29 February 2012
RUMATZ, BLOG MAARUFU BARANI AFRIKA
10:37
No comments
Mtalaamu wa Blogs, Website na Graphics Tanzania, Mr. Rulea Sanga
ambaye ndiye pia mmiliki wa blog ya rumatz.blospot.com
Kazi kubwa ya rumatz ni kumtangaza Mungu kwa wale tu wasiomjua na kumwamini
27 February 2012
GLORIOUS CELEBRATION BAND
Band nzuri inayovuma kwa sasa nchini Tanzania, kwa uchezaji wao wa staha na sauti zenye kusikika vyema. Kiongozi wa Glorious Celebration Band Emmanuel Mabisa, aliongea nasi machache kuhusu kazi yao na malengo waliyonayo katika kuujenga mwili wa Kristo.
“Maono yetu ni kufanya huduma mashuleni na vyuoni kwa ajili ya kuwahubiria Vijana Habari njema za Kristo, na pia kufanya matamasha makubwa mbali mbali”
Alkadhalika kundi hili linaundwa na waimbaji mahiri wanaosikika kwenye soko la muziki wa injili na wengine chipukizi wanasikika. Band hii inalelewa na msimamizi mkuu Bishop Mwakang’ata wa Full victory Gospel Church ya Chang’ombe Temeke, Dar es salaam.
Waimbaji wengine wanaounda kundi hilo ni Angel Bernard ambaye ndiye mweka hazima, Chaka Mtunguja Katibu wao, Jesca Honore, Nice Marandu, Davina, Risper, Ima Malisa, Emmanuel Materu, Emmanuel Gripa, Daniel Kibambe, Arone Botto, David Silomba, Ester Peter, Paul Mwakanyamale na Mercy Denis.
Kwa sasa wanajiandaa kurekodi Live Dvd mapema mwezi wa sita mwaka 2012! Hapo awali wamerekodi video ya album yao ya kwanza NIGUSE, unaweza kufarijika kwa kusikia wimbo huu wa NIGUSE,
Mpaka sasa wametimiza mwaka mmoja tangu wameanzisha bendi yao na wametoka na album ya NIGUSE….hata hivyo kama watu walivyozoea kila Ijumaa kuwaona THE ATRIUMS HOTEL, kwa sasa itakuwa wanamtukuza Mungu kila ijumaa ya mwisho wa mwezi, viwanja vile vile.
Tanzania tunajivunia kuwa na waimbaji kama hawa!
18 February 2012
JOHN SHABANI NDANI YA ABUNDANT BLESSINGS CENTER
John Shabani akihudumu
John Shabni akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi waliosimikwa
Huyu ndiye Askofu Ndbila na mke wake
Hii imekuwa ni siku ya pekee kwa huduma ya ABUNDANT BLESSINGS CENTER. kwa mara ya kwanza huduma hii jumapili ya tarehe 18\02\2012, wamesimikwa watumishi mbalimbali tayari kwa ajili ya kazi ya Bwana katika taifa la Tanzania. Mwanzilishi wa huduma hii ni Askofu Ndabila. Ibada hii ya kuwapaka mafuta watumishi, imepabwa kwa nyimbo mbalimbali kutoka kwa Mwinjilist John Shabani. Miongoni mwa waliosimikwa ni pamoja na mke wa Askofu nabila. Shughuli hiyo ya kusimika watumishi imefanywa na Bishop Dr. Mwakilema na kuhudhuriwa na Watumishi mbalimbali.
16 February 2012
JOHN SHABANI NDANI YA ATN SIKUU YA WAPENDANAO
11:34
No comments
Hivi ndivyo ilivyokuwa sikukuu ya wapendanao (Valentine day) ndani ya ukumbi wa ATN (Agape Television Network) mbezi jogoo tarehe 14/02/2012.
Tofauti na watu wengine wanavyoichukulia siku hiyo kinyume na maana ya siku yenyewe, lakini uongozi na wapenzi wa ATN walijumuika pamoja wakibarikiwa na uimbaji kutoka kwawaimbaji mbalimbali pamoja na Mtumishi wa Mungu John Shabani na kundi lake na baadaye Neno la Mungu kutoka kwa Watumishi wa Atn. Masuala ya msosi hapo usiseme.
Tofauti na watu wengine wanavyoichukulia siku hiyo kinyume na maana ya siku yenyewe, lakini uongozi na wapenzi wa ATN walijumuika pamoja wakibarikiwa na uimbaji kutoka kwawaimbaji mbalimbali pamoja na Mtumishi wa Mungu John Shabani na kundi lake na baadaye Neno la Mungu kutoka kwa Watumishi wa Atn. Masuala ya msosi hapo usiseme.
12 February 2012
TANZANIA GOSPEL MUSIC ASSOCIATION (CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA - CHAMUITA)
MEMBERSHIP CARD
KADI ZA UANACHAMA
KADI ZA UANACHAMA
MALENGO NA MADHUMINI
Chama kitaendeshwa kama chombo kisicho na malengo ya kupata faida na chenye malengo na madhumini yafuatayo;-
i) Kulinda utamaduni wa Tanzania na heshima ya muziki wa Injili, sawa na Neno la Mungu
ii) Kuhamasisha maendeleo ya muziki wa Injili na nyanja zake nyingine
iii) Kutoa ushauri katika mambo yote yahusuyo muziki wa Injili, na watumishi wa Mungu waimbaji pia.
iv) Kuwakilisha na kulinda maslahi ya wanachama kitaifa na kimataifa.
v) kuwa chombo cha kuwezesha mawasiliano kati ya watu na vikundi katika kupeana taarifa kuhusu muziki wa Injili hapa nchini, na pia kuwezesha mawasiliano ya kimataifa.
vi) Kuwa na rejista ya wanamuziki wa Injili na kazi zao. Ili kusaidia kulinda na kutangaza haki za wanachama.
vii) Kutafuta mapato kwa njia ya ada, michango, harambee, maonyesho, kukopa, ufadhili au zaidi katika kuendeleza malengo na madhumuni ya Chama.
viii) Kuwawezesha wanamuziki wa Injili kwa njia ya kuwaongezea elimu
ix) Kuinua hadhi ya muziki wa Injili nchini
x) Kutambuliwa rasmi na Serikali yetu na wadau wengine
xi) Kuwekeza katika miradi, na kujipatia kipato kwa njia ya kuwakomboa jamii ya wanamuziki wa injili.
E-mail: princejohntz@yahoo.com
10 February 2012
KULIKONI WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI?
Jamani kuna nini katika muziki wa Injili? Inasikitisha wasanii wa Bongo fleva wamejitokeza kwa wingi katika kumpongeza mwimbaji wa Injili Rose Muhando baada ya kuchaguliwa na kampuni ya kimataifa ya sony Music, lakini waimbaji wenzake wainjili hawakutokea! Ebu tujadiliane, jamani tatizo ninini?
9 February 2012
ROSE MUHANDO AULA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA SONY MUSIC
Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Afrika mashariki, amefanikiwa kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa ya Sony Music. Hii ndio kampuni pekee Duniani inayoingia mikataba mikubwa na wasanii. katika Nchi tano za Afrika Mashariki, ndio kwanza mwimbaji pekee wa injili aliyefanikiwa kuingia mkataba na kampuni hiyo bado ni Rose muhando.
Mwalimu maarufu wa muziki wa injili afrika Mashariki bwana John Shabani, akiwa katika picha ya pamoja na Rose Muhando pamoja na Bahati Bukuku katika hotel ya kilimanjaro, mara tu baada ya viongozi wa Sony music kumtambulisha Rose.
Rose Mhando ambaye ni muimbaji wa muziki wa Injili katikati akizungumzana waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam akiwa amepenya katika mchujo wa wanamuziki zaidi ya 100.
Mkurugenzi Mkuu wa Benchmark Production Madam Ritha Paulsen akiuliza maswali wakati wa mkutano wa Rose Muhando na Waandishi wa Habari.
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Sony Music Bw. Russel Crawford akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano baina yao na Mwanamuziki maarufu wa Injili nchini Rose Muhando ambaye amepata fursa ya kurekodi nyimbo na Kampuni ya Sony Music. Wa pili Kushoto ni Music and New Business ROCKSTAR4000 Christine Seven Mosha, Rose Muhando na Manusha Sarawan wa Sony Music.
EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC.
Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists which includes some of the most important recordings in history.
Rose Muhando is undoubtedly one of Africa’s biggest selling and most acclaimed gospel artists, with millions of fans throughout East Africa and her home country Tanzania. The gospel diva has now been signed to a multi-album recording deal with Sony Music, and a full services management deal with Sony Music and ROCKSTAR4000.
Sony Music Entertainment Africa views the continent of Africa as a highly important music development frontier and believes that some of the best talent in the World is currently creating and performing music across the continent. Sony has set its sights on becoming the primary partner of the best Africa has to offer and has high hopes that with its assistance, African musicians can achieve new Pan African and Global success.
“We’re so excited about the wealth of talent we are discovering literally daily in Africa.” says Managing Director of Sony Music Entertainment Africa Sean Watson. “Rose is a magnificent example of the level of talent we mean to invest in. Her gift is quite extraordinary and we are very proud to be her partner. We count her alongside us as a pioneer of a new era in African music.”
’Its a new and exciting time for amazing talent and music from Africa to shine and we are thrilled to have a star like Rose as part of the family and to represent Rose through the next chapter of her very successful career’ said Jandre Louw, CEO of ROCKSTAR4000 Music Entertainment.
‘I am thrilled and honored to be working with great African talents. Rose Mhando is a new addition to this roaster of clients that embodies what Rockstar 4000 believes and stands for. She is an Iconic local Tanzanian brand that we will develop to become an International brand’ added Christine Seven Mosha, Music and New business of ROCKSTAR4000
Rose was so excited and thanked the God for all he has blessed her with.
Rose Muhando was born in 1976 and was raised in Dodoma, Tanzania.
On being deathly ill, Rose converted to Christianity and it was this move, her leading the choir at her local church and her meeting Nassan Wami that prompted her first album recording.
Today Rose lives in Dar Es Salaam where her career has flourished over the last 10 years. To date, Rose’s first album shattered sales records, selling over 5 million copies. She currently has her second album (JipangeSawaSawa) out, which has already sold well over 1.3 million copies. The magical voice has not been restricted to Tanzania and she has toured extensively across the African continent, covering cities in Kenya, Mozambique, South Africa, Malawi. Congo, Uganda. Rose has also been well received in the United States.8 February 2012
PRAISE AND WORSHIP HOUR WITH JOHN SHABANI
04:41
1 comment
Jumapili hii Mwalimu John shabani amegusa mioyo ya maelfu ya waumini waliohudhuria ibada katika kanisa la Mikocheni B' assemblies of God. Akiongoza sifa na kuabudu katika kanisa hilo, uwepo wa Mungu ulishuka na kulijaza Hekalu hilo kama vile siku ya pentekoste.
Naye Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Daktari getrude rwakatare amewakumbusha watu kwamba yesu yu karibu kurudi kulichukua kanisa. Pia Muhubiri wa kimataifa aliyekufa na kufufuka baadaya siku saba Mchungaji Emmanuel Twagirimana, ameongoza maombi na maelfu ya watu kufunguliwa na nguvu za giza pamoja na kuwaombea wenye mahitaji mbalimbali.
Naye Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Daktari getrude rwakatare amewakumbusha watu kwamba yesu yu karibu kurudi kulichukua kanisa. Pia Muhubiri wa kimataifa aliyekufa na kufufuka baadaya siku saba Mchungaji Emmanuel Twagirimana, ameongoza maombi na maelfu ya watu kufunguliwa na nguvu za giza pamoja na kuwaombea wenye mahitaji mbalimbali.
5 February 2012
SARAH SHILLA - MWANA DADA WA KITANZANIA ANAYEFANYA VIZURI HUKO INDIA
10:37
No comments
Sarah akiimba kwa hisia kali
Sarah akiwa jukwaani
Sarah Shilla ni mwanadada wa kiafrika kutoka Nchini Tanzania mwenye kipaji cha aina yake, kwa kuonyesha ujuzi wa kutumia vyombo vingi vya muziki huku akiipaza suti yake kama kasuku.
Sarah Shilla ni mwanfunzu wa P.T.U PUNJAB chuo kilichopo INDIA na ndipo huwa anafanya shughuli za muzika pamoja na masomo yake Nchi INDIA
Hii ilijidhirisha katika kuuaga mwaka, baada ya kuwashangaza watu walioudhuria mkutano wa mahubiri ambapo aliweza pia kuonyesha uwezo wake wa kulielea neno na kuwapa waliofika
katika viwanja hivo neno, ni mkutano
TUMAINI - MWIMBAJI WA INJILI ANAYEFANYAVIZURI KENYA
Jina Akilimali Tumaini, ni miongoni mwa waimbaji wa injili wanatikisa kenya. Tumaini ambaye ni moja ya matunda ya mwali John Shabani, nyota yake imeonekana kung'aa huko Kenya hasa katika jiji la Nairobi kiasi kwamba kila hatua fulani lazima utakutana na pango lenye picha ya kijana huyo. Tumaini ni miongoni mwa wanafunzi wa John Shabani waliopatikana katika mashindana ya kusaka vipaji miaka kadhaa iliyopita jijini Dar es salaam na baadaye kuamia Nairobi Kenya.
Subscribe to:
Posts (Atom)