6 August 2013

MCHUNGAJI BENJAMIN BUKUKU AMPONGEZA RAIS JAKAYA KIKWETE




Mchungaji Benjamini Bukuku wa kanisa la T.A.G Moshi  amaempongeza Rais Kikwete kwa busara zake. Haya hapa chini maneno ya Mchungaji huyo
“Kweli nampongeza Raisi Dr. Jakaya Kikwete kwa busara zake ambazo amezionyesha kuhusu Raisi Kagame na Rwanda kwa ujumla. Kama ambavyo Tanzania ni Nchi ya Amani na tunapenda amani, hilo watu wengi wameliunga mkono. Ni maombi yetu kwamba amani ambayo sasa imeanza kutikiswa ilindwe kwa nguvu zote na kila mtanzania tukiongozwa na Raisi wetu, na viongozi wote wakiwemo wana siasa na viongozi wa dini zote. Mungu ibariki Tanzania”
Mungu ibariki Tanzania

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP