THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

4 November 2018

KUNA VYA KULAZIMISHA VYA KUFORCE LAKINI SIO NDOA

Usilazimishe kuolewa au kuoa, usimnyenyekee mtu ili akuoe au muoane, usijidhalilishe, usijikondeshe, usitokwe na mchozi kwaajili ya kutaka mume/mke. Utavaa nguo na kumech viatu na mkoba lakini kama MUNGU hajaruhusu uolewe na huyo huto olewa nae. Utajitaidi kumlinda, kumwezesha, kumrembesha, kama ni mkaka unajitaidi kumfanya awe mtanashati, aendane na fashion lakini kama hajaandaliwa kwaajili yako mtapotezeana muda tu. Usijibebishe My Dear...

25 October 2018

WATANZANIA WAKUMBUSHWA KUMUADHIMISHA MTAKATIFU YOHANA MARIA MUZEEYI (MTAKATIFU WA KWANZA TANZANIA)

HISTORIA YA YAHANA MARIA MUZEEYI Sambamba na mahadhimisho ya miaka 150 ya uinjilishaji Kanisa Katoliki Tanzania Bara, pia tunayo kumbukumbu muhimu sana ya Mtakatifu YOHANA MARIA MUZEEYI. Ni mmojawapo wa mashaidi 22 wa Uganda waliotangazwa rasmi na Papa Paulo VI tarehe 18 Octoba mwaka 1964 katika Mtagubo wa pili wa Vatikano kama watakatifu wa Kanisa  Kwa ufupi ni Mtanzania aliyefia Uganda hivyo waganda wanadai alizaliwa mpakani mwa...

13 October 2018

BE PART OF SHALOM ORPHANAGE CENTRE

  I have been in Arusha and Manyara regions visiting disadvantages people and orphanage center . This my dream and vision, settled in and started volunteering at the orphanage in full force. The children are wonderful, full of love and laughter. I help the youngest kids in a way I can include raising their talents, I teach the older kids some English and then they have taken me on a few walks around the area. I had a chance to sit down...

31 July 2018

JINSI YA KUZUNGUMZA NA KUMTULIZA MPENZI ALIYEKASIRIKA

Uatake usitake kwenya Mapenzi kuna makati za kutofautiana, kukasirishana... Kipindi hiki huwa ni cha hatari sana maana kinaweza kutengeneza nyufa kwenye mahusiano yenu. Sote tunajua, watu hupigana, huachana, hujeruhiana, hutukanana, hudhalilishana wakiwa na hasira. Hata hivyo si wote wanaojua wafanye nini wanapojikuta wameingia kwenye hatua hiyo mbaya. Msomaji wangu, hebu jaribu kukumbuka ugomvi mmoja uliotokea kati yako na mpenzi wako na ikiwezekana...

28 June 2018

SIKU YA TUKIO KUBWA LA WATANZANIA WOTE KUKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU

 WAPENDWA, ILE SIKU YA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI DINI ZAO AU DHEHEBU, KUKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU WETU IMEFIKA SASA. NAWAKARIBISHA RASMI ILI TUMTUKUZE MUNGU WETU.  NI SIKU YA UJIO MPYA WA PST. JOHN SHABANI, YULE MWALIMU MAARUFU  WA NYIMBO ZA INJILI ALIYEFUNDISHA KWAYA NYINGI NA WAIMBAJI WENGI BINAFSI.  JOHN SHABANI ATAWAONGOZA MAMIA YA WATU KATIKA KUSIFU,  PIA SIKU HIYO DVD YAKE ILIOANDALIWA KWA...

15 June 2018

TUKIO KUBWA LA UZINDUZI WA WCC CHOIR, KWAYA YA KANISA LA WAREHOUSE CHRISTIAN CENTRE (GHALA LA CHAKULA) LINALOONGOZWA NA MCH. NA MWL. PETER MITIMINGI

Zawadi pekee ya kwaya kwa baba na mama Mwalimu John Shabani, Mtumishi Peter Mitimingi, saa ya kuabudu.  Hawa ni mamia ya watu waliohudhuria siku ya tukio.  Praise team ya kanisa wakimtukuza Mungu  Baada ya tukio lililotikisa jiji la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla la uzinduzi wa kanisa "GHALA LA CHAKULA - WARE HOUSE CHRISTIAN CENTRE", baada ya miezi michache limefanyika tukio lingine kubwa zaidi ndani...

HACK MOYO WA MPENZI WAKO USIHACK SIMU YAKE - UJUMBE MUHIMU KWA WANANDOA NA WALIO KWENYE MAHUSIANO

    Huu ni ujumbe muhimu kwa wanandoa na walio  kwenye muhusiano kutoka kwa Winnie Nzobakenga Nimewahi kusikia wanawake wengi wanaulizia jinsi ya kuhack simu za waume zao ili wawe wanasoma meseji za waume zao. Haya yapo pia hata kwa wachumba.  Mmh! hivi ninyi wamama au wan awake wenzangu, mnajipenda kweli? Sasa ukishahack simu yake then what? Ukikuta msg za wanawake wengine then what,inakusaidia nini??ukishajua mmeo anamchepuko...

6 June 2018

MWALIMU NA MCHUNGAJI DKT. PETER MITIMNGI AANZISHA HUDUMA IJULIKANYO KWA JINA LA GHALA LA CHAKULA - WCC

 Baada ya kulitumikia kanisa la TAG kwa miaka mingi kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma ya injili vijijini - VHM, hatimaye Mwalimu na Mchungaji Peter Mitimingi aanzisha kanisa lijulikano kwa jina la Ghala la chakula au kwa kimombo; Warehouse Christian Centre - WCC  Mchungaji Peter Mitimingi akiwa katika picha ya pamoja na wahudumu siku ya uzinduzi wa kanisa.  Maelfu ya watu waliohudhuria siku hiyo Normal ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP