28 October 2013
MTANDAO WA WANA MUZIKI TANZANIA WAFANYA WARSHA YA SIKU MOJA JIJINI DAR ES SALAAM
15:32
No comments
Mwalimu john shabani ndani ya warsha hiyo
Picha ya pamoja na naibu katibu mkuu, wizara ya habari, utamaduni na michezo
Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, akifafanua jambo mbele ya
wana muziki kutoka makundi mbalimbali ya muziki na wadau wa muziki, katika
kujadili mambo mbalimbali likiwemo mustakabali mzima wa mwenendo wa muziki na
wana muziki wa Tanzania. Mengi yamejadiliwa na mwisho, aliyekuwa Mgeni rasmi
katika Warsha hiyo Naibu katibu mkuu Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo,
ametoa pongezi za dhati kwa wote waliofanikisha Warsha hiyo; akianzia na
uongozi wa Mtandao wa wana muziki tanzania (Tanzania Musicians Network), BEST – AC (The Business Environment Strengthening in
Tanzania) ambao ndio waliodhamini warsha pamoja na mshikamano walioonyesha
wasanii kutoka makundi mbalimbali.
Pia Kiongozi huyo wa serikali Mheshimiwa Sihaba Nkinga, amewashauri wasanii kuamka na kwenda na wakati, Kufanya kazi kibiashara,
kufikiria kibishara na kupata taaluma ya biashara.
Amezizungumzia
fursa mbalimbali zilizopo kwa sasa na mikakati inayopangwa ili kuwasaidia
wasanii wa kitanzania.
Warsha hiyo iliofanyika katika mgahawa wa kisasa wa Nyumbani,
imehudhuriwa na wasanii kutoka makundi mbalimba huku upande wa Injili ukiwa
umewakilishwa na mwalimu John Shabani na Sifa John. Vyombo mbalimbali vya
habari vimehusika kuchukuwa habari.
Kwa pamoja tutafika
27 October 2013
CITY HARVEST INTERNATIONAL CHURCH: 3 BIG EVENTS IN ONE SUNDAY SERVICE:
23:37
No comments
John Shabani in the House
Gospel Singers: Emanuel Mpesa and Chesko
Rachael Mmasy leading praise and worship
Catherine Kyambiki in the House
App. Godfrey Waswa in the House
With my Sister Janet Mrema
Dr. Kisui and App. Ntepa
It has never happen, was a wonderful Sunday services:
1.
Church Sevices: one 2 one morning service,
english service and kiswahili service
2.
Marriage service
3.
Marriage collection conference
Kila kitu kilifanyika kwa ubora ndani ya ya kanisa la City
Harvesty linaloongozwa na Rafiki yangu Dr. Livingston. Kwa habari zaidi tembelea:
www.johnshabani.blogspot.com
a.
Ibada bora ya kingereza na kiswahili, Muhubiri
Godfrey Waswa, sifa bora ikiongozwa na mwanadada Rachel Mmasy na Stella Swai wa
Daniel, Uimbaji bora kutoka Ema mpesa na Chesko, Daniel wa ibada njema, mwalimu
John Shabani, Catherine Kyambiki, Janet Mrema na wengine kibao
b.
Ibada ya ndoa ikifungishwa na Nabii kijana
c.
Kongamano la wanandoa, wanenaji wakiwa ni Mtume
Ntepa, Steven Kisui na Mama Kisui, Dr. Livingston likiambata na uimbaji kutoka
kwa Flora Mbasha, Victor Aron, Samson kabata, Jojo mfalme wa kanzu na wengine
kibao
24 October 2013
JANGALASON AENDELEA KUWASHA MOTO WA INJILI NDANI NA NJE YA TANZANIA
14:07
No comments
Moja ya watu ambao wamekuwa wakijibidisha katika kueneza
Injili ya Bwana Yesu, ni rafiki yangu na rafiki wa wengi, Askofu Charles
Jangalason.
Kila kukicha maelfu ya watu wamekuwa wakimpokea Bwana yesu kupitia
mikutano inayohubiriwa na Jangalason. Tutaendelea kukuletea ziara mbalimbali
mtumishi huyo, akiwa ndani na nnje ya nchi. Endelea kutembelea
Unapopiga magoti, mkumbuke pia Askofu Charles Jangalason
20 October 2013
MAMIA WAHUDHURIA IBADA YA HARUSI YA MTOTO WA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE
11:39
No comments
Ilikuwa ni sherehe ya kipekee ndani ya kanisa la
Mlima wa Moto ambapo kijana Tibe
Rwakatare na Bi Helen Benedict,
ambapo watu mbalimbali wakiwemo maaskofu, wachungaji, wageni mbalimbali kutoka
ndani na nnje ya nchi wamehudhuria ibada hiyo. Chini ni picha mbalimbali za
matukio ya ibada ya nndoa hiyo na baadaye tutaendelea kukuwekea picha za
sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Mlimani City.
Subscribe to:
Posts (Atom)