29 December 2013
SEMINA KUBWA NA MKESHA WA NGUVU ATN
20:44
No comments
Uongozi wa ATN wanakuletea Semina kubwa ya Neno la Mungu itakayoanza January 1 - 4 kila siku jioni ikiambatana na mkesha mkubwa utakaofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 3 kuanzia saa 3 usiku. Waimbaji mbalimbali watasifu, watumishi mbalimbali watahubiri na kufanya maombi maalum kwa kila mtu. Hakuna kiingilio na watu wote mnakaribishwa.
25 December 2013
Bony Mwaitege, Bahati Bukuku, Upendo Nkone wawasha moto wa Injili ndani ya Usatawi wa Jamii
13:54
No comments
Imekuwa
ni jumatano ya pekee ambapo watu waliohudhuria ibada zinazoendelea ndani ya
ukumbi wa chuo cha Ustawi wa jamii, wamebarikiwa sana na huduma za watumishi hao
wa Mungu
Pamoja
na uimbaji pia Neno la Mungu lililohubiriwa na mwana mama Bahati Bukuku limewafungua
watu mbalimbali ambapo baadaye watumishi hao wa Mungu wakishirikiana na Mch.
John Shabani, wamewaangoza watu katika maombi ya toba na kuwafungua watu katika
vifungo mbalimbali vya ibilisi. Pia waimbaji wengine wengi wamehudumu.
Mchungaji
Benjamin Bukuku ambaye ndiye mbeba maono wa huduma hiyo, anakualika jumapili
hii na jumatano katika ibada ya mwaka mpya. Waimbaji mbalimbali watahudumu kwa
uimbaji.
24 December 2013
UJUMBE WA KUMALIZA MWAKA KUTOKA KWA MCHUNGAJI KIJANA
03:29
No comments
Tunapomwaliza mwaka, ni mengi tumekutana nayo, mengine ni changamoto tu za kutuhimarisha, mengine ni mahudhi, mengine ni makwazo na majaribu, mengine tumeyasababisha wenyewe, mengine kutoka kwa ibilisi mengine ni mkono wa Mungu mwenyewe.
(Romes 8:28 We know that all things work together for good for those who love God, who are called according to his purpose.
Haata pale ambapo unaona mambo yamekuwa magumu na huwezi kuendelea, usimpe ibilisi nafasi ya kukutoa kwenye mpango wa Mungu, bali wewe mshukuru Mungu na endelea kuamini mpango wake katika maisha yako kuwa ni kamili na atautimiliza. Katika mambo yote mshukuru Mungu maana ni mapenzi yake katika Kristo Yesu.
Heri ya mwaka mpya!
17 December 2013
JIPATIE DVD YAKO YA SHILO SASA
09:31
No comments
Ile DVD ya Kongamano la Shilo Tanzania 2013 sasa inapatikana kanisani Mikocheni B' Assemblies of God. Barikiwa na mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa Askofu Maboya, Askofu Mrisa, Dk. Getrude Rwakatare na Mch. Noah Lukumay. Pi utabarikiwa na wimbo maalum wa shilo Tanzania ukiongozwa na John Shabani akishirikiana na Shilo mass choir, maombi kwa ajili ya taifa na tukio la uzinduzi wa shilo.
WAIMBAJI MBALIMBALI WANYIMBO ZA INJILI TANZANIA (TANZANIA GOSPEL ALL STARS) KUREKODI NYIMBO ZA HARAKATI
05:06
No comments
Waimbaji mbalimbali wa Injili chini ya usimamizi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, kwa pamoja wameanza kurekodi nyimbo mbalimbali za harakati
Nyimbo hizo ni kama: Wimbo wa Haki za binadamu, Madhara ya rushwa, Umoja n.k. Nyimbo hizo zinazosimamiwa na Mlezi wa chama Mheshimiwa Martha Mlata, mwalimu John Shabani na uongozi wa chama zinarekodiwa katika studio ya TWINS RECORD iliyopo Ubungo Rever Side.
Nyimbo hizo ni kama: Wimbo wa Haki za binadamu, Madhara ya rushwa, Umoja n.k. Nyimbo hizo zinazosimamiwa na Mlezi wa chama Mheshimiwa Martha Mlata, mwalimu John Shabani na uongozi wa chama zinarekodiwa katika studio ya TWINS RECORD iliyopo Ubungo Rever Side.
Tayari waimbaji mbalimbali wameingiza sauti zao.
10 December 2013
WELCOME TO MOUNTAIN OF FIRE ASSEMBLIES OF GOD! WELCOME TO SHILOH TANZANIA 8-15/2013
20:12
No comments
John Shabani together with shiloh mass choir singing a shiloh song
Shiloh Tanzania; Come and experience the mighty and awesome move of God.
Come experience the best of Praise & Worship, The On-Time Word and
Revelation of God from Bishops, Pastors, Apostles and Prophets. The Mighty move
of the Hand of God will change your life forever. We look forward to seeing you
there!!! For more information
Call: +25571656009
E-mail: touchingvoice@yahoo.com
Shiloh is a place where the
chosen nation of Israel in those days gathered annually with their gratitude,
as well as laid their pain and concerns at God’s feet requesting for Salvation
and deliverance from Him. It is the place where long standing afflictions,
plagues are brought to an end, and the people’s needs are met, as was the case
of Hannah. It is the place where each family’s inheritance is allotted to them;
the place where the word meant for everyone is given. Shiloh is actually the
revelation name of our Lord Jesus Christ, our peace who appears as we wait on
Him with praises at Shiloh.
He is The Shiloh we are meeting this year. Shiloh
is a covenant pact between God and Man: we come prepared to worship with the
fruit of our land and He meets us with all blessings according to our faith and
expectations. So this year, come not with empty hands. Bring your family, your
friends, and be ready to dance, celebrate, and expect that you’ll never go back
the same.
Be expectant and be prepared for it.
No matter
what situation you are passing through, by the grace of God of Shiloh,
Everything will be alright. During the special anointing service at the grand
finale, we shall lift up the prayer requests and the expectations of the saints
before the Lord and I will like that yours be among them. Note: Even if you are
far from Dar es salaam or Tanznia, don’t worry; Just write your prayer and
request and send them to our e-mail: touchingvoice@yahoo.com
At Shiloh, everything will be alright! Welcome!
At Shiloh, everything will be alright! Welcome!
2 December 2013
NI MLIPUKO WA INJILI NDANI YA EMAUS PRAYER CENTER NA JOHN SHABANI
02:28
No comments
Imekuwa ni jumapili ya kipekee ndani ya Emaus Prayer Center Dar es salaam, ambapo watumishi mbalimbali wamewasha moto wa injili. Ilikuwa ni sifa, kuabudu, Neno na maombezi kwa watu wenye shida mbalimbali.
27 November 2013
TANGAZO KUTOKA "CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY"
01:29
No comments
Nawakumbusha wanafunzi wenzangu tunaochukua Shahada (Degree) ya Christian Leadership University, kwamba darasa linaendelea na pia huu ndio mwezi wa mwisho wa kulipia dola 100 kwa ajili ya credit transfer. Mungu akubariki sana!Wako katika utumishi; John Shabani
17 November 2013
JOHN SHABANI ATOA SADAKA YA SHUKRANI KANISA LA DORCAS – KUNDUCHI
23:02
No comments
Ni kwa kutambua mchango wa viongozi wa kanisa hilo; Askofu Jane Muhegi
na Mzee Boniface Muhegi, wa kuwalea watoto wa wawili wa John. Watoto hao ni wale
walioachwa na marehemu Debora shabani.
Ni Takriban miaka sita sasa, baada ya kifo cha Debora, wazee hao pamoja
na kanisa nzima la Dorcas Christian Ministry, kwa kuonyesha upendo wao kwa Mch.
John shabani, waliamua kuwachukua watoto hao na kuishi nao. Ni upendo wa ajabu
sana!
Mungu awabariki
sana Bishop Jane na mzee Muhegi,
Mungu alibariki
kanisa la Dorcas!
Subscribe to:
Posts (Atom)