25 October 2016

KIJIJI KIMOJA HUKO INDONESIA HUFUKUA MAITI KILA MWEZI AGOSTI

 Baadhi ya maiti zikiwa zimefukuliwa, kusafishwa na kuvishwa nguo mpya

Wananchi wa kijiji cha Toraja, huko Sulawesi ya Kusini, nchini Indonesia, kila baada ya miaka mitatu, hufukua na kusafisha maiti ya ndugu zao.

Ieleweke kuwa hawafukui maiti hiyo hiyo kila miaka mitatu ila kila maiti inapozikwa, kwa wale wanafuata utamaduni huu, hufukuliwa mara moja na kusafishwa na kuzikwa tena. Na sherehe hiyo inafanywa kila miaka mitatu katika mwezi wa Nane.

Sherehe hiyo inaitwa Ma'nene na wananchi wa kijiji hicho wanaamini kuwa kufanya hivyo inawaletea baraka kwa kuwakumbuka marehemu na kuwasafisha na kuwavalisha nguo ili wapendeze na kuwabariki.

Haijulikani imeanza lini hii sherehe na serikali haiingilii zoezi hili kulinda utamaduni wa watu wa kijiji hiki.
 
0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP