17 November 2013

JOHN SHABANI ATOA SADAKA YA SHUKRANI KANISA LA DORCAS – KUNDUCHI

 
Ni kwa kutambua mchango wa viongozi wa kanisa hilo; Askofu Jane Muhegi na Mzee Boniface Muhegi, wa kuwalea watoto wa wawili wa John. Watoto hao ni wale walioachwa na marehemu Debora shabani.
 
Ni Takriban miaka sita sasa, baada ya kifo cha Debora, wazee hao pamoja na kanisa nzima la Dorcas Christian Ministry, kwa kuonyesha upendo wao kwa Mch. John shabani, waliamua kuwachukua watoto hao na kuishi nao. Ni upendo wa ajabu sana! 

Mungu awabariki sana Bishop Jane na mzee Muhegi,
Mungu alibariki kanisa la Dorcas!


0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP