GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

22 December 2015

KITUO CHA SHALOM ORPHANAGE CENTRE CHA WILAYA YA KARATU CHAMPONGEZA NDUGU JOHN SHABANI

Picha mbalimbali za tukio la kukabidhiwa keki ya upendo kama ishara ya shukrani kwa Mtumishi wa Mungu, Johnn Shabani Natoa shukrani zangu za dhati kwa Kituo cha Shalome Orphanage Centre Cha Wilaya ya Karatu, kwa kuniandalia keki kama shukrani, kwa namna nilivyojitolea kuibua vipaji vya watoto hao, kuwatungia nyimbo, kuwaingiza studio na kuwazindulia Albam yao. Asante dada yangu upendo Nkone, Mary Goreth (kutoka Kigali Rwanda), waimbaji...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP