13 September 2015
NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU
09:11
No comments
NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU
John Shabani
Baada ya kukamilisha kitabu "MARUFUKU KUKATA TAMAA" Sasa niko mbioni
kukuletea kitabu kipya kiitwacho "NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU". Najua
umesoma vitabu vingi vinavyohusu habari ya kusifu na kuabudu, lakini
mimi nakuhakikishia, kitabu hiki kitakusaidi sana. Lakini pia utaelewa
tofauti iliyopo kati ya kusifu, kuabudu...
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
