2 January 2011

Ziara ya John Shabani huko sudan, kenya, burundi na rwanda.

Hii ndio mila ya waturkana


John akiwa na kinadada wa kiturkana huko mpakani mwa sudani

John baada ya kugawa zawadi zanguo, chakula na maji kwa watoto wa  kiturkana. Hakika watu hawa wanahitaji kusaidiwa.


John akiwa amesimama kwenye lango la kuingilia katika kambi kubwa ya wakimbizi barani afrika yenye wakimbizi kutoka Sudan, Elitrea, Somalia, Uganda, Kongo, Rwanda, Burundi n.k



John akiimba mbele ya maelfu ya watu Huko Lodwar, mpakani mwa sudani na kenya. 



 
Jamani mmmm! Haya ndio makazi ya waturkana



Hizi ndizo ndege walizotumia Prince John Shabani na Bishop Jangalason

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP