4 June 2015
LEON MAC'S NA ANNA MAC'S WANANDOA WANAOFANYA VIZURI KATIKA KUMWIMBIA BWANA
16:59
No comments
Huu ndio muonekano wa ujio wa Leon na Anna. Hakika ni mfano wa kuigwa, lakini pia nyimbo zao zina mguso wa pekee. Jiandae kubarikiwa na nyimbo za zao.
Hivi ndivyo wanavyosema Leon
Mac’s na Anna Kihwili Mac’s ambao ni mume na mke:
Tumemtolea Bwana Yesu
maisha yetu miaka 12 iliyopita na tulifunga ndoa miaka sita iliyopita. Wote
tumepewa neema ya utunzi na tumemtumkia Mungu katika makanisa
mbalimbali, kwa hivi sasa Mungu ametupa kibali cha kufanya album yetu ya
kusifu na kuabudu tunayotarajia kuimaliza hivi karibuni, inaitwa Roho Mtakatifu
(Njoni) na ni jina la nyimbo ambayo tunaitambulisha sasa
Nyimbo
hii ilikuja kwetu kama ufunuo ambao tumeuishi na kuufanyia kazi kwa muda
wa miaka mitano sasa, ni maombi yetu kuwa kanisa tutampa Mungu wetu Roho
Mtakatifu nafasi ya Kutukusanya na kutuongoza katika kumwabudu BABA siku zote
za maisha yetu.
Albam
itakuwa na nyimbo 10 kama
Roho Mtakatifu
(Njoni) , karibu Mtukufu ,Naomba nafasi, Asante, Sintoacha kukusifu(Neno),, New
song, Nakuabudu, Karibu Roho wa Bwana na nyinginezo.
Tunawaomba
wadau wa mziki wa injili kutupa support na maombi katika kipindi chote cha
maandalizi na hakika hautapoteza muda maana utafanya kitu kikubwa sana katika
ufalme.
Pia wako tayari kwa mialiko ya huduma katika huduma mbalimbali kama semina,
mikutano, maombezi n.k
Wafuatilie
katika mitandao ya kijamii kama facebook na twittwer kwa majina yao au piga
simu namba
0713375588 au 0716421881
na MUNGU AWABARIKI SANA.
JOHN SHABANI AUNGANA NA WANAHARAKATI WENGINE WA HAKI ZA BINADAMU KUREJESHA MATUMAINI KWA WAJANE
01:37
No comments
Baadhi ya wanachama cha wajane Tanzania (Tanzania Widows Association) wakiongozwa na mwenyekiti wa chama Bi Rose Sarwatt pamoja na katibu mkuu John Shabani, wakiwa miongoni mwa waalikwa katika maadhimisho ya miaka 25 ya chama cha wanawake wanasheria Tanzania - TAWLA
Huwezi kuitwa mtu aliyefanikiwa ikiwa watu waliokuzunguka, ndugu, jamaa, marafiki na jamii kwa ujumla wanaishi katika mazingira magumu.
MAISHA YA MJANE NA YATIMA WA KIJIJINI
Hivyo pamoja na mkakati wa John Shabani wa kujitolea kuwatembelea waatu wanaoishi katika mazingira magumu na kutafuta namna ya kuwasaidia, mwanaharakati wa kujtolea wa haki za binadumu John Shabani; safari hii ameungana na mwanamama mwenye uchungu wa kutetea haki za mjane Bi Rose Sarwatt na kuanzisha chama cha wajane Tanzania.
Chama cha Wajane Tanzania (Tanzania Widows Association)
chenye usajili na S.A. 19708, ni chama kilichoanzishwa
rasmi mnamo mwaka 2014, kikiwa na lengo la kuwaweka wajane pamoja, ili
kutambuana, kufahamiana, kujua changamoto mbalimbali anazopitia mjane, na
kutafuta ufumbuzi wa kutatua changamoto hizo.
Ikiwemo kusomesha watoto, elimu ya sheria, afya, saikologia, biashara na
ujasiriamali.
Vilevile chama
kinajihusisha na kutoa elimu kwa jamii juu ya mjane, iwatambue wajane,
kuwapenda, kuwathamini na kuwasaidia kwa namna moja ama nyingine, pia kujitoa
kwa hali na mali kusaidia kupambana na changamoto anazopitia mjane. Pia chama kinasimamia sheria inayotetea haki
za mjane Tanzania, ikiwemo hati ya mirathi na usimamizi wa mali za familia
baada ya kifo cha mume wa mjane. Hivyo chama
hiki kitarejesha matumaini mapya kwa mjane, na wajane watarajiwa. Pia kwa namna moja au nyingine, kujihusiha na
haki za mgane na watoto walioachwa na wazazi (yatima).
Pamoja na kujitahidi
kwa uwezo mdogo tulionao, tumeweza kuzunguka mikoa kadhaa ya ya Tanzania
na hasa vijijini na kujifunza hali halisi ya wajane na watoto yatima.Tumegundua asilimia kubwa ya Wajane ni wale wenye
kipato cha chini sana na wengine wanaishi kwa kutegemea misaada ya kuwasaidia
kujikimu kimaisha. Misaada hiyo ni kama chakula, mavazi, kodi za nyumba
ukiachilia mbali ada za watoto.
Wana TAWIA baada ya kuhudhuria semina zinazoendelea katika ukumbi wa TGNP, mada ikiwa ni pamoja na kuingalia sheria inayopendekezwa ikiwa inavifungu vinavyomsaidia mjane na mwanamke kwa ujumla
Hakika wajane wanahitaji
kuwezeshwa kwa hali na mali ili waingie katika hatua ya kujishughulisha au
uzalishaji.
Wanachohitaji wajane ni
imparting skills and education na
baada ya hapo ni kuwezeshwa sasa ili kwaanzishe uzalishaji/biashara ndogondogo
za mtu mmoja binafsi au vikundi
Mkurugenzi wa kituo cha msaa wa sheria na haki za binadamu, Bi Heleje Kijo Bisimba, akiwa mgeni rasmi katika moja ya makongamano ya chama cha wajane
Kwa hapa
kwetu tumegundua biashara muhimu ni kama zile za utengenezaji juice, masuala ya
lishe au usindikaji wa chakula, kilimo kama cha, miogo, viazi vitamu ambayo
huchukua miezi mitatu hadi mine, tayari kwa matumizi na pia huhitajika kwa
mahitai ya kila siku. Pia kilimo cha mboga mboga kama matembele na mchicha
ambavyo huchukua wiki mbili au tatu. Lakini pia kilimo kama cha mahindi na
mchele kwa kilimo cha kumwagilizia ambavyo huchukua miezi 4 hadi tano. Pia
wajane wakizipata mashine za kusindika vifaranga vya kuku pamoja na mayai
ambayo huchukua muda wa wiki mbili na mashine zake ni rahisi kuzipata hapa hapa nchini kwenye
viwanda vya SIDO (Small Industries Development Organization), mafunzo mengine
ni ya ushonaji na kudarizi ambayo tayari tunaye mjane mwenye uwezo mkubwa wa
kutengeneza nguo za maofisini, taasisi na za kawaida pamoa na mashuka na vitambaa vya kudarizi vya kiafrika.
Mahitaji mengine au mafunzo mengine ni
masuala ya Agriculture,
Livestock Farming, Fish Farming, basic Computer courses, ufugaji, ushonaji na
mapishi na mengine utakayoona yanafaa kulingana na uzoefu wako.
Upande wa
afya ambayo ni jambo la msingi kwa maisha ya binadamu, tumekuwa na mawasiliano
na taasisi ya MEDA TANZANIA pamoja na BETTER LIFE HEALTH SERVICES ili
kuhakikisha wajane wanakua na afya bora.
Upande wa
sheria tunawashukuru TAWLA kwa kujitolea kutoa mafunzo ya msaada wa sheria
(Para Legal) kwa kikosi cha watu 24 kutoka TAWIA, mafunzo hayo ni ya miezi
sita, na baadaye kikosi hicho kitasaidia masuala mbalimbali ya kisheria kwa
wajane na jamii kwa ujumla. Mafunzo yaliyopewa kipaumbele ni ya sheria ya
ardhi, sheria ya ndoa, talaka au kuachana, sheria ya watoto n.k.
Tuna
karibisha wadau mbalimbali wenye moyo wa kuwasaidia wajane na watoto
yatima, tushirikiane kwa hali na mali kurejesha matumaini ya maje.
Kumbuka kwambawajane ni moja ya kundi la watu ambao Mungu anawaheshimu
sana.
Tunakaribisha mchango wako wa hali na mali ili kuwasaidia wajane Tanzania.
Mawasiliano
CHAMA CHA WAJANE TANZANIA
“Tanzania Widows Association”
“Tanzania Widows Association”
P.O.Box 33476,
Dar es salaam
Simu:
+255 754 366 530 – Mwenyekiti
+255 713 778 778 – Katibu
E-mail: widowstz@gmail.com
FACEBOOK: Widows Tanzania
TWITTER: @TanzaniaWidows
31 May 2015
Dr. Lucy Natasha in Uk
11:27
No comments
After
winning thousands Souls for Jesus in Dar es salaam/Tanzania (Highlights of Tanzania
Crusade.), now it’s time for United Kingdom! Miracles and wonders are
getting place. God bless u Dr. Natasha
After
winning thousands Souls for Jesus in Dar es salaam/Tanzania (Highlights of Tanzania
Crusade.), now it’s time for United Kingdom! Miracles and wonders are
getting place. God bless u Dr. NatashaHighlights of Tanzania Crusade
Rv. Natasha, you are a true Servant of the Most High! I love and honor the anointing you are holding my Prophetess. The greatest gift the heaven has given is winning
souls am proud of great work keep up. I pray that God will continue using you for His glory.
Rev Lucy Natasha is the Visionary/ Founder of Prophetic Latter Glory Ministries International. She is Touching Nations with the Gospel.
For more, visit:
www.lucynatasha.org, Facebook: Rev Lucy Natasha
24 May 2015
The South African Church Where Pastor Strip Members Naked & Marches On Them During Church Service
12:51
No comments
This pastor of a church named End times disciples ministries in Gauteng, South Africa made his members strip and then he marched on them during an evening Live Service ‘End Times Disciples Ministries’ is a South Africa based church where the pastor in charge who is known as Prophet Penuel always remove clothes from members of his congregation and sit on them during church service.
The South Africa-based church with over 95%
of female members often conduct weekly deliverance services where Penuel forces
women, mostly teenagers to strip themselves naked during deliverance session.
The founder of the church located in Gauteng,
South Africa is sometimes seen stepping and jumping on church members to cast
out the ‘evil spirits’ in them.
I bet most of you have already heard
of this controversial Pastor in South Africa.
He was the same Pastor who
instructed his church members to eat grass one certain period, months after he
ordered them to drink engine oil. He has emerged again with this new idea of
stripping his church members naked.
It's a normal procedure for Prophet Penuel of End Times Disciples Ministries in South Africa, to strip the church members naked, sit on them before he prays for them.
IBADA ZA WATU KUVUA NGUO ILI WAPOKEE UPAKO
12:45
No comments
Kiongozi
wa huduma ijulikanayo kwa jina la End tmes Disciples Ministries ya huko South
amekuwa akiwaambia washirika wake wawe wanavua nguo zote ili waweze kupata
fresh anointing.
Jambo
la kujiuliza mbona yeye havui?na hii fresh anointing kwanini asilimia kubwa
wawe wanawake tu?
Mchungaji
huyo ajulikanaye kwa jina la Mtume Penuel, huwavua nguo waumini wake na
kuwakalia. Kanisa hilo ambalo asilimia 95 ya waumini wake ni wanawake wengi
wakiwa ni vijana, mara nyingi hulazimika kuvua nguo zao wakati wa ibada ya
kufunguliwa kutokana na vifungo mbalimbali vya ibilisi.
Nadhani
unamfahamu Mchungaji huyo, ambaye siku za karibuni aliwalazimisha waumini wake
kula majani.
Asomaye na afahamu!
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP









































