THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

GET THE LATEST FROM JOHN SHABAN AND THE GOSPEL NEWS COMMUNITY

You will be able to read and review the latest news on John Shabani's tour and other specials. You will also come across the best articles of news on Gospel from all across Africa and the International Community.Please do feel free to review our categories of news and events.

FEEL FREE TO LEARN MORE ABOUT JOHN SHABANI AND HIS MINISTRY

If you wish to learn more about John Shabani and his ministry, please feel free to connect with John Shabani on the social networks. You can keep up with John Shabani and the Gospel in Africa community on both twitter, facebook, google plus and many other more.

STAY UPDATED WITH INTERNATIONAL AND LOCAL GOSPEL NEWS

Gospel in Africa Blog is a comprehensive gathering place for African Gospel music fans. Offering the latest news and information about Local and International Gospel music and news, Gospel in Africa Blog also shares the spotlight with other genres of Christian music that more than ever, seemingly overlap musical genre lines, such as Bluegrass Gospel, Christian Country and others. Singing News, the leading African Gospel and International music Blog, features African and international Gospel lyrics, radio, news, Christian concerts, songs, artists, and more.

GET IN TOUCH AND STAY CONNECTED WITH JOHN SHABANI

If you are interested in contacting and staying in touch with John Shabani then here are the contacts. E- mail: touchingvoice@yahoo.com or , princejohntz@yahoo.com, Mob: +255 754 818 767 or +255 716 560 094, www.facebook.com/john.shabani.

29 January 2016

FURSA AU FAIDA ZA KUJIUNGA NA ORIFLAME




JE unatamani kuzifahamu faida za kujiunga na Oriflame?


Ewe ndugu yangu, unaesoma makala hii kuna fursa nzuri sana kwenye kampuni ya oriflame ambayo imenifanya nikushirikishe.

FURSA AU FAIDA TATU ZA KUJIOKOA KIUCHUMI NA ORIFLAME
ORIFLAME ni neno la kisweden lenye maana ya asili. ORIFLAME ni kampuni inayohusika na uuzaji wa vipodozi asili pamoja na manukato




Huna haja ya kujiona mnyonge, eti maisha magumu, eti huna msaada, labda mshahara unaopata haukidhi mahitaji yako, labda biashara yako imedumaa. Watanzania tumeletewa oriflame, ni njia pekee ya kuongeza kipato chako. Kwa mawasiliano 0716560094
Karibu!

ORIFLAME itakupa fursa tatu iwapo utakuwa mwanachama ambazo ni

1. kupendeza_

kuna bidhaa za ngozi, mwili, perfume dawa za meno, ambazo ukitumia mara moja tu utajiuliza kwanini sikuijua hii bidhaa kabla.

2. kutengeneza hela

Oriflame itakubadilishia maisha yako kwa kuongeza kipato chako ni uamuzi wako unataka kupokea bei gani kwa kila mwezi,

Utakapokua mwanachama kwa shilingi elfu 9 tuu, utapata punguzo la asilimia 23 kwa kila bidhaa hivo basi kama ukitaka kuuza unapata faida.

Ukishirikisha wenzio kwenye fursa kwa kuwaalika nao wakipenda utakuwa unakuza mtandao na utalipwa kwa manunuzi yyt mnayofanya

3. kufurahia maisha

Kwa kusafiri ndani na nje ya nchi kwa gharama za kampuni

Kwa tanzania makao makuu yapo dar, ila kwa walioko mkoani mnatumiwa mzigo ndani ya masaa 24 tangu kuagiza bila malipo.

Hivi kampuni gani ya biashara za mtandao ambayo inapeleka mzigo kwa mwanachama wake bila malipo zaidi ya ORIFLAME?

Huku ni kukujali ww mwanachama wake.

Wewe ulioko zanzibar, mbeya, dodoma, mwanza, Arusha, bukoba, tanga na mikoa mengine hii ni fursa kwako pekee karibu sana.

Oriflame ni namba moja europe na sasa ndo inaingia Afrika na tanzania, sasa basi ni fursa kwako wewe jiunge mapema ili upate network kubwa.
Usipate shida kujiunga kisa uko mbali, niko tayari kukusidia kukuunganisha na fursa hii, naomba tuwasiliane.

Acha nikufafanulie zaidi:

Tunaanza na fursa ya kwanza
Tuna products zinazotumika kwanzia kichwani mpaka mguuni.

Bidhaa zimegawanyika katika makundi manne
1. Skin Care- bidhaa za ngozi ya uso... hapa bidhaa zinatolewa kwa kuangalia aina ya ngozi ya mtu, mfano.... ,ngoziii ya mafuta, kavu,etc pia inaangaliwa umri wa mtu na condition ya ngozi yake, maeneo anayoishi nk
2. Fragrance- manukato... hapa tuna perfumes kama 23 za kiume na za kike, deodorant spray na roll on, kuna perfumes nyingine zina mafuta ya mwili
3. Colour Makeup- hapa ndo tu wanatumia wadada... huku tuna foundations za kila aina, lipstics, wanja... eye shadows etc
4. Personal care.... hair and body... hapa miswaki, dawa za mswaki za watoto na wakubwa, sabuni za kuoga za vipande na maji, mafuta tofauti tofauti ya mwili... massage oil.. bidhaa za miguu kwanzia scrub, cream kwa conditions tofauti za miguu... bidhaa za nywele kwa conditions tofauti za nywele. Kama nywele zinazokatika, nyepesiii... chache, mba etc
Na tuna product muhimu sana kwa wadada.... intimate wash... ambayo ni ya kutawazia sehemu za siri za wadada....

Hapo kwenye fursa ya kwanza ya look great Hakuna Maelezo mengi
Cha kuzingatia ni kujua Aina za ngozi na Bidhaa zenyewe
Pia kuwa na vitendea kazi kama vile skin tester pamoja na perfume sample
Brenda: Fursa ya pili ni kutengeneza pesa ( kwa kimombo tunaita make money)
Hapa tuna fursa Tatu nazo ni kama zifuatazo

1. Faida ya papo kwa hapo/ immediate profit
Hii ni Faida tunayoipata pale tunapomuonyesha mtu asiye mwanachama kitabu kisha akachagua Bidhaa anayotaka toka kwenye kitabu hapo sisi tutamuuzia kwa bei ile ya kitabu wakati sisi tutainunua kwa bei ya uwanachama ambayo ni ya punguzo la 23% kwa namna hiyo utaweza kupata faida ya papo kwa papo ya hadi 30%
Mfano lets say perfume inauzwa 72,000/= wewe kama mwanachama utainunua kwa sh 55,400/= so hapo unakua umetengeneza profit ya elf 16,600/=

Fursa ya pili ya kutengeneza pesa ni Monthly income
Hapo muwe makini kidogo kama si sana maana hapa ndo mahala wengi hukimbia au hufanikiwa zaidi
Ni sehemu ambayo ukiifanya kwa usahihi itakuletea mabadiliko kwa muda mfupi katika maisha yako

Hii huitwa monthly income au bonus / performance discount
Hiizi ni fedha ambazo consultant hulipwa kutokana na kuwaalika marafiki, ndugu, jirani, au jamaa kufanya unachokifanya wewe
Hapa ulipwa kutokana na kazi uliyofanya wewe na team yako katika huo mwezi
Pia utalipwa kutokana na level uliyofika katika huo mwezi

Tunalipwa kati ya asilimia 3%-21% ya kazi tunayofanya
Sasaa kulipwa asilimia ngapi kunategemea na points ngapi umefanya mwezi huo
Lakini hii ndo njia nzuurii zaidi ya kujipatia kipato endelevu na cha maana
Kwa mfano uliotolewa kwenye faida ya papo kwa papo ya perfume nje ya ile faida kuna point utapata, kila product ina points zake... chini ya bei.. pameandikwa Bp
Hivyo kila mara unaponunua chochotee iwe kwa matumizI yako binafsi au kwa kuuza unarecodiwa points zako... mpaka mwisho wa mwezi ndo utalipwa kutokana na points wewe na wenzio mlizozifanya
Sasaa levels tunazipata kutokana na points unazofanya wewe binafsi na watu uliowakaribisha kwenye biashara

Leveles ziko hviii
Points. Bonus percent
200-599. 3%
600-1199. 6%
1200-2399 9%
2400-3999. 12%- manager
4000-6599. 15%- manager
6600-9999. 18%- manager
10,000 - 21%- senior manager
Hapo kwenye njia ya pili ni sehemu ambayo wengi wanapofanikiwa
Ni sehemu ambayo ukiifanya kwa kuamua na kujituma unaweza kutengeneza kuanzia 14400 mpaka 1600000 kwa mwezi
Hapo ni chaguo lako kiasi gani unataka katika huo mwezi

Na hicho kima cha juu nilichoweka ni kama umefika 21% strong
Ila unaweza kutengeneza pesa zaidi ya hizo ukiendelea kufanya Vyema na kwenda ngazi za juu kama udirector na kwengineko

Njia ya Tatu ya utengezaji pesa inaitwa Cash Award/ fedha tathliim

Hizi ni pesa unazoweza kulipwa na kampuni nje ya bonus unayotengeneza ndani ya mwezi
Kwa lugha ingine huwa napenda kuiita zawadi kampuni inayokupatia kwa kuwa kiongozi mzuri
Na hapa unaweza ukapata kuanzia Dola za kimarekani 1000 mpaka US$ 1000000 kutokana na level ya uongozi utakayofikia
Hapa ndo kuna vyeo kama vile Director mpaka executive President director

Ili kufukia ngazi hizo unapaswa uweze kufikia ngazi ya 21% kisha ukae hapo mara sita ndani ya mwaka
Ukishamaliza kukaa hapo kwa mara sita utaitwa Director

Ili kufukia ngazi ingine ya udirector unapaswa uwasaidie watu wa chini yako nao Wewe madirector
Kwa kufanya hivyo kampuni itakulipa zaidi
Mfano ukiweza kuwasaidia watu wawili kuwa madirector wakati Wao wanapewa Dola 1000 Kila mmoja wewe utapewa US$ 2000 na utaitwa Gold Director
Hivyo basi ili kupata pesa nyingi zaidi inabidi usaidie watu wengi zaidi kuwa viongozi
Na hapa nje ya cash award unayopata hata kipato cha mwezi nacho huongezeka
Mfano ukifika Gold director unaweza kupata hadi Million 2.5 kwa mwezi




FAIDA ZINGINE ZA KUJIUNGA NA ORIFLAME

Unajiunga kwa kiasi kidogo tu cha sh elfu 9 na kuanza biashara.Unachagua muda wako wa kufanya biashara(full time,part time) Hukai na bidhaa (products) zozote hadi upate order
utanunua ulichoagizwa kwa bei ya member nakuuza kwa bei ya mteja na kutengenezafaida…


Pia unapata safari za bure kwa kusafirishwa nakampuni free nchi mbalimbali .Kuanzia level
ya director na kuendelea kuna safari kilamwaka ,Safari zaidi ya mara 3 kwa mwaka
kutokana na ngazi uliyopo….(internationaltrips). Unakuza biashara yako Na kufanya biashara
popote ulipo….Unaweza kukusanya orders kwa simu au via whats app na kuzilipia ofisin….na
pia ukiwa mwanachama ukaalika watu kwenye mikutano/training za oriflamme
wataunganishwa chini yako na utaweza tengeneza team na kupata bonus..
Kipato chako kitakua kila mwezi kulingana na mauzo ya timu yako na mauzo ya timu nzima
walojiunga kwako direct au indirect(kwa watuwako)

Kujiunga nitumie jina lako,tarehe mwezi mwaka wa kuzaliwa,namba ya simu,Email
(kama unayo) pamoja n ash elfu 9, ntakuunganisha utapata namba ya
uanachama utayotumia kununulia bidhaa na kuunganisha marafikina tutafanya biashara
kwa kushirikiana.Pia order unaweza fanya online au via mpesa kwa simu au ofisini…
unaweza fanya biashara ya Oriflame popoteTanzania.



NAIPENDA ORIFLAME IMEBADILI MAISHA YANGU NA NITATIMIZA NDOTO ZANGU ZOTE KUPITIA ORIFLAME.

KUJIUNGA ELFU 9 TU!! Jiunge sasa.

NIMEJIAJIRI NA NIPO HURU NA MUDA WANGU! SITAKI TENA KUAJIRIWA!
Tuwsiliane kwa namba 0716 560 094 au 0759778778

ASANTE


19 January 2016

CALL TO PRAYER FOR DR. MORRIS CERULLO!



Morris and Theresa Cerullo are going through one of the most difficult times of their lives as Dr. Cerullo is healing from an ailment. 

As they continually prayer for you please lift them up in ‪#‎prayer this week for a full recovery in Jesus name

7 January 2016

Hatimaye John Shabani ndani ya Hekalu la pili kwa ukubwa na ubora Afrika Mashariki.

 Baada ya kuwasili Mbulu, shughuli ya kurekodi mkanda wa video ikaanza. 
Hapa John Shabani akiimba kwa hisia.

 Muonekana wa nje wa jengo la Kanisa Katoliki Mbulu, 
ambalo ni la pili kwa ukubwa Afrika Mashariki





Ni Safari ndefu ya kutwa nzima ukiongeza na masaa kadhaa ya usiku. Ni shooting inayosababishwa na the Eagleviewpro.

Jengo la Kanisa Katoliki Mbulu lina sifa ya kanisa kubwa na bora kuliko yote Tanzania na la pili kwa ukubwa AFRIKA MASHARIKI! Ngoja niandike kwa kiingereza inaweza kuwa na uzito ``Mbulu Cathedral is the Second Largest Cathedral in East Africa!

Kanisa hili lilijengwa na Mhandisi Franz Wesinger aliyezaliwa mwaka 1928 huko Bavaria Ujerumani.

Chini ya usimamizi wa Franz Wesinger ujenzi wa kanisa hili ambalo leo ni fahari kubwa kwetu ulikamilika kwa ufanisi wa hali ya juu na kutimiza ndoto ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu la Mbulu Marehemu Hhando.
Mhandisi Franz Wesinger aliyezaliwa mwaka 1928 huko Bavaria Ujerumani. Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP