THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

24 August 2012

NDOA YA WAKE WATATU "HII KALI YA MWAKA"




Kanisa moja nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, lamfungisha ndoa mume na wake zake watatu!
Fela Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu.
Duh! Kuna vituko Congo???

21 August 2012

JOHN SHABANI WITH DESTINY SISTERS



Song: Bwagambanti ye (when He says yes) or akisema ndio, another song  of John shabani's new album. Pray for this video shooting.


14 August 2012

GOOD NEWS (HABARI NJEMA)


Do you like to become a good musician or an international singer?
This is your time.
John Shabani Ministry affiliated with Turn Round Music academy
Will make your dream to become truth
Turn   Round __ chance for musicians in Tanzania
professional courses of international standards.
ARE you looking for a music school: Think of Turn Round Music Academy (TMA) here in Dar-es-Salaam. “We are going to make your dreams come true”,

It offers numerous courses such as piano, guitar, trumpet, violin, flute, music theory (reading and sight playing), voice training, percussion course and drum set and saxophone.
We teach all kinds of instruments, guitar, keyboard, trumpet, music theory, sight playing, voice training, staff notation, tonic sol-fa and so on, said Noah Omolo the school music Director on Tuesday. Omolo studied music at the University of Nairobi and in Paul Valery University in Montpellier in southern France.
The school applies the classical approach (British syllabus) Associated Board of the Royal Schools of Music (ABRSM) Grades 1-8 well  as the modern approach London college of music (LCM).

For more information:
Mobile: 0754 818 767


HABARI NJEMA KWA WANAOTAKA KUJIFUNZA VYOMBO VYA MUZIKI NA KUIMBA

(Je unatamani kuwa mwanamuziki mzuri au hata mwimbaji wa kimataifa? Huu ni wakati wako.
John Shabani, akishirikia na chuo cha Turn Round Music Academy, wataifanya ndoto yako kuwa kweli.

katika mpango wa kuvipata, kuviendeleza na kuviwezesha vipaji vya muziki na kuimba, tunakuletea kozi mbalimbali kama: Upigaji wa kinanda, gitaa, zeze na tarumbeta. Pia upulizaji wa saksafoni na filimbi, elimu ya muziki kwa nadharia, mazoezi ya sauti(Uimbaji) pamoja na upigaji ngoma(tumba na drumset).
Pia Kuwatungia watu nyimbo au kurekebisha nyimbo zilizotungwa tayari (Song writing/composing) pamoja na Kutoa ushauri kwa wanaotatarajia kuingia studio
Kushauri mbinu za kuitangaza album au nyimbo zikubalike pamoja na Kutengeneza muziki wenye viwango (Music arrangement).

N.B. Chuo kinatumia mtaala wa ulaya (Associates Board of Royal School of Music – ABRSM) pia mtaala wa kisasa wa LCM (Londan College of Music)

Kwa mawasiliano zaidi:
Mobile: 0754 818 767

11 August 2012

DON MOEN IN DAR EA SALAAM TANZANIA

love tanzania festival

Hi Don,
Thank you Lord for bring Don and Nicole c. Mullen  into my life, Please Lord watch over don and his family and his team as they are in Tanzania, watch over them and keep them safe in the countries he travels too, Your message this week is  a big blessing to me.  I just put my computer on and prayed please lord let Don put his new message up and you had and your message was answering some of the things I am going through and gave me strength to look to Jesus to the finish line thanks Don for your podcast your music and God will always make way for us God bless you and I will always pray for you.
 Don Moen live in Dar es salaam

Also I really pass my thanksgiving to Andrew Palau for A powerful opportunity to reach Tanzania with the love and Good News of Jesus Christ. 
John Shabani

10 August 2012

Kampuni ya Msama Promotions yapaswa kuungwa mkono katika hili .



 Mkurungezi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION, Bw. Alex Msama (kulia) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye  kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi  wa kazi za wasanii


MKURUNGENZI wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akishirikiana na Jeshi la Polisi limefanikiwa kukamata watu mbalimbali, baada ya kudurufu kazi za wasanii zenye thamani ya milioni ya shilingi
Hakika juhudi hizo za Msama zinahitaji kupongezwa na kuungwa mkono. Mfano halisi ni wa vijana kadhaa waliokamatwa hivi karibuni,  vijana hao walikamatwa katika eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam. Waliokamatwa katika tuklio hilo ni Malik Sultan, Ally Msangi, Edward Michael na Sijali Andrew ambao walikuwa na CD feki 322 za wanamuziki mbalimbali na wasanii wengine.
Pia watu 8 walikatwa hivi karibuni baada ya kudurufu kazi mbalimbali za wasanii  zenye dhamani ya milioni 25, Watuhumuwa hao walipelekwa katika Kituo cha Polisi Buguruni, Dar es Salaam.
Taarifa zilizotufikia jana ni za ukamataji mkubwa wa mitambo na  Cd za video na Audio Cd za Muziki wa aina mbalimbali pamoja na Kompyuta za kudurufu kazi za wasanii kwa njia ya wizi kwenye kituo kikuu cha Polisi mkoani Dodoma,mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaka na kuwakamata wezi wa kazi za wasanii,ambapo jumla ya Cd na Computer zenye thamani ya shilingi milioni Sitini na saba zilikamatwa kwa msaada wa Jeshi la Polisi mkoani humo
Pia, miongoni mwa watu ambao wamekuwa na uchungu na wizi wa kazi za wasanii, ni pamoja na Mwl John Shabani, ambaye hivi karibuni kwa juhudi zake binafsi akishirikiana na polisi kituo cha mwenge, aliwakamata watu kadhaa wanaojihusisha na wizi wa kazi  za wasanii kwa njia ya computer na kuwafungulia taarifa yenye namba MNG/1695/2002 katika kituo cha Polisi Mwenge Sokoni Jijini Dar es salaa.

Uongozi wa Blogu hii pamoja na waimbaji mbalimbali wa Injili, tunampongeza sana na kuahidi kuwa nyuma yake, ili kuhakikisha wasanii nchini wanaheshimika na kunufaika na kazi zao.

7 August 2012

UPENDO NKONE IN US (Nkone ndani ya USA)


BIG EVENT - Saturday September 1 and Sunday September 2, 2012 Come and hear Upendo Nkone, Felis Mwambalo Mubibya, Michele Haki, Gerri Brown, Prexy, Kiza Mutambo, Donis
, and many other singers. It is going to be HOT. Here is Michele Hakizimana's singing in her new CD

5 August 2012

Gospel Singer Esther Wahome Crowned New Mrs. Universe Kenya




 Esther Wahome - Mrs. Universe Kenya 2012
Kenya Gospel artist Esther Wahome has been crowned the new Mrs. Universe Kenya at a gala dinner held on Saturday night at the Hilton Hotel in Nairobi. The singer, popularly known for her hit Kuna Dawa, has been nominated to represent Kenya and East Africa in Russia where the Mrs. Universe competition will be.

The Mrs. Universe Pageant focuses not only on both physical beauty but also highlights the most honorable married women from all over the world. The motto for this year's Pageant  is "Against Violence".

Esther says she will be preaching the importance of such family values as marriage especially for career women.

 
Esther Wahome avikwa taji Mrs Universe Kenya 2012
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya Esther Wahome aliyepata umaarufu kutokana na wimbo wa “kuna dawa” Jumamosi ya tarehe 28 July 2012 alivikwa taji la Mrs. University kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli – Hilton, Nairobi
Shindano la Mrs Universe linawashirikisha wanawake walioolewa tayari pia si kwa ajili ya urembo wa nje tu bali pia kuyaangaza maisha ya wanawake wenye heshima duniani pote.
Wahome ni mama mwenye watoto watatu anatarajia kuiwakilisha Kenya tarehe 13 August  kwenye shindano la Mrs. Univers, litakalofanyika nchini Urusi. Mmpaka sasa Mrs Universe inawashiriki chini ya nchi 50

HABARI NJEMA KWA WALEZI NA WAZAZI WA WATOTO NCHINI


Je wewe ni mlezi au mzazi na unaye mtoto wako au wa jirani yako ambaye unahisi kwamba anakipaji chochote, kiwe cha kuimba, kuigiza, kupiga chombo chochote cha muziki, kucheza, michezo n.k
Wasiliana nasi ili aungane na watoto wenzake katika mpango wetu wa kuibua vipaji vya watoto na kuviendeleza. Mazoezi yanafanyika kila jumamosi. Kwasasa tunahitaji watoto 40 tu, na tayari tunao 25. Kuhusu maali pa mazoezi na muda pamoja na mpango wenyewe, wasiliana nasi utajulushwa. Kumbuka kwamba nusu yetu duniani ni watoto. Tuwajali na kuwadhamini watoto wetu pamoja na kuwajengea misingi mizuri itakayowasaidia baadaye.
Mawasiliano

Mob: 0754818767, 0716560094
E-mail: touchingvoice@yahoo.com

2 August 2012

RAFIKI YETU NA BLOGGER MWENZETU RULEA SANGA AMEFIWA NA BINAMU YAKE MJINI MBEYA


Ni siku chache zimepita tangu bwana Rulea alipompoteza mama yake mzazi, na sasa  amefiwa tena na binamu yangu huko Mbeya. Tunaamini Mungu ni mwaminifu katika kila jambo.
Wito wangu kwa kila mwenye mapenzi mema na anayoguswa na shughuli mbalimbali anazozifanya bwana rulea hasa kwa kupitia blogu yake www.rumaafrica.blogspot.com  kwamba  tusichoke katika kutenda mema, nikimaanisha, tumtie moyo mwenzetu ili kufanikisha masula ya msiba huo. Itakumbukwa kuwa Rulea ni mmoja wa ma-blogger waliopata kibali ndani na nnje ya nchi. Tukumbuke jinsi alivyogusa mioyo ya watu mbalimbali akiwemo Mtumishi mkuu wa Mungu TB JOSHUA, hivyo kupelekea kualikwa  huko Nigeria katika huduma ya SCOAN.

Uongozi wa Blogu hii tuko nyuma yako ndugu yetu na rafiki yetu Rulea Sanga.

1 August 2012

JOHN SHABANI KUUNGANA NA HUDUMA YA KIMATAIFA YA OPERATION CHRISTMAS CHILDREN KUGAWA ZAWADI ZA CHRISTMAS KWA WATOTO

Huduma ya Hope Foundation chini ya Mwlm John Shabani, imejaza fomu ya kuombea zawadi za Christmas kwa ajili ya watoto – 2012/2013

Huduma ya  Operation Christmas Children OCC, ni moja ya vitengo vya shirikala Samaritanpurse la Marekani linaloongozwa na  Frankln Gram ambaye ni mtoto wa kiume wa Mwinjilist Billy Gram. Kwasasa  chombo hiki kinafanya kazi katika nchi zaidi ya 129.
Lengo la zawadi hizo zinazotolewa kila mwaka, ni kufungua moyo wa mtoto ili apokee habari njema za waokovu.

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP