24 April 2014

CATHERINE KYAMBIKI KUMTANGAZA YESU KWA MATAIFA MBALIMBALI

 Yanapotajwa majina ya waasisi wa njimbo za injili Afrika mashariki, basi jina la dada Catherine Kyambiki lazima liwemo. Ni mwimbaji wa nyimbo za injili aliyemtumikia Mungu kwa miaka mingi. Zaidi ya kuimba pia catherine ni muhubiri wa kimataifa, amekuwa akizunguka katika mataifa mbalimbali, akimuhubiri Yesu, kuombea wagonjwa na kuwafungua waliosetwa na ibilisi
 


Kumbuka, watumishi wenye huduma kubwa, wenye mzigo mkubwa wa kzi ya Bwana, ndio pia wenye majaribu makubwa; hivyo unapoombea watumishi mbalimbali, usisahau kulitaja jina la Catherine Kyambiki.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP