THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

31 December 2010

Ziara ya John Shabani huko Sudan, Turkana na kambi kubwa ya wakimbizi barani afrika.

Mwalimu maarufu wa muziki wa Injili Afrika mashariki bwana John Shabani akishirikiana na Askofu Jangalason, hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea huko SUDAN, TURKANA pamoja na kambi kubwa ya wa kimbizi barani afrika inayoitwa KAKUMA. Katika kambi hiyo wapo wakimbizi kutoka nnchi mbalimbali za kiafrika kama: Sudan, Ethiopia, Somalia, Rwanda, Burundi, Eritrea, Kongo nk. Ziara hiyo ilikua ya ni ya kujitolea ili kuonyesha upendo kwa watu waliokatatamaa...

27 December 2010

CHRISTIAN WEBSITE & BLOGS

Website/Blog Mmiliki  Ilipo www.agape.co.tz Agape Ministries Dar  www.akuzamu.org Akuzamu Ministry Dar  www.anglican.or.tz Anglican Church of T Dar  www.bethelrevivaltemple.org TAG-Betheli  Mgro www.brothergodie.blogspot.com...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP