25 January 2017

BAADA YA SIKU 54 ZA KIFO CHA SIFISO NCWANE, NYOTA WA MUZIKI WA INJILI HUKO AFRIKA YA KUSINI, HAYA NDIO MANENO MAZITO KUTOKA KWA MKE WAKE MPENZI

Ni siku 54 tangu ulipotuacha mume wangu, lakini bado moyoni nahisi kama vile jana tu. Bado nahisi harufu ya marashi yako, naona mkono wako ukinipapasa kila asubui. Daima nitaenzi upendo wako mpenzi wangu. Si rahisi kusahau uwepo wako! Pumzika  kwa amani baba.




Mimi niseme;
Haya ndio maneno yanayowesa kuzungumzwa na kila aliyeachwa na mpenzi, hasa kwa wapenzi waliopendana kwa dhati. Ni maombi yangu Mungu peke yake awe faraja katika familia hii, Amen!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP