THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

19 October 2017

KWA UBORA NA USIMAMIZI WA KAZI KARIBU SJ STUDIO

 SJ STUDIO TANZANIA
Kwa bora na usimamizi wa kazi. Tunarekodi kwa mfumo wa audio 
pamoja na kuandaa video bora. Lengo letu pia ni kuibua vipaji vya uimbaji na kuviendeleza. Tuna darasa maalum la sauti, ufundishaji wa vyombo vya muziki, kuwaandikia au kawatungia watu nyimbo nzuri, pamoja na kutoa ushauri wa namna ya kutangaza kazi zikubalike. 
Kwa mawasiliano zaidi piga au Tuma ujumbe kwa namba 0716560094


 SJ STUDIOS
Founded in 2017 in Dar se salaa, Tanzania, are undoubtedly the best studios in the Tanzania & made his name the Beatles. 
Offer recording & mixing, stereo and surround mastering & re mastering, interactive design & digital video. We do also, music training & Vocal coaching, Music arrangement, song writing & composing.
For more information, do not hesitate to call/whatsapp +255716560094
+255759778778









9 August 2017

MSICHANA/MWANAMKE AMBAYE HAUJAOLEWA, KUWA KIROHO ISIWE SABABU YA KUTO-JICHANGANYA NA WATU NA KUJENGA MAHUSIANO

 WOKOVU SIYO KUWA  "ANTI SOCIAL" (KUTO KUJICHANGANYA NA WATU)
 Mara nyingi, mahusiano yanayopelekea uchumba hadi ndoa, huanzia katika hutua ya URAFIKI. urafiki hujengwa kwa watu kuwa pamoja, kubadilishana mawazo, kula pamoja, kucheza na kufanya mambo mengi pamoja.



Kotoka kwa Pastor Zakayo Nzogere
WARAKA WA PILI WA ZAKAYO KWA "BACHELORETTES" (Wanawake/Wasichana ambao hawajaingia kwenye ndoa na walio katika mchakato wa kupata wenzi wa maisha).


Utafiti unaonyesha kwamba wadada wengi “WAPENDWA” wanashindwa katika kipengele cha URAFIKI. Wapo wanaodhania kuwa KIROHO ni kuwa full-time kwenye maombi; yani hakuna muda wa kucheka na kufurahi, hakuna michezo, wala kuzoeana na WANAUME. Huu ni msimamo potofu. Yani unakuta MDADA yeye full-time anongelea maombi, mkesha, ushuhudiaji, na ibada. Hana muda wa kuzungumza mambo ya kawaida yanayohusu maisha na mahusiano hata na vijana wa kanisani.
Ni kweli ni vizuri kuwa KIROHO; lakini kuwa kiroho isiwe sababu ya kuto-jichanganya na watu na kujenga mahusiano. Kuna baadhi WADADA WAPENDWA wanawaona WANAUME wote ni watenda dhambi. Yani mtu akitaka kuanza nae mahusiano ya kujuana/urafiki, yeye tayari anakuwa kwenye ALARM ya DANGER… yani anachokiona kwa kijana ni kwamba lazima atakuwa ana nia mbaya.
Ushauri wangu kwa WADADA ni kwamba ni muhimu tujenge mahusiano ya kirafiki na vijana makanisani mwetu. Urafiki ni hatua muhimu ya kufanya maamuzi yanayopelekea uchumba hadi ndoa. Tusivae SURA YA MAOMBI kila saa….!!
Kwa upande mwingine, VIONGOZI WA MAKANISA, tusiwawekee vijana wetu (KIKE/KIUME) vikwazo vingi ambavyo vinasababisha wasiweze kujenga mahusiano. Ni kweli lazima TUSISITIZIE UTAKATIFU lakini tusifanye WOKOVU UGEUKE GEREZA. Tusiporuhusu wajenge mahusiano, je, wataoanaje?? Tuwafundishe vijana wetu wawe na nidhamu ya kuweza kujisimamia na kujua MIPAKA ya urafiki na mahusiano kati yao. Vijana wetu wakibanwa sana wataanza mahusiano kwa siri ambayo mara nyingi huishia vibaya; pia wanaweza kutafuta marafiki nje ya kanisa ambayo pia matokeo yake siyo mazuri sana.
MITHALI 17:17 (BHN); "Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote, ndugu huzaliwa asaidie wakati wa taabu."

 

2 August 2017

MUNGU NI MKUBWA

WANADAMU WANAWEZA KUKUCHUKIA, WAKAKUFANYIA KILA AINA YA UOVU, WAKATAMANI UFE, LAKINI KWA MSAADA WA MUNGU UTABAKI SALAMA.



Mtoto aliefungwa nyororo ili afe miaka kadha iliyopita na kutupwa uko Nigeria, akaokotwa na jeshi la polisi akalelewa na baloz uko uko Nigeria; sasa yuko vizuri, mwenye afya njema kwa muujza wa Mungu. Huwezi kuamini  kwamba hata dalasani.

Hakika mwacheni Mungu aitwe Mungu.

23 July 2017

FAHAMU MENGI ZAIDI KUHUSU MWANA MAMA EVELYN MUNISI, MWANZILISHI NA MKRUGENZI WA EVELYN MUNISI FOUNDATION “Mama mjane aliye yatoa maisha yake kusaidia jamii”

 Evelyn akiwa na mtoto wa mama mjane ambaye alizaliwa bila njia ya haja kubwa, akatobolewa tumbo kwa ajili ya kutolea haja. Kwa mchango wa Evelyn Munisi foundation, mtot huyo anaendelea vizuri.


Kazi ya kutengeneza sabuni na dawa za kufanyia usafi wa choo ni rahisi sana na haihitaji mtaji mkubwa, kazi hii hata mzee wa miaka 65 anaweza kuifanya na akauza na kujipatia kipato. Kama mnavyoona pichani ni wamama watu wazima kabisa lkn wanajituma wanaitumia fursa ipasavyo.



Know more about Evelyn Munisi, founder of EVELYN MUNISI FOUNDATION

EMF (EVELYN MUNISI FOUNDATION)
 Evelyn Munisi Foundation is a national charity in Tanzania for women aged 50 or under when their partner died. It’s a peer-to-peer support group run by a network of volunteers who have been bereaved at a young age themselves, so they understand exactly what other members are going through.
Evelyn Munisi Foundation was founded in 2015 and now has more than 1,500 members across Tanzania. EMF aims to provide peer-to-peer emotional and practical support to young widowed men and women – married or not, with or without children, whatever their sexual orientation – as they adjust to life after the death of their partner.
We have lively social groups that meet up throughout the year – for drinks, meals out, walks and picnics. We organise weekends away for adults and families, go camping, have parties and offer an alternative social life that doesn't revolve around couples. And we have a secure members only website which offers a safe place for members to meet and chat online.
Despite our grief, EMF members do know how to laugh and have fun. Supporting each other is a great way to learn to live again after the trauma of experiencing a loved one die. And many people have made life-long friendships through EMF (Evelyn Munisi Foundation).

Taasisi hii ilianza na wajane na sasa hivi inahudumia watoto wasio na wazazi na waliotelekezwa na wazazi wao kwa kuwasomesha na kuwapatia mahitaji muhimu ya kibinadamu,
Evelyn ahitaji maombi yako kwani sasa hivi Taasisi ipo kwenye harakati za kutafuta eneo kwaajili ya kuwakusanya Hawa watoto ili kuwahudumia vizuri wakiwa chini ya uangalizi ....

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP