18 April 2019
TULIZA FM - MERU KENYA NA SJ STUDIO - TANZANIA WAKISHIRIKIANA NA UMOJA WA MAKANISA, WAANDAA KONGAMANO KUBWA LA KIROHO MERU KENYA
07:05
No comments
Tulizoea kualikwa, tulizoea kuandaliwa sasa tumevuka mipaka, tumekua,tunaanza kuandaa wenyewe na kualika. SJ STUDIO, tumeandaa siku sita za mafundisho ya neno la Mungu, kuibua vipaji, kuwaona wenye shida then kurefresh. Ni huko Meru katikati ya Nchi ya Kenya. Wanenaji kutoka Tanzania, South Africa, kenya na waimbaji mbalimbali watakuwepo. Kongamano litarushwa live Tuliza FM. Menyeji wa kongamano hilo ni Askofu Dennis Mwenda wa Live Gospel Church
Ni wiki ya kudumu hekalu mwa Bwana, kuumega mkate, kusifu na kuabudu pamoja na kuanzisha kituo cha mafunzo ya sauti na kuibua vipaji. Lakini pia tutazungukia vivutio vya utalii pia kujifunza maisha ya watu vijijini. Ni kuanzia tarehe 23 mwezi huu wa nne. Njoo tumtumikie Mungu, njoo tujipe raha wenyewe😀😀 Twenzetu kenya
SJ STUDIO MKOMBOZI WA WANAMUZI NA WAIMBAJI
06:21
No comments
SJ STUDIO : Kituo kinachoandaa wenye ndoto za kuimba kuwa waimbaji bora! Studio iliojipanga kurekodi kwa ubara na kutengeneza video bora.
Pia mafunzo maalum ya muziki na sauté yanatolewa hapa
Pia mafunzo maalum ya muziki na sauté yanatolewa hapa
JIANDAE KWA UJIO MPYA WA VERONICA FRANK
01:04
No comments
Mtangazaji mahiri kutoka Praise Power Radio, mama wa simulizi, Veronica Frank ndani ya SJ Studio. JIANDAE kwa nyimbo mpya zenye viwango zilizosimamiwa na kurekodiwa Sj Studio.
NEW ROSE MUHANDO
00:58
No comments
WOOOOOOH!💪💪💃💃NIANGUKAPO MIIIIIIMIIIIIIIII,NITASIMAMA TEEEEEEEEEEEEEEEENAAAAAA! HONGERA SANA DA ROSE MUHANDO KWA UPONYAJI
DEBORA MKONYA KUWASHA MOTO WA SIFA KENYA
00:56
No comments
Star mpya wa injili Debora Mkonya anayetamba na video yake "KWA NGUVU ZA MUNGU", ndani ya SJ Studio, tayari kwa maandalizi ya safari ya huduma huko kwa Kenyata. Twenzetu Kenya.
UJIO MPYA WA KWAYA YA KINAMAMA KUTOKA MLIMA WA MOTO
00:54
No comments
Mama zangu kutoka Mlima wa moto kwa mama Dr. Gertrude Rwakatare wakiwa ndani ya SJ Studio. Chini ya mafunzo ya mwalim John Shabani, jiandae kubarikiwa na nyimbo za kinamama hawa.
Subscribe to:
Posts (Atom)