Turn
Round Music academy
Turn Round __ chance for musicians and
singers in Tanzania
Professional courses
of international standards.
Will make your dream to become truth
ARE you looking for a music school:
Think of Turn
Round Music Academy (TMA) here in Dar-es-Salaam. “We are going to
make your dreams come true”,
It offers numerous courses such as
piano, guitar, trumpet, violin, flute, music theory (reading and sight
playing), voice training, percussion course and drum set and saxophone.
We teach all kinds of instruments,
guitar, keyboard, trumpet, music theory, sight playing, voice training, staff
notation, tonic sol-fa and so on, said Noah Omolo the school music Director on
Tuesday. Omolo studied music at the University of Nairobi and in Paul Valery
University in Montpellier in southern France.
The school applies the classical
approach (British syllabus) Associated Board of the Royal Schools of Music
(ABRSM) Grades 1-8 well as the modern
approach London college of music (LCM).
For more information:
Contact Mr John Shabani
(Director of marketing)
E-mail: touchingvoice@yahoo.com
Mobile: +255 754 818 767 or +255716760094
HABARI NJEMA KWA WANAOTAKA KUJIFUNZA VYOMBO VYA MUZIKI NA
KUIMBA
(Je unatamani kuwa mwanamuziki mzuri
au mwimbaji bora? Huu ni wakati wako.
Turn Round Music Academy,
wataifanya ndoto yako kuwa kweli.
katika mpango wa kuvipata,
kuviendeleza na kuviwezesha vipaji vya muziki na kuimba, tunakuletea kozi
mbalimbali kama: Upigaji wa kinanda, gitaa, zeze na tarumbeta. Pia upulizaji wa
saksafoni na filimbi, elimu ya muziki kwa nadharia, mazoezi ya sauti(Uimbaji)
pamoja na upigaji ngoma(tumba na drumset).
Pia Kuwatungia watu nyimbo au
kurekebisha nyimbo zilizotungwa tayari (Song writing/composing) pamoja na Kutoa
ushauri kwa wanaotatarajia kuingia studio
Kushauri mbinu za kuitangaza album
au nyimbo zikubalike pamoja na Kutengeneza muziki wenye viwango (Music
arrangement).
N.B. Chuo kinatumia mtaala wa ulaya (Associates Board of Royal
School of Music – ABRSM) pia mtaala wa kisasa wa LCM (Londan College of Music)
Kwa mawasiliano zaidi:
E-mail: touchingvoice@yahoo.com
Mobile: 0754 818 767 au 0716560094
0 comments:
Post a Comment