015

HATIMAYE CHINI YA USIMAMIZI WA MWL. JOHN SHABANI WATOTO WA SHALOM ORPHANAGE WAREKODI ALBAM YAO YA KWANZA

Mwl. John Shabani akitoa darasa 
kwa watoto wa Shalom Orphanage




Nilitembelea kituo cha Shalom Orphanage Centre mwaka 2014, hakika nilijifunza mambo mengi, huku nikijaribu kuona tofauti iliopo kati ya vituo mbalimbali vya watoto yatima nilivyowahi kuvitembelea Tanzania na nje ya mipaka yetu.

Mlezi wa kituo hicho Mama Warra Nnko, kwanza ni Mjane, pili baada ya kuguswa na haili ya maisha ya watoto yatima, aliamua kusahau hali yake ya ujane na kujiona kuwa anayo nafasi kubwa ya kufanya lolote awezalo ili kuyakomboa maisha ya mtoto yatima Tanzania. Ndipo Mama huyo alipoamua kutoka katika Jiji la Arusha, huku akiacha makazi yake mazuri na kujielekeza huko karatu, ni takriba kilomita 160 kutoka Jiji la Arusha. Tangu mwaka 2004 Mama huyo akilea watoto yatima katikamakazi aliyofanikiwa kuyapata huko karatu. Ukifika Shalom Orphanage Centre hakika huwezi kuyazuia machozi yako, hasa bale unapoona zaidi ya watoto 60, wengine wachanga, wengine wenye ulemavu, wengine walioathirika na ukimwi, wote hao humwita Mama warra jina moja tu (Mama)
Ikumbukwe, jirani na wilaya ya karatu ndiko kunakoongoza kwa vivutio vya utalii Tanzanzania, hivyo, kwasababu ya habari zilizoeneo kote duniani kuhusu kituo hicho, watalii na wasamaria wengi wanaotembelea Ngorongoro, Serengeti, n.k, mara nyingi pia hukitembelea kituo hicho. 

Niliposikia habari za kituo hicho, nikiwa mwana harakati wa haki za Binadamu, nilifunga safari na kutembelea shalom Orphanage, nikajisikia kunzisha program ya kuibua vipaji hasa vya uimbaji. Kwa kuanzia, tayari mapema mwaka huu wa 2015, tumerekodi Albam ya kwanza na maandalizi ya mkanda wa video yanaendelea. Naamini kwa kupitia ujumbe uliomo ndani ya nyimbo hizi utagusa mioyo ya watu wengi ndani na nje ya nchi. Lakini pia mkanda wa video utakiunganisha kituo na dunia, kwani nyimbo hizo zitatafsiriwa kwa lugha ya kingereza. Pia nyimbo hizi zitawaingizia kipato.
Baadhi ya nyimbo zilizomo katika Albam hiyo ni: Mtoto wa mwenzio ni wako, Sitaitwa Yatima tena, Nani kama Mama, Baba wa Yatima na Tanzania.

Endelea kuombea kituo hicho, na pia unaweza ukatoa
mchango wako wa hali na mali ili kuwabariki watoto hao.