THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

2 January 2015

JOHN SHABANI NA ZIARA YA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII WA TANZANIA PAMOJA NA KUIBUA VIPAJI VYA WATOTO

 Nikiwa na watalii mbalimbali karibu na mto wa ajabu, baada ya kuzunguka kutwa nzima eneo la Ngorongoro Crater, watalii huja mahali hapa penye idadikubwa ya viboko.  Imekuwa ni ziara ya kipekee kati ya ziara nilizowahi kuzifanya. Kwani nimejionea moja ya maajabu ya dunia, Ngorongoro Crater. Pia nimeweza kuibua vipaji vya watoto pamoja na kurekodi nyimbo kadhaa. v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:*...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP