You have shown us how it means to be a Child of God and abide in the walk of
faith in Christ Jesus , we got the grace of God by reading of the Great men of
God in the Bible at the same time we witnessed you
living according to them in the manner of God in this ages, thus gives us a lot
to believe and increase our desire to live in the divine wills of God for we
heard and saw you practiced it in your life since your time of youth.
May the Lord help us to live and do more than what you taught and preached us regarding the Gospel of Jesus Christ our Lord and Savior. Amen
May the Lord help us to live and do more than what you taught and preached us regarding the Gospel of Jesus Christ our Lord and Savior. Amen
AMBAYE ALIONGOZA MAKANISA 4000
Askofu
Kulola aliyeketi akiwa na waimbaji wa injili nchini Mwinjilisti Faustin
Munishi mkono wa kushoto pamoja na Emmanuel Mwasota. mwanzoni mwa mwaka 1970
Askofu Kulola akimbusu mjukuu wake Flora Mbasha
Ni mume wa Elizabeth na wamezaa watoto10 ambapo saba bado hai.alianza kazi za kimisionari mwaka1950 japokuwa aliitwa mwaka 1949 mara tu baada ya kubatizwa.
Mwaka 1959 alianza kufanya kazi serikalini, wakati huo huo akihubiri Injili katika miji na vijiji. Utumishi wake mkubwa kwa nchi ulifika mwisho mwaka 1962, ambapo aliamua kujitolea moja kwa moja nguvu zake zote, mwili na nafsi. Mwaka 1964 alijiunga na chuo cha kiteolojia na 1966 alitunukiwa stashahada.
Hakuacha elimu pale tu, aliendelea na masomo mbalimbali
ambapo alitunukiwa vyeti mbalimbali katika mataifa mbalimbali.
Alihudumu kikazi kwa miaka miwili kama Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962, alifanya kazi katika kanisa la TAG 1966 mpaka 1991 ambapo aliamua kuanzishaa makanisa Evangelistic Assemblies God (EAGT), ambapo yalifanikiwa kukua kwa kasi kubwa katika nchi za Tanzania, Zambia , Malawi na kwa ujumla kuna makanisa yapatayo 4000 katika nchi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo
Askofu Moses Kulola anayeongoza makanisa elfu nne, Askofu Msaidizi wake ni Mwaisabila.

|
Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne si
rahisi na kwamba kumefanyika mgawanyiko wa majimbo yasiyopungua 34 ya kazi na
kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi na kila kanda na jimbo lina mwangalizi
wake. Nampenda sana Askofu Moses Kulola maana anafanya kazi ya MUNGU kwa moyo
na kwa mujibu wa kitabu cha historia yake Askofu Kulola amezunguka Tanzania
nzima tena wakati mwingine kwa kutembea kwa miguu na kwenye mazingira magumu
sana kiasi kwamba ni wito mkuu wa MUNGU mkuu alionao Askofu Kulola na kwa miaka
zaidi ya 60 amekuwa akihubiri neno la MUNGU na hadi sasa MUNGU anamtumia sana,
katika mkutano uliopita wa askofu Kulola pale viwanja vya jangwani jijini Dar
es salaam maelfu ya watu walihudhulia na wengi sana kufunguliwa na injili
anayohubiri askofu Kulola ni injili iliyonyooka na akiwataka wanadamu kumpa
YESU KRISTO maisha yao ili wapate uzima wa milele bure.
Ukiacha mengi ambayo Mungu anaendelea
kumtumia mtumishi wake huyu, kuna suala la nywele zake, askofu Kulola kama
tulivyowahi kuandika siku zilizopita, hajanyoa nywele zake kwa takribani miaka
47 sasa, kwakuwa hakupendezwa na suala la kwenda salon kunyoa nywele zake hivyo
akamwambia Mungu nywele alizokuwa nazo kwa wakati huo zisikue zaidi au
kupungua, na ndivyo ilivyo mpaka sasa wembe haujapita kichwani mwake.
0 comments:
Post a Comment