THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

5 February 2012

SARAH SHILLA - MWANA DADA WA KITANZANIA ANAYEFANYA VIZURI HUKO INDIA




                                              Sarah akiimba kwa hisia kali
                                                Sarah akiwa jukwaani




Sarah Shilla ni mwanadada wa kiafrika kutoka Nchini Tanzania mwenye kipaji cha aina yake, kwa kuonyesha ujuzi wa kutumia vyombo vingi vya muziki huku akiipaza suti yake kama kasuku.

Sarah Shilla ni mwanfunzu wa P.T.U  PUNJAB chuo kilichopo INDIA na ndipo huwa anafanya shughuli za muzika pamoja na masomo yake  Nchi INDIA

Hii ilijidhirisha katika kuuaga mwaka, baada ya kuwashangaza watu walioudhuria mkutano wa mahubiri ambapo aliweza pia kuonyesha uwezo wake wa kulielea neno na kuwapa waliofika
katika viwanja hivo neno, ni mkutano

                 
                              TUMAINI - MWIMBAJI WA INJILI ANAYEFANYAVIZURI KENYA






  Jina Akilimali Tumaini, ni miongoni mwa waimbaji wa injili wanatikisa kenya. Tumaini ambaye ni moja ya matunda ya mwali John Shabani, nyota yake imeonekana kung'aa huko Kenya hasa katika jiji la Nairobi kiasi kwamba kila hatua fulani lazima utakutana na pango lenye picha ya kijana huyo. Tumaini ni miongoni mwa wanafunzi wa John Shabani waliopatikana katika mashindana ya kusaka vipaji miaka kadhaa iliyopita jijini Dar es salaam na baadaye kuamia Nairobi Kenya.

24 January 2012

FILAMU ZA KIKRISTO

NANI KUIBUKA KIDEDEA KATI YA WATANGAZAJI WA REDIO, WANAMZIKI WA INJILI NA BONGO MOVIE

17 January 2012

NI PICHA IPI SAHIHI KATI YA HIZI, TUSAIDIANE





John shabani 1



John shabani 2



John shabani 3



John shabani 4



John shabani 5



John Shabani 6



John Shabani 7



Katika maandalizi ya Albam mpya ya John shabani iitwayo kwa Yesu kuna raha hizi ni baadhi ya picha ambazo kati ya hizo moja wapo inatakiwa iwepo juu ya kava. Tafadhali tusaidiane kuchagua. Twaweza kwasiliana kwa njia ya face book au e-mail: princejohntz@yahoo.com.






Albam hiyo itakua katika mfumo wa Audio na Video


Mungu awabariki.

3 January 2012

Upendo Kilahiro aja na "Ficho Langu"

Hatimaye mwana dada wa kitanzania anayetamba kimataifa, sasa kaja na alb ampya iitwayo ficho langu.
Upendo kilahiro ambaye hivi karibuni alifanya ziara huko marekani amesema hivi sasa amekuja kivingine.
Ukiangalia hata kava ya album hiyo ahakika utagundua kwamba imetengenezwa kwaviwango vya hali ya juu huko majuu.

28 December 2011

UBARIKIWE NA BWANA

21 December 2011

BELLA KOMBO AMRUDIA BWANA


Christabella Kombo kwa jina maaarufu Bella Kombo, hivi karibuni ameamua kuachana na muziki wa dunia na kuanza kumwimbia Bwana. Mwanadada huyo aliyeonekana kuvutia sana kwenye mashindano ya Bongo Star Seach BSS ya 2010 na 2011, hivi sasa amerekodi album yake ya nyimbo za injili. Kabla hajajiunga na Bss, Bella alikua mwimbaji mzuri kanisani na pia sauti ya Bella imesikika sana ktika baadhi ya nyimbo mbalimbali za mwalimu John Shabani.

Akiongea na mwandishi wa blog hii, bella amekiri kumrudia Bwana maana yeye siku zote alikua ni mwimbaji kanisani. Kilichotokea ni kwamba, baada ya watu na wadau mbalimbali kugundua kipaji chake, walimshauri na kumshawishi ajiunge na Bss kwamba huko kipaji chake kitajulikana zaidi pamoja na kujitangaza kwasababu kazi ya Bss ni kuinua vipaji haijalishi unaimba maadhi gani ya muziki. Baada ya kipaji chake kujulikana zaidi, alishawishiwa kujiunga na kundi la Machozi Band, hata hivyo moyo wake umekuwa ni wa kumwimbia mwenyezi Mungu. Baada ya kushauriwa na watu pamoja na watumishi mbalimbali hasa zaidi mwalimu wake bwana John Shabani ambaye hapo awali amekuwa akiimba pamoja na bella, ndipo alipoamua kurudi kundini na kuanza tena kumwimbia Bwana.

Hivi sasa Bella anategemea kujiunga na kundi la Glorious Celebration la jijini Dar es salaam.

19 December 2011

JOHN SHABANI, FARAJA NTABOBA, UPENDO KILAHIRO NA CHIDUMULE NDANI YA VIDEO MOJA

                                 John Shabani na Upendo kilahiro baada ya kuimba wimbo maalum wa miaka 50 ya huru wa Tanzania kwenye uwnja wa uhuru.





                                    John Na Faraja Ntaboba wakirekodi mkanda wa video






Wapenzi wa nyimbo za injili wakae mkao wa kula, Album mpya ya John shabani alioshirikisha waimbaji nyota wa nyimbo za injili wa Tanzania, DRC kongo na Uganda sasa kukamilika mwanzoni mwa January katika mfumo wa audio na video. Hii ni albam ya kipekee na ni kwamara ya kwanza kuwepo na albam ya mwimbaji ilioshirikisha waimbaji mbalimbali nyota. Hii ni ktokana na moyo wakipekee alionao Mwalimu John shabani, kwani amekua akijitolea kuinua vipaji mbalimbali vya waimbaji bila kubagua. Baadhi ya waimbaji katika albam hiyo ni: Faraja Ntaboba (Mwimbaji maarufu anaye tikisa Afrika kutoka kule kongo Drc, Cosmas Chidumule, Upendo kilahiro, Askofu John komanya(Aliyetamba na kibao cha zawadi gani nitamtolea Bwana), Jane miso (Mama wa Omayo), Christina Matai(Mwang'onda), Tina Marego, X-tano Family group (Kampala Uganda) na wengine kabao.

Albam hiyo inasimamiwa na kusambazwa na kampuni ya Msama Promotions.

15 December 2011

WATANZANIA (MIAKA 50 YA UHURU)

• COSMAS CHIDUMULE NA JOHN SHABANI WAKONGA MIOYO YA MAELFU YA WATU

Mkongwe wa muziki wa injili Afrika Mzee Cosmas Chidumule pamoja na mwalimu maarufu wa Muziki wa injili afrika mashariki bwana John Shabani,Wamegusa mioyo ya maelfu ya waumini walioshiriki ibada katika kanisa la mlima wa moto (Mountain of fire) la mikocheni b assemblies of God linaongozwa na Dr, Rv. Getrude Rwakatare. Kibao cha Kwa Yesu kuna raha chake john Shabani alichomshirikisha Chidumule ndicho kilicho tifua maelfu ya waumini hao. Wimbo huo umo ndani ya album mpya yakwake John shabani alioshirikisha waimbaji nyota wa nyimbo za injili Tanzania, Congo na Uganada. Album hiyo inatarajia kukamilika mwishoni mwa mwaka huu kwa mfumo Audio na video na inasimamiwa na kusambazwa na Kampuni ya Msama Promotions




HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP