13 October 2011
6 October 2011
WAIMBAJI WA INJILI WAMTUNUKU MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MSAMA PROMOTION CHETI CHA HESHIMA
13:19
No comments
Alex Msama akiwashukuru waimbaji wa injili
Waimbaji wa nyimbo za Injili wakiongozwa na mwalimu John shabani,
wakiutambulisha wimbo wa miaka 50 ya uhuru wa tanzania mbele ya waandishi wa habari.
Kulia ni mwimbaji mheshimiwa Martha Mlata, sambamba na Rais wa chama cha muziki wa Injili
Tanzania (Chamuita) bwana Addo November, Katibu wa Chama Jane Misso, Makatibu wenezi Stella
Joel na John Shabani, Meneja Wa Praise Power Radio Mr George Mpela na wengine wengi.
Pia waimbaji hao kwa pamoja mbele ya waandishi wa habari, wameutambulisha wimbo wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Wakiongozwa na mwalimu John Shabani wameimba kwa umahiri mkubwa kiitikio cha wimbo huo. Sehemu ya wimbo huo ni: {Haaa tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele kwa uwez wa Mungu Tanzania. Sehemu nyingine ni: Tuitunze amani yetu watanzania, tudumishi umoja wetu watanzania} Hii ni kwa mara ya kwanzaktika historia ya Tanzania, waimbaji zaidi ya 50 wa nyimbo za injili kuwa maali pamoja na kurekodi wimbo wa kumshuku Mwenyezi Mungu kwa ajili ya uhuru wa Tanzania. Baadhi ya waimbaji walioshiriki kurekodi wimbo huo ni:
1. Gloria kilahiro 18. Mzee Makassy
2. Amon Kilahiro 19. Mzungu Four
3. Masanja Mkandamizaji 20 Jane Misso
4. Upendo kilahiro 21 Addo November
5. Stella Joel 22. Martha Mlata
6. Nely Nyamanga 23. Ambwene mwasongwe
7. Joyce Ombeni
8. Bony Mwaitege 24. Douglas Pius
9. John Shabani 25. Mchumu Maximillian
10. Rose Manoza 26. Charles Thobias Malya
11. Yona Abiud 27. Joshua makondeko
12. Miriam Lukindo Mauki 28. Daniel Safari
13. Robert Bukelebe 29. Naomy Mbwambo
14. Nicholaus Misuzi 30. Joseph kasigala
15. Christina Matai 31. Debora Said
16. Tina Marego 32. Stara Thomas
17. Martha Mwaipaja 33. Victor Ahron
Na wengine wengi.
Wengine kwasababu mbalimbali, wameahidi kushiriki kwenye video inayotegemea kuandaliwa mapema iwezekanavyo. Kazi hii kubwa ya kuwakutanisha waimbaji wa injili na kurekodi wimbo, imefanyika katika studio za PRO ARTS STUDIOS iliopo mbezi africana Dar es salaam, chini ya Producer TC (Timothy Chilula) Ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi wa wazo hili
Waandishi wakimuhoji mmoja wa wakongwe wa muziki
wa injili Mchungaji Mzungu Four
Rais wa Chamuita akiongea na waandishi
Waandishi wakimuhoji mmoja wa wakongwe wa muziki
wa injili Mchungaji Mzungu Four
Rais wa Chamuita akiongea na waandishi
Mheshimiwa Martha Mlata ambaye pia ni mmoja wa walezi wa Chamuita
akimpongeza Msama pamoja na kutoa wito kwa serikali kuliangalia suala la wanamuziki
kwa jicho la tofauti.
akimpongeza Msama pamoja na kutoa wito kwa serikali kuliangalia suala la wanamuziki
kwa jicho la tofauti.
MASANJA MKANDAMIZAI NA STARA THOMAS WAUNGANA NA WAIMBAJI WA INJILI KUREKODI WIMBO WA MIAKA 50 YA UHURU
04:59
No comments
Mchungaji mtarajiwa bwana Masanja Mkandamizaji pamoja na mwana mama aliyempa yesu maisha hivi karibuni bi stara Thomas, wameungana na wanamuziki wenzao wa injili katikakurekodi wimbo wa kumshukuru Mungu kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Mr Masanja Mkandamizaji
Bi Stara Thomas
29 September 2011
WAIMBAJI WA INJILI WAPAA MAREKANI
01:03
No comments
Katika kile kinachoonyesha kukua kwa Muziki wa Injili, sasa waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili, wamekuwa wakifanya ziara mbalimbali huko ulaya na marekani. Baadhi ya waimbaji walio paa majuu kwa sasa, ni mkongwe wa Muziki wa injili Askofu Jangalason. Wengine ni Upendo kilahiro na upendo nkone, hawa wameda majuzi tu na watafuatiw na Christina shusho.
ALL TANZANIA GOSPEL STARS Warekodi wimbo wa miaka 50 ya uhuru
00:33
No comments
1. Gloria kilahiro 18. Mzee Makassy
2. Amon Kilahiro 19. Mzungu Four
3. Masanja Mkandamizai Jane Misso
4. Upendo kilahiro Addo November
5. Stella Joel Martha Mlata
6. Nely Nyamanga Ambwene mwasongwe
7. Joyce Ombeni Victor Ahron
8. Bony Mwaitege Douglas Pius
9. John Shabani Mchumu Maximillian
10. Rose Manoza Charles Thobias Malya
11. Yona Abiud Joshua makondeko
12. Miriam Lukindo Mauki Daniel Safari
13. Robert Bukelebe Naomy Mbwambo
14. Nicholaus Misuzi Joseph kasigala
15. Christina Matai Debora Said
16. Tina Marego Stara Thomas
17. Martha Mwaipaja
Wengine kwasababu mbalimbali, wameahidi kushiriki kwenye video inayotegemea kuandaliwa mapema iwezekanavyo. Kazi hii kubwa ya kuwakutanisha waimbaji wa injili na kurekodi wimbo, imefanyika katika studio za PRO ARTS STUDIOS iliopo mbezi africana Dar es salaam, chini ya Producer TC (Timothy Chilula) Ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi wa wazo hili.
14 September 2011
MAMBO YA MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD (MLIMA WA MOTO)
01:50
1 comment
John shabani akiwa amesimama na Dr Getrude Rwakatare. Ni picha ya kikundi cha kinamama (SINGLE LADIES). John ni mwalimu wa kwaya ya kikundi hicho. Pamoja na kikundi hicho, John pia ni mwalimu wa kwaya ya Joybringers na Praise team zote za mlima wa moto.
13 September 2011
JIANDAE KUJIPATIA CD YA DEBORA SHABANI
05:25
No comments
Baada ya wapenzi wa nyimbo za marehemu Debora shabani kuwa na shauku kubwa ya kupata nyimo zake, sasa tumeamua kukutengenezea cd nzuri ya nyota huyo na baadaye utapata video yake. Mungu wa mbinguni awabariki.
25 August 2011
JOHN SHABANI UPENDO KILAHIRO NA COSMAS CHIDUMULE NDANI YA ZOOM PRODUCTION
07:50
No comments
Pamoja na kutoa video nzuri na inayofanya vizuri sana, sasa jiandae kujipatia vibao vipya kutoka kwa Mwalimu maarufu wa muziki wa injili Afrika mashariki akiwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, akiwemo mkongwe wa muziki wa injili ambaye hapo awali alitamba sana na vibao vyake vya muziki kabla hajamgeukia Yesu, huyu si mwingine bali Mzee Cosmas chidumule.
John na Mzee chidumule, wakiwa makini kusikiliza sauti ya muziki kabla ya kuanza kuingiza sautiCosmas chidumule na Mr Enock (producer Zoom production) Baada ya kumaliza kuingiza sauti
Pia tayari John amesharekodi wimbo akimshirikisha Upendo kilahiro
John Shabani na Cosmas Chidumule Ndani ya Zoom Production - Dar es salaam
07:22
No comments
Pamoja na video inayofanyafanya vizuri, sasa j iandae kujipatia vibao vipya kutoka kwa mwalimu John shabani akiwashirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ndani na nnje ya nchi. Hii ni katikaka kutafuta kurudisha umoja miongoni mwa waimbaji wa njimbo za injili na kanisa kwa ujumla, maana hilo ndilo agizo la bwana Yesu
23 August 2011
Marehemu DEBORA SHABANI (Nyota ya Injili iliozimika ghafla)
12:19
No comments
Baada kupokea maombi ya watu wengi ndani na nnje ya nchi, wakiitaji sana kupata cd na video ya DeboraShabani. sasa tuko mbioni kusambaza Cd hizo huku tukiendelea na mchakato wa kukamilisha Video yake.
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP





































