THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

28 June 2019

MORE ABOUT JOHN SHABANI

JOHN SHABANI BIOGRAPHY  John Shabani Graduate at (INTERNATIONAL SCHOOL OF MINISTRY - ISOM and CHRISTIAN LEADERSHIP UNIVERSITY - USA) is a Tanzanian Gospel singer, song writer, Book writter, Evangelist, Vocal trainer of Christian worship music & Volunteer in helping disadvantages and people in needy. Also he's a paralegal. He is very passionate about his community. He is a man of great faith and vision to supporting her community through...

24 June 2019

SJ STUDIO NA MKAKATI WA KUSAIDIA WATOTO WENYE VIPAJI VYA KUIMBA

   What do you think, which currency is the most expensive in the world today? Most believe that the British pound is the highest currency; however, as it turned out it is not. Especially, for blog readers, we compiled the list of the strongest world currencies (Dated 13 Jan 2019). By the way, we also have the TOP 10 of the weakest world currencies. No. 1 – Kuwaiti Dinar (1 KWD = 3.29 USD) Currency code – KWD 1...

22 June 2019

NAMNA YA KULINDA, KUTUNZA NA KUIPONYA SAUTI YAKO

Kila mtu anaweza kuitumia sauti yake, lakini si kila mtu anajua jinsi ya kuitunza au kuiponya inapopatwa na tatizo. afya yake, au nini cha kufanya. Makala hii itasaidia kila mtu kujifunza jinsi ya kuponya sauti  na pia kutoa ushauri wa jinsi ya kuitunza na kuifanya kuwa na afya na nguvu kwa ajili ya siku zijazo. Masomo haya yanawafaa walimu, wainjilisti, wanasiasa, wazazi, wanasheria, madaktari, na waimbaji, na kila mtu ambaye shughuli...

14 June 2019

FAHAMU MBINU KUU NNE ZA KUMUWEZESHA MUIMBAJI KUIMBA VIZURI (TONE NZURI)KWA MUDA MREFU PASI KUPATA MAUMIVU YA KICHWA AU KUCHOKA MAPEMA.

Tangazo: Ukitaka kujifunza zaidi Tuna kituo cha mafunzo Kimara Dar es salaam pia unaweza kujiunga na group letu la whatsapp kwakututumia jina lako na picha yako kwa namba +255716560094. Sasa niendelee: Imekuwa ni vita kubwa katika vikundi mbalimbali vya uimbaji hususani baina ya waalimu na wale wanaofundishwa(wana team/kwaya);hata kupelekea wengine kukimbia/kuacha uimbaji.Kukosekana kwa elimu sahihi ya Sauti,kutia ndani utunzaji mpaka...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP