ABOUT JOHN SHABANI AND THIS BLOG (MADHUMUNI YA BLOGU NA HISTORIA YA MMILIKI)



This is the Spiritual blog which is not under a certain church or Ministry,it aims to accelerate the spread of GOSPEL here in Tanzania and to the whole Nations.Please share with us any GOSPEL Mission or Event and it will be posted here Contacts: touchingvoice@yahoo.com,+255 754 818 767. Unaruhusiwa kutoa mchango wako wa mawazo juu ya masuala ya Kijamii na Kiroho" Pia waweza kujitangaza kupitia blog hii


BIOGRAPHY (ABOUT JOHN SHABANI)

John Shabani is a gospel singer from Tanzania.
He grew up as a Muslim and was born in Kigoma region.  He lives in the city of Tanzania which called Dar es salaam.

John got a chance to study a little bit, also I learned the subject of music somehow. He worked with various places such as Estate agency which deals with sales and rent of house and land, Promotions Company etc. She was trained musically by Some Congolese teachers at Bible school where he developed to become a strong lead singer and Gospel Music teacher. He has been a gospel teacher and choir master to many groups and solo artists in east and central Africa.

                                           Mwanga Glorious Choir
                                The joy bringers
                             Magomeni Evangelists Choir
                               Different you from different country 
                               Sing talent (Vocal training)
                                Group of singers from different churches


 Some of the groups: Mwanga glorious choir – Kigoma, The Joy bringers choir – Mikocheni B' Assemblies of God – Dar es salaam, Women in Gospel – Nairobi Kenya, Ngurumu choir – Drc Kongo, The worshipers – Burundi, Dorcas wonders group – Dar es salaam etc. more than 20 groups and 15 solo artists has been trained with John.

John as gospel singer has already released 2 albums, one named Marufuku kukata tama (Never ever give up)



and second one is Moyo wangu (My soul) and he has already released One video album. He use to sing in his national language (Swahili), the language which is mostly spoken in East & Central Africa and it units more than 8 countries of Africa), but few songs in English and French. He is on the way to release the second video, this will be under Msama Promotion company ltd. This will be the third album. In this album you will see other East African gospel stars like: Cosmas Chidumule, Upendo kilahiro, Jane Misso, Bishop John Komanya, Christina Mwang'onda, Tina Marego and many more.
2004, john Shabani was awarded for supporting gospel music in east Africa.




John hobbies:
I like singing, dancing, travelling, visiting different countries, watching movies, swimming, going to church, .

Ministry to others

I always offer moral support to the underprivileged . 



I want them to feel like worthy human beings, they are sometimes deprived and marginalized of their basic needs and rights. That’s why I composed a song named Never ever give up which contains an inspiring message encouraging people not to give up. I’ve also recorded a song against stigmatization of HIV/Aids victims as they are most often isolated and neglected right from the family level. They die early, not because of sickness but just because of living in a state of hopelessness. Currently I’m working on the production of a film about “life” and writing  books.

John says:

My name is John Shabani,
I am a graduate at the International School of Ministry (ISOM), campus of Dar es Salaam in the United Republic of Tanzania. Being the offspring of a Muslim family, I have been totally segregated by my family just after receiving Jesus Christ as my personal Savior, which caused almost my whole life to be in the hands of spiritual parents and some of the maternal relatives who were already saved.

I have been in the gospel singing ministry for a long time; currently I have three albums with one DVD. Besides, I am a co founder of the Tanzania Gospel Music Association (CHAMUITA in Swahili) and have been leading different gospel music groups here in Tanzania. 


On top of that, I have had a burden of visiting refugees in their camps whenever resources allow together with the service of helping orphans and other disadvantaged groups. 

Just to show God's love to others, John shabani visited kakuma refugee camp in Kenya





Kakuma Refugee Camp since 1992. This camp serves over 70,000 refugees who fled wars in neighboring countries. A majority are from southern Sudan, some from Somalia and the last major group from Ethiopia. Other groups include Burundians, Congolese, Eritreans and Ugandans.


My other vision

  • To reach out to young people. It encourages the youth to reach their full potential in an atmosphere of uncompromising faith and to discover God’s purpose for their lives.

    • To reach the youth and students of Tanzania with the gospel of Jesus Christ through music and drama.
    • To organize and bring young people together through praise and worship concert, conventions, seminars and crusades, and use this opportunity to teach, counsel and involve them in various learning activities.


    • To cross various cultures with the message of God through Christian literature, music in audio, video and radio transmission, etc.
    • To promote music in African context by studying and researching music in various tribes of Tanzania and to develop Christian music within the cultural context.

    • With its approach and within its prior capacity, to identify and minister to the needs of young people in all aspects of life i.e. physically, mentally, socially and spiritually.
    • To bring together and unite young people from different nationalities and give them an opportunity to share and communicate their talents, learn from each other and also make exchange visiting.

    • To build and operate a Secondary School and Vocational Training Center where young people can continue their education and training to lead productive lives.

    I need your prayer and support to fulfill my vision.
    Contctact:
    touchingvoice@yahoo.com
    Mob: +255 754 818 767   



     " In swahili"
    HISTORIA YA JOHN SHABANI 


    John S. Shabani ni mzaliwa wa kijiji cha Kirando katika kitongoji cha Nyankima, kata ya sunuka, Wilaya ya Kigoma Vijijini, Nchini Tanzania. Ukoo wake ni waumini wazuri wa dini ya kiislam (Islamic Religion).

    Baada ya kumaliza elimu ya msingi katika shule ya msingi kirando, alijiunga na elimu ya sekondari, lakini kutokana na itikadi za kidini, alijikuta akiwa katika wakati mgumu wa kupigwa vita na wazazi, kwasababu ya uamuzi wake wa kujiunga na Dini ya kikristo. Hivyo John ameishi miaka mingi akiwa mbali na wazazi wake, lakini hata hivyo hakukata tamaa.

    Mwaka 1992, John akiwa kijana mdogo, alipata ufadhili wa kwenda nchni Kongo (Zamani Zaire), ambako huko alijifunza muziki na kusoma Chuo cha Biblia (Bible knowledge), na huko kipaji chake cha kutunga nyimbo na kuimba kilijitokeza kwa kasi,

    John hakutaka kuona mtu yeyote akiwa katika hali ya kukata tamaa, maana alifahamu madhara yake. Kwasababu hiyo, alianzisha vikundi mbalimbali vya vijana akiwa na lengo la kuwaelimisha ili kujikwamua katika hali ya kukata tamaa na kutokujihusisha na vitendo viovu kama vile madawa ya kulevya, Ukahaba na anasa za kila aina, mambo ambavyo aliyapiga vita sana.

    John ameishi miaka mingi kama yatima, lakini hali hiyo imemsaidia kujifunza mengi na kuwa na tabia njema, kumheshimu na kumthamini kila mtu, hali hiyo ilimfanya kupata kibali machoni pa wengi. Amekuwa msaada kwa Vijana wengi (Ndani na nnje ya nchi) na kuwakwamua wengi waliokuwa wamekata tamaa na kujihusisha na vitendo viovu. Pia kutokana na ujuzi wa muziki alioupata na pia kipaji kikubwa alichonacho cha kutunga, kuandika nyimbo na kuimba, John amekuwa msaada kwa waimbaji mbalimbali binafsi na vikundi ndani na nje ya nchi, hasa nyimbo za Injili. Ni mwalimu bora na mshauri kwa waimbaji.

    Mwaka 2001 John alifunga pingu za maisha na bi Debora Shabani na mwaka 2002 walipata mtoto wa kike. Alimwita mwanaye Joyce, akiwa na maana ya kuyasahau maisha ya huzuni na shida na kujitabiria maisha ya furaha.

    Mwaka 2004, John aliajiriwa katika kampuni ya Msama promotions ya jijini Dare es salaam, kampuni inayojihusisha na kuinua vipaji na pia kuwainua vijana na watu wa rika na jinsia zote waliokata tamaa ya maisha na hasa wale walioko vijiweni wakijihusisha na madawa ya kulevya, ukahaba n.k. Kampuni hiyo imewasaidia Vijana wengi na Jamii kwa ujumla, na wengi wamejikomboa kimaisha

    Tarehe 19/03/04, John alirekodi Album yake aliyoiita “Marufuku kukata tamaa
    Album ambayo imewasaidia wengi waliokata tamaa na kuwapa matumaini mapya. Album hiyo na nyingine alioirekodi mwaka 2009 “Huu ni wakati wangu”, na ile iitwayo “Moyo wangu”. Nyimbo hizo zimekuwa msaada mkubwa kwa kila aliye au anayezinunua, zimegusa na kuinua mioyo ya watu wengi. Kwani amepokea shuhuda nyingi ndani na nnje, hata za wale waliodiriki kujiua, lakini baada ya kusikiliza nyimbo hizo waliahirisha. “Nakusii nunua kanda hizo, naamini zitakusaidia”. Pia utakuwa umetoa mchango wako kwa kutimiza ndoto na malengo ya John.

    John ametembelea nchi mbalimbali, akijifunza maisha ya watu. Amegundua kwamba karibu asilimia kubwa ya wanadamu, awe maskini, tajiri, msomi au asiye na elimu, wenye vyeo au waajiriwa, watoto kwa wakubwa, wanaume kwa wanawake, awe mzungu au mweusi n.k, wote kwa njia moja au nyingine wamepitia katika hali ya kukata tamaa au kukatishwa tamaa na jambo fulani, mtu, watu, hali au mazingira fulani. Ndipo mwaka 2006, alipata maono na msukumo mkubwa wa kuandika Kitabu ambacho kitakuwa msaada kwa njia moja au nyingine kwa kila atakayekipata. Kitabu hicho kinaitwa Marufuku kukata tama.  Kitabu hicho pamoja na kile kiitwacho “Mafanikio yatokanayo na kusifu na kumwabudu Mungu” vinategemea kukamilika baada ya miezi miwili.

    Tarehehe 11/7/08 ni siku ambayo John hawezi kuisahau. Siku ya huzuni na majonzi, siku ya kilio na kuomboleza. Ni siku alipofariki mke wake mpendwa na mwimbaji maarufu wa muziki wa Injili, Debora Shabani, mwimbaji aliyegusa mioyo ya watu wengi ndani na nnje ya nchi, mwimbaji ambaye msiba na mazishi yake yalihudhuriwa na maelfu ya watu, wakiwepo Maaskofu, Wachungaji, Waimbaji binafsi, Kwaya pamoja na viongozi mbalimbali wa dini na serekali. Hata hivyo, John hakukata tamaa.

    Pamoja na tuzo mbalimbali

    pia tarehe 26.04. 2009, John alitunukiwa tuzo ya heshima pamoja na cheti (certicate of appreciation) kwa kutambua mchango wake kwa ajili ya kuinua vipaji na pia kuchangia kuinua muziki wa Injili Afrika mashariki na kati. Pamoja na hayo amekua akianzisha vikundi mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu maisha ya kujitegemea, kujishughulisha na kuhepukana na vitendo viovu kama wizi, ujambazi, utumiaji madawa ya kulevya, ukahaba n.k. Tuzo hiyo ilitolewa na kampuni moja maarufu Tanzania yenye makao makuu jijini Dar es salaam (Christian promoters Ltd). Pia ni miongoni mwa waanzilishi na kiongozi wa Chama cha muziki wa injili Tanzania (Chamuita)

    Pamoja na vyuo kadhaa alivyowahi kusomea, pia ni amejiunga na chuo cha kimataifa cha huduma (International School Of Ministry) chenye makao yake makuu huko California Marekani.

    Mwaka 2011, John alipata heshima kubwa kama mwalimu, kuongoza kundi la waimbaji (Tanzania gospel all stars) kuimba wimbo maalum wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
    Amekuwa pia na mzigo mkubwa kwa kidogo anachopata, kusaidia jamii, hasa watu wenye ulemavu, wajane na yatima Vijana waishio katika mazingira magumu, pamoja na wakimbizi. Tayari ameanza mikakati ya kusajili Taasisi (Hope Foundation) kwa ajili ya maono hayo.

    Pamoja na malengo mbalimbali, lakini pia ni kuwa na kituo cha watoto na vijana, lengo ni kuandaa kizazi chenye maadili mema, kuibua, kutambua na kuinua vipaji vya wotot na vijana, mbinu na mikakati ya kuwakwamua watoto na vijana kujihusisha na madawa ya kulevya, ukahaba, utapeli wizi, ujambazi nk, mambo yanayosabisha magonjwa kama vile ukimwi, kufungwa jela au kufa kabla ya wakati, matokeo yake kupoteza vijana wengi nk. Pia mpango huo unalenga kutafuta ufadhili kwa ajili ya kuaendeleza vijana ki-elimu pamoja na kuwawezesha pale inapobidi, kuandaa matamasha ya watoto na vijana, kuunganisha watoto na vijana wengine duniani, kuwapa kipaumbele watoto na vijana wenye elemavu, kuwa na kiwanja kwa ajili ya michezo mbalimbali ya watoto na vijan.

    Kwa sasa anayo program inayoitwa Touching voice program (Darasa la uhimbaji)
    Ni kwa ajili ya kwaya, Band/vikundi na waimbaji binafsi.
    Lengo ni:

    • Kufundisha kuimba au kunyoosha (Singing training)
    -          Jinsi ya kuitumia sauti kuitunza na kuitawala
    -          Historia ya muziki na maadhi ya muziki
    -          Sifa na mbinu za kuwa mwimbaji bora kama vile: (Performance, personality, stage presence, self confidance, body language, pronuaciation, vocal range, etc)
    -          Matumizi ya kipaza sauti (How to use microphone)
    • Kuwatungia nyimbo au kurekebisha nyimbo zilizotungwa tayari (Song writing/composing)
    • Kutoa ushauri kwa wanaotatarajia kuingia studio
    • Kushauri mbinu za kuitangaza album au nyimbo zikubalike
    • Kutengeneza muziki wenye viwango (Music arrangement)

    Je ungependa kuwa sehemu ya huduma hii, kwa kuiombea, kuichangia au hata kwa ushauri, basi usisite kuwasiliana nasi :
    Barua pepe : touchingvoice@yahoo.com 
    Simu : +255 754 818 767 

    Mungu Akubariki
     

    HEART OF WORSHIP

    HEART OF WORSHIP