22 December 2015

KITUO CHA SHALOM ORPHANAGE CENTRE CHA WILAYA YA KARATU CHAMPONGEZA NDUGU JOHN SHABANI


Picha mbalimbali za tukio la kukabidhiwa keki ya upendo kama ishara ya shukrani kwa Mtumishi wa Mungu, Johnn Shabani


Natoa shukrani zangu za dhati kwa Kituo cha Shalome Orphanage Centre Cha Wilaya ya Karatu, kwa kuniandalia keki kama shukrani, kwa namna nilivyojitolea kuibua vipaji vya watoto hao, kuwatungia nyimbo, kuwaingiza studio na kuwazindulia Albam yao.

Asante dada yangu upendo Nkone, Mary Goreth (kutoka Kigali Rwanda), waimbaji wote wa Karatu bila kusahau umoja wa wachungaji wa Karatu kwa kufanikisha tamasha hilo la kihistoria. 


Pia shukrani za pekee kwa mkuu wa Wilaya pamoja na jeshi la polisi ikiwa ni pamoja na trafic kwa kufanikisha maandamano ya amani ya watoto hao yatima.

Sifa na utukufu 
apewe Bwana wa mabwana.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP