THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

29 September 2011

WAIMBAJI WA INJILI WAPAA MAREKANI

Katika kile kinachoonyesha kukua kwa Muziki wa Injili, sasa waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili, wamekuwa wakifanya ziara mbalimbali huko ulaya na marekani. Baadhi ya waimbaji walio paa majuu kwa sasa, ni mkongwe wa Muziki wa injili Askofu Jangalason. Wengine ni Upendo kilahiro na upendo nkone, hawa wameda majuzi tu na watafuatiw na Christina shus...

ALL TANZANIA GOSPEL STARS Warekodi wimbo wa miaka 50 ya uhuru

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, waimbaji wa nyimbo za Injili wameungana kwa pamoja na kurekodi wimbo wa kumshukuru Mungu kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Chini ya mwalimu John Shabani na Amoni Kilahiro   waimbaji hao kila mmoja ameingiza ubeti wake. Waimbji Ambao tayari wamshiriki kuingiza suti mpaka sasa ni 1. Gloria kilahiro                                            18. Mzee Makassy2. Amon Kilahiro ...

14 September 2011

MAMBO YA MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD (MLIMA WA MOTO)

John shabani akiwa amesimama na Dr Getrude Rwakatare. Ni picha ya kikundi cha kinamama (SINGLE LADIES). John ni mwalimu wa kwaya ya kikundi hicho. Pamoja na kikundi hicho, John pia ni mwalimu wa kwaya ya Joybringers na Praise team zote za mlima wa mo...

13 September 2011

JIANDAE KUJIPATIA CD YA DEBORA SHABANI

Baada ya wapenzi wa nyimbo za marehemu Debora shabani kuwa na shauku kubwa ya kupata nyimo zake, sasa tumeamua kukutengenezea cd nzuri ya nyota huyo na baadaye utapata video yake. Mungu wa mbinguni awabari...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP