THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

19 October 2017

KWA UBORA NA USIMAMIZI WA KAZI KARIBU SJ STUDIO

 SJ STUDIO TANZANIA Kwa bora na usimamizi wa kazi. Tunarekodi kwa mfumo wa audio  pamoja na kuandaa video bora. Lengo letu pia ni kuibua vipaji vya uimbaji na kuviendeleza. Tuna darasa maalum la sauti, ufundishaji wa vyombo vya muziki, kuwaandikia au kawatungia watu nyimbo nzuri, pamoja na kutoa ushauri wa namna ya kutangaza kazi zikubalike.  Kwa mawasiliano zaidi piga au Tuma ujumbe kwa namba 0716560094  SJ STUDIOS Founded...

9 August 2017

MSICHANA/MWANAMKE AMBAYE HAUJAOLEWA, KUWA KIROHO ISIWE SABABU YA KUTO-JICHANGANYA NA WATU NA KUJENGA MAHUSIANO

 WOKOVU SIYO KUWA  "ANTI SOCIAL" (KUTO KUJICHANGANYA NA WATU)  Mara nyingi, mahusiano yanayopelekea uchumba hadi ndoa, huanzia katika hutua ya URAFIKI. urafiki hujengwa kwa watu kuwa pamoja, kubadilishana mawazo, kula pamoja, kucheza na kufanya mambo mengi pamoja. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

2 August 2017

MUNGU NI MKUBWA

WANADAMU WANAWEZA KUKUCHUKIA, WAKAKUFANYIA KILA AINA YA UOVU, WAKATAMANI UFE, LAKINI KWA MSAADA WA MUNGU UTABAKI SALAMA. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

23 July 2017

FAHAMU MENGI ZAIDI KUHUSU MWANA MAMA EVELYN MUNISI, MWANZILISHI NA MKRUGENZI WA EVELYN MUNISI FOUNDATION “Mama mjane aliye yatoa maisha yake kusaidia jamii”

 Evelyn akiwa na mtoto wa mama mjane ambaye alizaliwa bila njia ya haja kubwa, akatobolewa tumbo kwa ajili ya kutolea haja. Kwa mchango wa Evelyn Munisi foundation, mtot huyo anaendelea vizuri. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP