THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

21 May 2014

MTUMISHI CHRISTOPHER MWAKASEGE NDANI YA DALLAS - USA

Itakua ni semina ya baraka tele ambapo kikundi cha Kystaal kitakua kikishusha uwepo wa Mungu kupitia sifa. ni kuanzia tarehe 1May - 30 June, Karibu na karibisha wengine!

20 May 2014

JOHN SHABANI BRINGS YOU JJ BARBER SHOP

 Hey Dar es salaam, get ready for your Christian Barber shop; 
by God's grace, it will be opening soon

"God bless T.B Joshua! God bless Bishop T.D Jakes"
You and others are really servants of God; that why I'm not ashamed of using your pictures
(Romes 1:16 For I am not ashamed of the gospel, because it is the power of God that brings salvation to everyone who believes: first to the Jew, then to the Gentile).



ALIYEKUWA ASKOFU MKUU WA MALAWI ASSEMBLIES OF GOD NI MMOJA KATI YA WAGOMBEA WA URAIS WA MALAWI

Kwa habari zaidi kuhusiana na mtumishi huyo wa Mungu aliye amua kujikita katika siasa, huku akiwa na ndoto nyingi za kuwa rais wa malawi, tembelea tofuti yake: www.chakwera.com



Leo Taifa la malawi linapiga kura kuchagua Rais wa Taifa hilo kwa awamu nyingine...moja kati ya wagombea ni Dr Lazarus Chakwera ameingia kwenye siasa akitokea kuwa Askofu Mkuu wa Malawi Assemblies of God(MAG),Mwenyekiti wa Assemblies of God Africa,Mwenyekiti wa Board wa All Nations Theological Seminary...n.k;Nimependa ujasiri wake wa sio tu kusemea madhabahuni au kwa waumini wake kimya kimya akaamua kujitosa na kutengeneza mfano kwa vitendo,sijui kama atashinda ila naamini akishinda atakuwa mfano wa kuigwa kwa maraisi wa Africa,he is a leader and Africa tuna tatizo la viongozi,wanasiasa tunao wengi tu....

19 May 2014

UJUMBE MZITO KUTOKA KWA GAMA DANIEL MWASUMBI

 Huyu hapa ni Gama Daniel Mwasumbi, 
mtoto wa kiume wa Mch. Daniel Mwasumbi

Picha ya Mch. Mwasumbi katika cover ya video yake 
ijulikanayo kwa jina la mkuyu uliokauka

Ikiwa ni takriban miezi 10 tangu kipenzi cha wengi na mkongwe wa muziki wa injili Tanzania, Mch. Daniel Mwasumbi kuhukumiwa kifungo jela, hapo chini ni ujumbe mzito alioandika rafiki yetu Gama Mwasumbi (Mtoto wa Mchungaji Mwasumbi):

“PESA unauwezo mkubwa sana wakufanya mema na Mabaya kwa wakati mmoja.PESA unauwezo mkubwa sana wa kupenya hata kule ambako kibinadamu inaonekana ngumu.Nimekuona ukifanya kazi Mahakamani, Hospitalini, hata Makanisani.Una uwezo mkubwa sana wa kupindisha ukweli na ukaufanya Uongo uonekane Mwema.Watu wameuwa, wametapeli, wamefanya uasi wa Ajabu lakini PESA ukawahifadhi.
Asilimia kubwa mara nyingi asiyekuwa na wewe hana HAKI.
Nimeadhimia kukutafuta wewe Bwana Mkubwa PESA na nimeadhimia kwa Nguvu zote na akili zote ntakupata, kwasababu wewe ni Jibu la mambo yote.
Forgive me my Father if I had Money usingekuwa unateseka Jela mpaka sasa I tried tried to get you out of there, for something you didn't do it, lakini wale wenye PESA zao waliokuweka hapo bado wanaona ni vyema uendelee kuwepo hapo ndani.
I MISS YOU PAPS”!

Kila unapopatapiga magoti kumwomba Mungu,
basi ikumbuke pia familia hii!

17 May 2014

TEMBELEA BLOGU MBALIMBALI ZA KIKRISTO TANZANIA




TEMBELEA BLOGU MBALIMBALI ZA KIKRISTO TANZANIA
Hizi ni baadhi ya blogu za kikristo Tanzania: Kwa habari za watumishi, huduma mbalimbali, matamasha, matukio mbalimbali,habari za kitaifa na kimataifa tembelea!




Kama wakristo na jamii kwa ujumla, kupata habari mbalimbali nimuhimu sana. Baada ya rafiki zangu na wapenzi wa blogu yangu wa ndani na nnje ya nchi kunitaka niweke orodha ya blogu za kikristo Tanzania, basi imebidi nijaribu kutembelea blogu mbalimbali na kuzipata chache zenye zisizo hegemea dini fulani na zenye mashiko. Najua zipo blog nyingi za kikristo, lakini pia unaweza kunisaidia kuzifahamu pia. Hapa chini ni chache kati ya nyingi:

www.2gkitangalagospels.blogspot.com
www.johnshabani.blogspot.com

8 May 2014

Michelle Obama aunga mkono kampeni ya kuwarudisha wanafunzi wa kike waliotekwa huko Nigeria – “Bring back our girls”



Michelle Obama akiwa ameshikilia bango akiungana na dunia katika kampeni ya kuwarudisha wanafunzi waliotekwa huko Nigeria


 Mamia ya watu nnje ya ubalozi wa Nigeria huko Marekani, wakilalamikia serikali kutokuongeza bidii katika kuhakikisha wanafunzi wa kike waliotekwa wamerudishwa salama


 




Moja ya kati ya habari kubwa dunia, ni ile ya kutekwa kwa wanafunzi huko Nigeria baada shule ya mabweni ya wasichana kushambuliwa katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo huku wasichana wakitekwa nyara.
Wazazi wanasema kuwa zaidi ya wasichana miambili wametekwa nyara na washambuliaji hao. Kampeni hiyo ikiambatana na maandamano imefanyika karibu nchi mbalimbali duniani.
Taarifa zinazohusiana
Washambuliaji wanaaminika kuwa wanachama wa kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram. Utekaji nyara huo ulifanyika usiku wa manane katika shule ya Chibok Kusini mwa mji wa Borno , karibu na mpaka na Cameroon.
Inaarifiwa wasichana 300 walikuwa wanajiandaa kwa mitihani yao. Mmoja wa wasichana alifanikiwa kutoroka na aliambia BBC kuwa walikuwa wanalala wakati walipovamiwa na wanaume waliokuwa wamejihami.
Waliowashambulia wanaaminika kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
Wanaume hao waliingiza magunia ya chakula katika malori yaona kuwaamuru wasichana kupanda lori hizo.
Wasichana 15 walifanikiwa kutoroka baada ya lori walimokuwa kukumbwa na hitilafu.
Wakazi wa kijiji cha Chibok wanasema kuwa walisikia milipuko kadhaa huku nyumba 170 zikiteketezwa.
Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa wanajeshi wawili waliuawa huku mali ikiharibiwa wakati wa shamblizi hilo mjini Chibok.

Ni wito wetu kuunga mkono kampeni hii na zaidi kumuomba Mungu ayanusuru maisha ya wanafuzi hao. 

Mungu ibariki Nigeria, 
Mungu ibariki Afrika, 
Mungu inusuru Dunia na matukio ya kutisha!

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP