THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

30 April 2014

J VOCAL TRAINING - DARASA PEKEE LA SAUTI NA UIMBAJI

Mwalimu wa sauti John Shabani kikazi zaidi, ni katika kuhakikisha watu wanfanyika kuwa waimbaji bora na si bora kuimba  Baada ya mafunzo darasani, wanafunzi hupelekwa studio ili kujipima nguvu Mwalimu John akisimamia mazoezi ya pumzi Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

27 April 2014

HATIMAYE JOHN SHABANI AHITIMU MASOMO YAKE KWA NGAZI YA DEGREE

John akiwa na uso wa furaha baada ya kumaliza masomo yake kwangazi ya degree (Bachelor of arts in Biblical Studies) Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

24 April 2014

CATHERINE KYAMBIKI KUMTANGAZA YESU KWA MATAIFA MBALIMBALI

 Yanapotajwa majina ya waasisi wa njimbo za injili Afrika mashariki, basi jina la dada Catherine Kyambiki lazima liwemo. Ni mwimbaji wa nyimbo za injili aliyemtumikia Mungu kwa miaka mingi. Zaidi ya kuimba pia catherine ni muhubiri wa kimataifa, amekuwa akizunguka katika mataifa mbalimbali, akimuhubiri Yesu, kuombea wagonjwa na kuwafungua waliosetwa na ibilisi   Kumbuka, watumishi wenye huduma kubwa, wenye mzigo mkubwa wa kzi...

21 April 2014

FROM KAMPALA: PRESIDANT YOWERI KAGUTA MUSEVENI AND THE FIRST LADY JOINED OTHER CHRISTIANS FOR EASTER PREYERS

Museveni’s status: Mama Janet and I joined other Christians for Easter prayers at St. Mathew Cathedral Kyamate in Ntungamo district. We prayed for our country's blessings, unity and prosperity for all Ugandan families. Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP