Pages

17 February 2021

TANZANIA REVIVAL CONFERENCE WITH EVANGELIST TONI JETON KEQANI

The earth is covered with great fear, the world is shaken...!!
But there is a God in heaven who is invincible, a God who does what human beings have failed 

Stay tuned

Don't plan to miss at the REVIVAL CONFERENCE 
IT'S A FIRE CONFERENCE FOR ALL PEOPLE. Together we'll praise and worship our God. Also they will be:👉🔖 Salvation👉🔖 Healing👉🔖 Delivarance👉🔖 Teaching👉🔖 Preaching👉🔖 Impartation👉🔖 Signs and Wonders.
Come and experience the presence of God through this humble man of God all the way from Germany, Evangelist Toni Jeton Keqani

8 February 2021

KARIBU TANZANIA MTUMISHI WA MUNGU JETON KEQANI (Wellkommen in Tanzania Gottes Dienner Jeton Keqani)


 Kutoka Ujerumani, ni mtumishi wa Mungu aliyeandaliwa chini ya malezi ya rafiki na mzazi wake wa kiroho Reinhard Bonnke. Mnyenyevu, asiyeta kujisifu, kujitangaza bali kazi zijitangaze zenyewe. Ni zaidi ya rafiki kwangu. Tangu nilipokutana naye nimejifunza unyenyekevu, utulivu, kuona mbali, kumsubiri Mungu, kumsikiliza Mungu nk.

Safari hii anakuja Tanzania kwa makongamano ya uamsho mikoa kadhaa.
Nitaendelea kukujuza lini na wapi.


UNAPOKUWA KWENYE WAKATI MGUMU

 


UNAPOKUWA KWENYE WAKATI MGUMU 
Haijalishi uko kwenye wakati mgumu kiasi gani, acha kutia huruma haitakusaidia.
Wakati huna pesa, wakati mambo hayaendi, wakati hujafanikisha kodi ya nyumba, huna ada, huna biashara, au biashara haina faida, huna kazi, unauguza, wakati umetendwa na ndugu, rafiki, boss, mchumba, mume, mke, wakati wa maumivu ya kufiwa, kuachwa, kusemwa vibaya...huo ndio wakati wa kujiweka sawa, pendeza, changamka, kilichopo kula, 

angalia movie nzuri, sikiliza nyimbo nzuri, soma makala na vitabu vizuri kama kile changu cha "MARUFUKU KUKATA TAMAA" toka kidogo, nenda sehemu nzuri yenye mazingira mazuri, fanya ibada pia kuwa busy na mambo yako,


the more you think about bad situation, the more weak and pissed off i become. I just have to let things be and let it go. That makes me cool and lively all time.

Bado kuna nafasi nyingi yakufanikiwa, bado kuna nafasi ya kupenda na kupendwa, kuna yale yamesababishwa na mazingira au watu wengine, yale umesababisha mwenyewe, kuna yale yameletwa na ibilisi lakini yapo yale yaliyo ruhusiwa na Mungu mwenyewe. Unachotakiwa kujua kuna namna Mungu anahitaji uwe kabla ya kulifikia kusudi lake.