Pete ni heshima, ni ishara ya uunganiko, ni ishara ya makubaliano!
Pete anapovalishwa mtu ni ishara ya
kumkubali,kama huyu ndiye. Kwa ufunuo wangu, pamoja na kuvalishana pete
kidoleni lakini zaidi mvalishane Yesu mioyoni. Mimi wakwangu nitamvalisha Yesu
zaidi.
Siku izi kama hauna pete,utaitwa
mhuni(haujaoa).Au watu watakuwa na mashaka na uhalali wa ndoa yako.Maana tumeaminishwa
wakt wa kufunga NDOA lazima pete ihusike.
Lakn leo,Nataka nikwambie juu ya PETE MOJA tu,Nayo ni ile inayopatikana
katika kitabu cha ESTA 8:2"Basi mfalme akaivua PETE yake aliyompokonya HAMANI,akampa MODeRKaI"
Biblia inasema AKAMPA MORDEKAI,halleluyah.
Hii inamaana kwamba HAKI yako ipo na haijalishi upo katika nchi gani, haijalishi upo wap, ila nataka nikwambie MUNGU ameshaandika yaliyo MEMA kiganjani kwake.
Haijalishi wakt gani, ila muda ukifika Umefika tu, mimi bado nasubiri.hahahahhahahha, kumbe PETE aliyokuwa amepewa HAMANI ilikuwa haimtoshi,mi sijui ilikuwa OVeRSIZe au ilikuwa sio OVeRsIZE
Biblia inasema AKAMPA MORDEKAI, katika JINA la YESU kila unachostahili kupokea katika JINA la YESU ukapokee
Wale wote waliovaa PETE yako wakavulie katika JINA la YESU,iwe PETE ya KAZI,NDOA, UZIMA, nEtworK,Biashara,SAFarI n.k
Wakavulie katika JINA la YESU KRIstO
Ukafikwe wewe katika JINA la YESU
No comments:
Post a Comment