Showing posts with label John shabani. Show all posts
Showing posts with label John shabani. Show all posts
18 February 2012
JOHN SHABANI NDANI YA ABUNDANT BLESSINGS CENTER
John Shabni akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi waliosimikwa
Huyu ndiye Askofu Ndbila na mke wake
Hii imekuwa ni siku ya pekee kwa huduma ya ABUNDANT BLESSINGS CENTER. kwa mara ya kwanza huduma hii jumapili ya tarehe 18\02\2012, wamesimikwa watumishi mbalimbali tayari kwa ajili ya kazi ya Bwana katika taifa la Tanzania. Mwanzilishi wa huduma hii ni Askofu Ndabila. Ibada hii ya kuwapaka mafuta watumishi, imepabwa kwa nyimbo mbalimbali kutoka kwa Mwinjilist John Shabani. Miongoni mwa waliosimikwa ni pamoja na mke wa Askofu nabila. Shughuli hiyo ya kusimika watumishi imefanywa na Bishop Dr. Mwakilema na kuhudhuriwa na Watumishi mbalimbali.
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
