THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

22 December 2015

KITUO CHA SHALOM ORPHANAGE CENTRE CHA WILAYA YA KARATU CHAMPONGEZA NDUGU JOHN SHABANI

Picha mbalimbali za tukio la kukabidhiwa keki ya upendo kama ishara ya shukrani kwa Mtumishi wa Mungu, Johnn Shabani Natoa shukrani zangu za dhati kwa Kituo cha Shalome Orphanage Centre Cha Wilaya ya Karatu, kwa kuniandalia keki kama shukrani, kwa namna nilivyojitolea kuibua vipaji vya watoto hao, kuwatungia nyimbo, kuwaingiza studio na kuwazindulia Albam yao. Asante dada yangu upendo Nkone, Mary Goreth (kutoka Kigali Rwanda), waimbaji...

18 November 2015

MCHUNGAJI PENUELI MNGUNI WA HUKO AFRIKA YA KUSINI AKAMATWA NA KUPIGWA. HATIMAYE KANISA LAKE KUCHOMWA MOTO

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

4 November 2015

PROPHET TB JOSHUA - HIS FIRST VISIT TO TANZANIA (EAST AFRICA NATION)

 T.B. Joshua with Tanzanian's former Prime Minister Edward Lowasa, whom many Tanzanians was expected to be a President  T.B. Joshua is met by Tanzanian President-Elect Dr. John Magufuli at the Dar es Salaam International Airport upon his arrival to the East African nation  T.B. Joshua with outgoing Tanzanian President Jakaya Kikwete who conducted him on a tour of the Tanzanian State House.  T.B. Joshua with the...

16 October 2015

TUNAKULETEA KIFAA KINACHOTIBU MAGONJWA MENGI TENA KWA HARAKA SANA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

7 October 2015

YOU MUST NEVER FORGET WHO WAS THERE FOR YOU WHEN NOBODY ELSE WAS!

 John Shabani na Alex Msama wakiwa katika picha ya pamoja, baada ya kutambulishwa kama watendaji wa kampuni ya Msama Promotions, ni katika tamasha lililo andaliwa na kampuni ya hiyo miaka kadhaa iliyopita.  John Shabani akiwajibika ofisini Nimekumbuka miaka kadhaa iliyopita tangu mwaka 2004 nikifanya kazi kama msaidizi wa Msama na baadaye nikiwa kama mtaalam na mwalimu wa nyimbo za injili nikiwashauri waimbaji na kuakiki kazi...

13 September 2015

NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU

NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU               John Shabani   Baada ya kukamilisha kitabu "MARUFUKU KUKATA TAMAA" Sasa niko mbioni kukuletea kitabu kipya kiitwacho "NGUVU YA KUSIFU NA KUABUDU". Najua umesoma vitabu vingi vinavyohusu habari ya kusifu na kuabudu, lakini mimi nakuhakikishia, kitabu hiki kitakusaidi sana. Lakini pia utaelewa tofauti iliyopo kati ya kusifu, kuabudu...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP