20 October 2013
MAMIA WAHUDHURIA IBADA YA HARUSI YA MTOTO WA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE
11:39
No comments
Ilikuwa ni sherehe ya kipekee ndani ya kanisa la
Mlima wa Moto ambapo kijana Tibe
Rwakatare na Bi Helen Benedict,
ambapo watu mbalimbali wakiwemo maaskofu, wachungaji, wageni mbalimbali kutoka
ndani na nnje ya nchi wamehudhuria ibada hiyo. Chini ni picha mbalimbali za
matukio ya ibada ya nndoa hiyo na baadaye tutaendelea kukuwekea picha za
sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Mlimani City.
13 October 2013
JOHN SHABANI AKIONGOZA MAELFU YA WATU KATIKA KUSIFU NA KUABUDU
12:48
No comments
Hakika, watu wamesifu na kumwabudu Mungu kwa viwango vingine ndani ya kanisa la Mlima wa Moto. Ilikuwa ibada ilijaa uwepo wa Mungu
na shuhuda za ajabu na zilizosisimua mioyo ya watu. Watu wamebarikiwa na kufunguliwa
kutokana na vifungo mbalimbali. Pia mamia ya watu wamempokea Bwana yesu.
11 October 2013
Gospel artiste Joan Wairimu files for divorce
14:55
No comments
Pastor Wairimu has initiated the case at a Nairobi court where she seeks orders of separation.
But her husband, Bishop William Musyoki Mwangangi, has filed a cross petition asking the court to dissolve the marriage. The couple got married in 1996 in church.
But the two have recently been engaged in counter accusations over the divorce case, which is yet to start.
The accusations range from cruelty, adultery, watching of pornographic movies, denial of conjugal rights and issuance of death threats.
Pastor Wairimu is a gospel musician known mostly for her song Pambazuka na Yesu, which is popular on YouTube and is often downloaded as a ringtone by many Nairobians. She also runs Pambazuka Production and Queens Ministry.
Bishop Mwangangi, who is the head of Jesus Manifestation Church in Githurai 45, accuses her wife of denying him conjugal rights since 2009.
But Pastor Wairimu claims her has had many adulterous affairs with known and unknown women causing her to suffer great embarrassment.
She has listed five women including house girls she claims her husband has slept with since 1996.
She claims the bishop has sired a child out of wedlock as a result of his adulterous actions, but the bishop denies the accusation.
Bishop Mwangangi on the other hand claims that his wife, who recently moved out of their matrimonial home in Muthiaga North, has denied him his conjugal rights for the last five years.
He further denies that he has been exposing their three children to sexually explicittext messages and nude pictures of his lovers. The claims, he says, are imaginary and meant to malign him as a man of God.
“To the contrary, it is the petitioner (Pastor Wairimu) who has been watching pornographic movies in the house at night in the name of copying sexual styles whereas she has denied the respondent his conjugal rights for the last five years,” the Bishop alleges.
He says his wife has been cruel to him to the extent that she slept out of the matrimonial home without informing him and the children of her whereabouts. He has also linked her to various adulterous actions with some men since 2006. He claims the wife on several occasions made sexual advances to their shamba boys and a driver. Those who turned down the advances were sacked, the bishop says.
One of the drivers has filed an affidavit as a witness in support of the bishop’s case claiming that Pastor Wairimu made advances to him in April when her husband was away in South Africa for a mission.
She is also accused of bringing her lover to the matrimonial home for a sleepover in 2006.
Pastor Wairimu has also allegedly issued death threats to her husband telling him that he would kill him through food poisoning.
“Subsequently on July 29, 2013, the petitioner sent the respondent the message, ‘Baba X (name of their child omitted by The Nairobian), I will make sure that you will be a dead man’,” claims the bishop.
But the bishop is also accused by the wife of issuing many death threats to her and making her live in fear and causing her mental anguish.
Pastor Wairimu claims the husband on July 5 threatened her and she made a report to the police. The bishop was summoned by police and made to record a statement. He denies making death threats to the wife.
She further claims that the bishop has been verbally abusive and has physically assaulted her throughout their marriage.
The bishop, she alleges, has been rude arrogant and very demeaning to her in front of the children, housegirls and their relatives.
Pastor Wairimu accuses the husband of failing to take up his parental responsibility over the children and instead living a splashy and wasteful lifestyle, spending hundreds of thousands on expensive shoes, perfumes, and watches while the children’s upkeep has not been catered for.
The man has also allegedly not shown her love, even when she was involved in a tragic road accident making her feel unloved.
Bishop Mwangangi in turn accuses the wife of abdicating her role as a wife “five years ago by refusing to cook, do the laundry, clean the bedroom and all other role that pertains to a wife exposing the respondent to a lot of stress and turmoil”.
He claims her wife has on many occasions incited the congregation to move from church and go worship elsewhere alleging that the husband is not a man of God.
The parties are waiting for allocation of hearing dates by the registrar.-standardmedia.co.ke
Message from http://diasporamessenger.com
2 October 2013
Hii kali: Ni Sherehe ya kuoga Uchi katika Mto Ganges ili kujitakasa na Dhambi
08:32
No comments
Waumini wa dini ya Kihindu wakienda kuoga ili kujitakasa na dhambi
walizotenda
Kutokana na wingi wa watu, treni kama unavyoona zinakuwa zimepakia hadi dereva hapati pa kuangalizia. Kila penye upenyo panakaa mtu isipokuwa tu kwenye magurudumu
Baada ya kuoga wateule hubeba maji kwenye vyungu vya vhuma kupeleka
mahekaluni
Tofauti na imani ya Kikristo, ALLAHABAD,
India, Mamilioni ya wai wa dini ya Hindu kila mwaka hufanya hija yao ya kuoga katika makutano ya mito
mitatu ya Ganges, Yamuna na Saraswati inapokutana. Kwa mujibu wa Imani ya
Kihindu, binadamu anakuwa ametenda dhambi nyingi katika mzunguko wa mwaka na
hivyo anahitaji kutakaswa na dhambi zake. Waumini wanaume wanajipaka majivu
kuanzia utosini hadi unyayo na mara nyingi wanakuwa uchi wa mnyama ingawa
sikuhizi wengine wanapendelea kuvaa pajama, wanaingia kwenye mto huo na kuoga
nakuamini kuwa wameondolewa dhambi zao zote na nuksi nyingine zote. Hii ni sherehe kubwa na inayodumu
muda mrefu kuliko zote duniani kwani inadumu kwa kipindi cha siku 55.
Mratibu mkuu wa sherehe hizo Mani
Prasad Mishra alisema, mwaka huu karibu watu milioni zaidi ya milioni 110 walikadiriwa kuoga kwenye eneo
hilo liitwalo SANGAM. Hili ni eneo ambapo makutano ya mito ya GANGES, YAMUNA
NASARASWATI . Sikukuu hii inatelemea mwonekano wa nyota zinazolandana angani.
Baada ya nyota hizo kukaa katika mkao fulani basi wahindu wanaenda kuoga ili
kujitakasa na madhambi yao na kuopuka kufo na kuzaliwa upya katika hali ya
adhabu.
1 October 2013
NUNUA DVD MPYA YA MWALIMU JOHN SHABANI
14:16
No comments
Hatimaye ile DVD uliyokuwa unaisubiri kwa hamu
ya kwake John Shabani (Mwalimu wa muziki waInjili Afrika mashariki), sasa inapatikana
katika maduka ya Msama promotions.
Ni video yenye nyimbo zitakazo kutoa
maali fulani na kukupeleka mahali fulani.
Hakika, utabarikiwa, utajengwa na kuinuliwa katika kiwango kingine. Ni Video
iliyoshirikisha waimbaji mbalimbali kama: Cosmas Chidumule, Upendo Kilahiro,
Faraja Ntaboba, Christina Matai, John Komanya na wengine kibao.
Ili kuwasiliana na ofisi ya msama
piga simu: 0713383838
Ubarikiwe sana.
MUIGIZAJI MAARUFU WA NIGERIA AFANYIWA MAOMBEZI BAADA YA KUPAGAWA NA PEPO
14:05
No comments
Muigizaji
maarufu wa Nigeria (Nollywood).. Jim Iyke akifanyiwa maombezi na wise man
Daniel @scoan baada ya kulipuka mapepo. kweli Mambo ya kiroho hayana umaarufu
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP

































