7 January 2016

Hatimaye John Shabani ndani ya Hekalu la pili kwa ukubwa na ubora Afrika Mashariki.

 Baada ya kuwasili Mbulu, shughuli ya kurekodi mkanda wa video ikaanza. 
Hapa John Shabani akiimba kwa hisia.

 Muonekana wa nje wa jengo la Kanisa Katoliki Mbulu, 
ambalo ni la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki





Ni Safari ndefu ya kutwa nzima ukiongeza na masaa kadhaa ya usiku. Ni shooting inayosababishwa na the Eagleviewpro.

Jengo la Kanisa Katoliki Mbulu lina sifa ya kanisa kubwa na bora kuliko yote Tanzania na la pili kwa ukubwa AFRIKA MASHARIKI! Ngoja niandike kwa kiingereza inaweza kuwa na uzito ``Mbulu Cathedral is the Second Largest Cathedral in East Africa!

Kanisa hili lilijengwa na Mhandisi Franz Wesinger aliyezaliwa mwaka 1928 huko Bavaria Ujerumani.

Chini ya usimamizi wa Franz Wesinger ujenzi wa kanisa hili ambalo leo ni fahari kubwa kwetu ulikamilika kwa ufanisi wa hali ya juu na kutimiza ndoto ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu la Mbulu Marehemu Hhando.
Mhandisi Franz Wesinger aliyezaliwa mwaka 1928 huko Bavaria Ujerumani. Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP