17 June 2013
ASKOFU T. D JAKES ASHEREHEKEA MIAKA 56 YA KUZALIWA Bishop Jakes 56th Birthday Celebration
04:19
No comments
Ilikuwa
ni siku ya Nderemo na vifijo Kwa familia ya Mtumishi huyo wa Mungu
anayejulikana kote duniani, pamoja na kwa waumini wa “The Potter's House of
Dallas” na marafiki mbalimbali, hasa pale kiongozi huyo wa kiroho aliposogeleana First Lady, mama
Jakes na kupeana busu takatifu. Sherehe
hiyo imehudhuriwa na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya Dallas. Pia vikundi
mbalimbali vya uimbaji vilimtukuza Mungu kwa kumtunza Mtumishi.
"Sir, you are a blessing to our
generation.
May God's blessings increase abundantly in your life.
We love you"
14 June 2013
JOHN SHABANI NA UTAMBULISHO WA ALBUM YAKE MPYA
11:52
No comments
John Shabani akihojiwa na mtangazaji wa Upendo Radio, bwana Isack Kikula
Isack Kikula na bi Naomy Kisamo ndani ya Upendo Radio
Mr. Isack Kikula wa Upendo
Radio akihojiana na Mwl John Shabani kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo
muziki wa injili pamoja na Darasa la uimbaji na sauti, pia Kuitambulisha album
mpya.
Hakika kipindi hicho cha
takriban saa moja, kimekuwa cha Baraka kwa wapenzi na wasikilizaji wa Upendo
Radio. Hakika nimepokea simu nyingi kutoka ndani na nnje ya nchi pamoja na
mialiko ya kuzungukia kwaya na vikundi mbalimbali, ili kutoa elimu ya sauti na
uimbaji, kusaidia vikundi vya kusifu na kuabudu pamoja na waimbaji wengi
kuniomba niwatungie nyimbo.
Mungu wabariki watangazaji
wote na uongozi wa Upendo Radio.
Darasa la sauti na uimbaji
linaendelea kesho saa 9-12 pale kinondoni studio na jumapili saa 8-10 katika
ukumbi wa chuo cha Ustawi wa Jamii sinza bamaga. Mawasiliano: 0716560094
9 June 2013
WATU 225,000 WAHUDHURIA MKUTANO WA MWISHO WA BONNKE HUKO NAIROBI
15:41
No comments
“225,000
people today attended the last meeting of the CfaN Gospel Crusade in
Nairobi/Kenya. Blessings were flowing like a river. Praise the Lord”.
CfaN Gospel Crusade in Nairobi, Kenya, DAY 2
Siku ya jumamosi, watu 200.000 walihudhuria
CfaN Crusade in Nairobi, Kenya, Saturday, June 8, 2013,
at UHURU PARK. 200,000 people in attendance.
Hakika ilikua ni siku ya kipekee kwa wa Kenya na nchi jirani. Ishara na ajabu zimeonekana
katika viwanja vya Uhuru Park, ambapo Mungu amemtumia mtumishi wake
Reinhard Bonnke kwa jinsi ya tofauti.
Utukufu na heshima apewe
Bwana.
"Picha
zote nimezipata kutoka kwa Mwinjilisti Bonnke"
7 June 2013
NEEMA YA INJILI YAENDELEA KUWASHUKIA WAKENYA. WILL GRAHAM, MJUKUU WA BILLY GRAHAM (MKONGWE NA BABA WA INJILI DUNIANI) AWABARIKI KWA MIKUTANO YA NENO LA MUNGU NA SEMINA
13:24
No comments
Will Graham is greeted by local pastors in Kenya as he
prepares to share about the love God has for the people of Kisumu.
A Small bus Getting the word out about the Will Graham Celebration of
Peace this weekend.
Hundreds came forward as Will Graham gives an invitation to
receive Christ as personal Lord and Savior on Friday: "Jesus died on the cross
so that we can be justified in God's sight."
Billy
Graham's grandson, Will Graham, shares the Gospel in Kisumu, Kenya, the same
place Mr. Graham preached 53 years ago. Billy Graham
shared Christ at the same place in 1960.Please pray for Will as he continues to share Christ this
weekend.
"God loves you so much, he wants a
relationship with you," said Will, who will also be preaching on Saturday
and Sunday at the Jomo Kenyatta Sports Ground.
6 June 2013
MWINJILIST WA KIMATAIFA REINHARD BONNKE APOKELEWA IKULU YA KENYA (Evangelist Reinhard Bonnke visiting President Uhuru Kenyatta of Kenya at State House, Nairobi, Kenya)
10:14
No comments
President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto today met with the visiting German Evangelist Reinhard Bonnke and Evangelist Wairimu Nelson when they called on him at State house, Nairobi
Baada ya kuwasili jijini nairobi, mtumishi huyo wa Mungu, amekaribishwa kwa ajili ya ibada na maombezi kwa nchi ya kenya na viongozi wake.
"Evangelist Reinhard Bonnke
visiting President Uhuru Kenyatta of Kenya for a time
of fellowship and prayer at State
House, Nairobi, Kenya".
4 June 2013
KWA MSAADA WA MUNGU, TUTAKUSAIDIA KUWA MWIMBAJI BORA
11:39
No comments
DARASA LA
SAUTI NA UIMBAJI
Nawapongeza sana waimbaji na wote wanaoendelea kuhudhuria darasa la sauti na uimbaji (Vocal Training Program). Hujachelewa bado, karibu kila siku ya jumanne, alhamisi na jumamosi. Ni saa kumi kamili, ni pale kinondoni studio, ndani ya ukumbi wa kanisa la Maximum Deliverance church. Na juma pili ni katika ukumbi wa chuo cha ustawi wa jamii – sinza, ni saa 8 – 10 mchana
Mawasiliano: 0716560094.
Nawapongeza sana waimbaji na wote wanaoendelea kuhudhuria darasa la sauti na uimbaji (Vocal Training Program). Hujachelewa bado, karibu kila siku ya jumanne, alhamisi na jumamosi. Ni saa kumi kamili, ni pale kinondoni studio, ndani ya ukumbi wa kanisa la Maximum Deliverance church. Na juma pili ni katika ukumbi wa chuo cha ustawi wa jamii – sinza, ni saa 8 – 10 mchana
Mawasiliano: 0716560094.
Tunaendelea na somo la sifa za kuwa mwimbaji bora(How To Sing Better or to become batter singer) jinsi unavyoweza kuitunza sauti. Pia nitagusia sifa za kuwa albam bora
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP




























